Je, inawezekana Rais wa Tanzania akajiuzulu kisheria?


heradius12

heradius12

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2011
Messages
9,021
Likes
11,674
Points
280
heradius12

heradius12

JF-Expert Member
Joined Apr 1, 2011
9,021 11,674 280
Naomba niulize, kwa mfano Raisi ameona nchi imemshinda hawezi jiuzulu mwenyewe kisheria?

Kwani ni lazima amalize miaka mitano?
Na kwa mfano akijiuzulu nani anakabidhiwa nchi?
Raisi mstaafu wa awamu iliyopita anaweza kupewa nchi kwa muda?

Na kama watanzania tumemchoka hakuna mikakati yoyote iliyopo kisheria ya kumlazimisha Raisi ajiuzulu kisheria na kwa amani?

Kwa mfano kwa kupiga kura za maoni za kumkataa Raisi aliyepo madarakani ili ajiuzulu.!

Mpaka sasa ni Richard Milhous Nixon ambaye alikuwa American politician 37th President of the United States from 1969 until 1974. Huyu alijiuzulu mwenyewe kwa stress na sababu za kisiasa.
 
K

Kishada04

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2016
Messages
955
Likes
339
Points
80
K

Kishada04

JF-Expert Member
Joined May 1, 2016
955 339 80
Ningependa kujua pia.
 
kijana wa leo

kijana wa leo

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2011
Messages
2,602
Likes
5,941
Points
280
kijana wa leo

kijana wa leo

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2011
2,602 5,941 280
Hapa sibanduki hadi wanasheria waje
 
Inog01

Inog01

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2015
Messages
1,233
Likes
1,841
Points
280
Inog01

Inog01

JF-Expert Member
Joined Mar 26, 2015
1,233 1,841 280
Ngoja inogile, tunasubiri wajuzi wa mambo
 
Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Messages
43,159
Likes
40,576
Points
280
Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined Feb 4, 2009
43,159 40,576 280
Mwanasheria Tundu Lissu njoo huku
 
Rohombaya

Rohombaya

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2011
Messages
10,251
Likes
5,217
Points
280
Rohombaya

Rohombaya

JF-Expert Member
Joined Jul 4, 2011
10,251 5,217 280
Dah.....Kumbe wapigaji ni wengi hivi??? :D:D:D:D
 
The Great Emanuel

The Great Emanuel

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2015
Messages
2,035
Likes
2,786
Points
280
The Great Emanuel

The Great Emanuel

JF-Expert Member
Joined Apr 3, 2015
2,035 2,786 280
Kutafutwa kote hamkomi tu.
 
Kirchhoff

Kirchhoff

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Messages
3,513
Likes
3,688
Points
280
Kirchhoff

Kirchhoff

JF-Expert Member
Joined Nov 4, 2010
3,513 3,688 280
Mods tuko bize mahakamani leo. Tukitoka tutauhamishia huu uzi Jukwaa la Sheria.

[HASHTAG]#freemaxencebringbackourben[/HASHTAG]
 
bizzle for shizzle

bizzle for shizzle

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2014
Messages
1,208
Likes
556
Points
280
bizzle for shizzle

bizzle for shizzle

JF-Expert Member
Joined Dec 22, 2014
1,208 556 280
JF INAELEKEWA KUFUTWA KABISAAA ngoja mkurugenzi atoke mahakamani utaona uikiingia jf inakuambia access denied.
 
M

mswangilishi

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2016
Messages
468
Likes
1,122
Points
180
M

mswangilishi

JF-Expert Member
Joined Sep 12, 2016
468 1,122 180
Jamii forum huenda ikapotea Kama ben8:00PM
 
Moi Dinya

Moi Dinya

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2014
Messages
1,300
Likes
648
Points
280
Age
30
Moi Dinya

Moi Dinya

JF-Expert Member
Joined May 29, 2014
1,300 648 280
Je kwa Mfano Nchi haijamshinda?
 
J U G A N I A

J U G A N I A

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2015
Messages
638
Likes
220
Points
60
J U G A N I A

J U G A N I A

JF-Expert Member
Joined May 30, 2015
638 220 60
Naomba niulize, kwa mfano Raisi ameona nchi imemshinda hawezi jiuzuru mwenyewe kisheria?

Kwani ni lazima amalize miaka mitano?

Na kwa mfano akijiuzuru nani anakabidhiwa nchi?

Raisi mstafu wa awamu iliyopita anaweza kupewa nchi kwa muda?

Na kama watanzania tumemchoka hakuna mikakati yoyote iliyopo kisheria ya kumlazimisha Raisi ajiuzuru kisheria?

Kwa mfano kwa piga kura za maoni za kumkataa Raisi aliyepo madarakani!
soma KATIBA
 
ndoze

ndoze

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2016
Messages
1,160
Likes
1,060
Points
280
Age
39
ndoze

ndoze

JF-Expert Member
Joined Sep 2, 2016
1,160 1,060 280
Wanasheria mtujulishe tafadhal
 
B

bilondo

New Member
Joined
Dec 10, 2016
Messages
1
Likes
0
Points
3
Age
25
B

bilondo

New Member
Joined Dec 10, 2016
1 0 3
Raisi akijiuzulu inakabithiwa na makamu wa raisi au wanajeshi kwa mda mfupi adi atakapo patikana atakaye shika kiti hicho
 

Forum statistics

Threads 1,273,280
Members 490,351
Posts 30,476,446