Hivi Tanzania kuna kiwanda cha kutengeneza chupa?

Mkuu unaweza nisaidia contact za huyu mtu,maana nimekwenda kioo wao hawatengenezi design yako bali wana design yao moja tu.
Kama hautajali nikuulize, chupa za kupack nini? Dada angu anapack mango pickles ndo hiyo wahitaji? If yes nimuombe namba then nikutumie
 
Mkuu unaweza nisaidia contact za huyu mtu,maana nimekwenda kioo wao hawatengenezi design yako bali wana design yao moja tu.
Kwani hitaji lako la wastani wa chupa ngapi unaitaji na kwa kila muda gani nikushauri kitu wenzako wanavyofanya wajasiliamari wadogo wanavyopata changamoto za vifungashio vya glasi
 
Wanaitwa Kioo Limited. Jamaa anatengeneza na anauza chupa balaa. Sio Uganda, sio kusini mwa Africa. Ana orders kibao na soko la uhakika.
Anafanya vizuri kwa kweli
 
Binafsi nipo Arusha. Huwa nachukua Sakina kuna kiwanda cha chupa kila aina hapo. Wanatengeneza chupa na nyingine wanatoa kwenye kiwanda chao Naitobi wanaleta Arusha.
Kiwanda kinaitwaje pia inawezekana unipatie namba zao, naangaika kupaki wine na flavored beer, kiwanda bado kidogo lakini changamoto chupa tu, natamani kuagiza toka china tatizo mtaji bado mdogo hata 25m bado sijafika.
 
unapatikana wapi mkuu?
 
Back
Top Bottom