Tanzania hatuna majaji wenye Intellect ya ku-handle kesi za Kikatiba

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,386
73,978
Nilisema hakuna jaji wa ku-handle kesi ya Spika et al. Hakuna mwenye intellect wa ku-handle kesi kama hiyo! Kulita alikuwa juzi Magistrate courts anatoa hukumu za hovyo, leo unampa kesi inayohitaji high power mental reasoning faculties, hawezi hata kidogo! Angalia wenzao Kenya, level of reasoning in the attachment below.

Angalia argument za high power mental thinking India kuwa Speaker has to abide by constitution.

First, India has a written constitution. All organs of the state (including the Speaker) must abide by the Constitution. Any violation is liable to be struck down by the courts. This separation of powers is a basic feature of the Indian Constitution. Allowing the Speaker to violate the constitution without any recourse to judicial review impinges upon this basic feature of the Indian Constitution.

Second, Britain does not have a written constitution. Therefore, it is impossible for the British Speaker to violate the constitution. The British Speaker can only violate the rules made by either Houses of the British Parliament or procedural laws enacted by both of them. These being 'internal matters' of the Houses, such violations are immune from judicial review.

In contrast, India has a written constitution. Certain law making procedures are prescribed by the Indian Constitution (like the money bill procedure), while some other procedures are prescribed through rules by both the Houses of the Indian Parliament (like voting on bills and resolutions). Similar to Britain, the rules made by the Indian Parliament are treated as 'internal matters' of the Houses and hence cannot be immune from judicial review. This explains why the Indian constitution framers did not explicitly bar judicial review of the Speaker's decision as is the case in Britain.

Final’ Decisions Have Been Questioned By Supreme Court Decisions of various authorities have been given "final" status under the Indian Constitution. Yet the Supreme Court has on multiple occasions exercised judicial review over such decisions. For instance, in Kihoto Hollohan vs Zachillhu (AIR 1993 SC 412), the "final" decision of the Speaker regarding disqualification of members of the House disqualification of members of the House under Tenth Schedule of the Indian Constitution, has been held to be a judicial decision subject to judicial review
. This suggests that the “final” status given by the Indian constitution does not automatically immune the Indian Speaker's decision or certificate from judicial review

RIP Mwalusanya, Lugakingira, Katiti! Bold spirits!
 

Attachments

  • SPEAKER TO BE SUED KENYA.pdf
    195.6 KB · Views: 7
NI JAMBO LA TAFAKURI KWANI TANGU JAN 2017:

1. Kesi za kihuni zinazofunguliwa na serikali dhidi ya wapinzani na wanaharakati zinapata mafanikio hata kama dhahiri kuna matobo ya kisheria.

2. Kesi zenye uzito zinazofunguliwa na Wanaharakati dhidi ya serikali zinatupwa kwenye hatua ya awali tu tena kwa technicalities!!

- Je, mawakili wa serikali ni vipanga kiasi cha kushinda hata kesi zisizo na miguu?
- Je, Mawakili wazuri wa kujitegeme wamekwisha wamebaki vilaza wanaoshindwa kutetea hoja hata zenye nguvu?
- Je, labda wanaharakati wanaofungua kesi hizi wanatumwa na serikali?
 
Nilisema hakuna jaji wa ku handle kesi ya Spika et all!! Hakuna mwenye intellect wa kuhandle kesi kama hiyo! Kulita alikuwa Juzi Magistrates courts anatoa hukumu za hovyo, leo unampa kesi inayohitaji high power mental reasoning faculties! hawezi hata kidogo!! Angalia wenzao Kenya level of reasoning!

RIP Mwalusanya, Lugakingira, Katiti! Bold spirits!
Iliwahi kupigwa kelele nadhani tangu enzi za JK kuhusu ukiukwaji wa taratibu za uteuzi wa High court Judges.

Nadhani hapa ndipo lilipo tatizo la msingi, usitarajie hata siku moja 'mbuzi' uliyempandisha mtini atakuletea 'fyoko fyoko'.
 
Kwa njia hii mnategemea Kuna jaji mwenye uwezo wa kutangaza ushindi wa chama cha upinzani hata kama kimeshinda kwa kishindo?
 
Majaji ni pro Meko ? Au kuna tatizo kwenye Katiba yetu?.
Tatizo lipo kwenye katiba ndiyo, lkn kwa hili Ndugai has to abide by the constitution! Simple! amevunja katiba , hivyo shauri hili linaweza vile vile kuletwa kwa mlango wa kuvunja Katiba!

Hawa Majaji wa UPE wanatafuta kwa Justices of Appeal kwa Meko alivyoliharibu Taifa hili!
 
Hivi majaji wanachaguliwa Vp?
Nani anawateua?

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Judicial service commission???? (s9ina uhakika lkn kuna chombo kinawapendekeza) lkn kwa style ya kwetu Rais ana mamlaka ya kuwapitisha baada ya kupendekezwa na hiyo commission! Lakini kma una bold CJ, anakataa kupokea mapendekezo /amri toke wa Rais kama wa Kenye alivyo!
 
Tatizo lipo kwenye katiba ndiyo, lkn kwa hili Ndugai has to abide by the constitution! Simple! amevunja katiba , hivyo shauri hili linaweza vile vile kuletwa kwa mlango wa kuvunja Katiba!

Hawa Majaji wa UPE wanatafuta kwa Justices of Appeal kwa Meko alivyoliharibu Taifa hili!
Katiba haina tatizo.

Kisa inasema Rais atateua majaji wa mahakama kuu na mahakama ya Rufaa..

Au mlitaka katiba iseme majaji wachaguliwe na mbowe?
 
Acha kelele. Mataga unamuwaza Mbowe tu, nenda kanywe naye chai
Tulia kilaza wewe upigwe lecture ..maana hata katiba huijui .

Ibara ya 109.-(1) Kutakuwa na Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu (ambaye katika ibara zifuatzo kwenye Katiba Hii atatajwa tu kwa kifupi kama "Jaji Kiongozi") na Majaji wengine wa Mahakama Kuu wasiopungua kumi na watano.

(2) Jaji Kiongozi na Majaji wengineo wa Mahakama Kuu watateuliwa na Rais baada ya kushauriana na Tume ya Kuajiri ya
Mahakama.

Sasa mnampa mzigo na lawama Rais wa JMT wakati Tume ya kuajiri ndo imependekeza.

Shubamitii
 
Retired,

Tulia basi tuchngie kwenye uzi wako...upate comments za kutosha.

Acha matusi nikupe shule ya kikatiba....maana hujui lolote.


CCM oyee
 
Iliwahi kupigwa kelele nadhani tangu enzi za JK kuhusu ukiukwaji wa taratibu za uteuzi wa High court Judges.

Nadhani hapa ndipo lilipo tatizo la msingi, usitarajie hata siku moja 'mbuzi' uliyempandisha mtini atakuletea 'fyoko fyoko'.
Umenena kweli tupu! na hawa awanatafuta kuwa Justices of Appeal na kwa modus operand ya Jiwe, lkzma wafanye "mavi" kama haya!
 
Tulia basi tuchngie kwenye uzi wako...upate comments za kutosha.

Acha matusi nikupe shule ya kikatiba....maana hujui lolote.


CCM oyee
Leta shule please! Mimi haya mambo nayajua by above average I guess! si sana lkn kama wewe ni mtu wa kusoma , utapata abc ...
 
Back
Top Bottom