Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
This video compares some of the countries in Eastern Africa using their GDP Nominal, GDP Per Capita and their total Population. This video is based on data gotten from World bank, Imf and Wikipedia from 1960 to 2020.
Natafakari uhusiano wa ubilionea na umaskini
Ukiangalia mabilionea wote wanaoongoza duniani wamezaliwa familia duni au za kawaida tu wakiwemo akina Bill Gates.
Ukija Tanzania Bilionea Bakheresa alizaliwa familia ya kimaskini tu.
Ukija akina Reginald Mengi hivyo hivyo wametokana na familia...
Mtia nia nafasi ya Urais Dkt. Mayrose Kavura, akikabidhiwa fomu ya kuomba uteuzi wa kugombea nafasi ya Urais kupitia CHADEMA na Mkurugenzi wa Uchaguzi Chadema Munisi, Leo Jumanne 07/07/2020, Makao Makuu ya Chama Kinondoni jijini Dar es salaam.
Leonard Toja Manyama amejitokeza kuchukua fomu ya kugombea Urais kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
Bwana Manyama ni mwalimu na mtaalam wa mipango miji, kauli mbiu yake niamini nikuvushe.
Ameeleza vipaumbele alivyonavyo endapo atakuwa Rais wa Tanzania.
"Atairejesha Rasimu ya...
Kumekucha mapambano yanaendelea . mapambano kati ya wapenda haki na usawa na wasiopenda haki.
Nimekusikia bwana Amoni Mpenja, Naibu katibu mkuu wizara ya sharia kupitia ITV ukisema ni marufuku kwa asasi za kiraia na NGO kutoa elimu kwa mpigakura wa Tanzania. Tena ukasema utazifuta milele na...
Abdul Nondo acha kuwalaghai vijana!
Baada ya chama cha ACT Wazalendo kutangaza mchakato wa kuchukua fomu za kuomba uteuzi wa kugombea nafasi za urais, ubunge na udiwani, Abdul Nondo, kiongozi mwandamizi wa vijana wa chama hicho alitoa shime kwa vijana kuchukua fomu kwa wingi kuwania uteuzi...
Mkurugenzi wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania(TIC), Geoffrey Mwambe amesema kuwa Miundombinu iliyojengwa na Serikali imewezesha kituo hicho kupiga hatua kubwa na kulete wawekezaji wengi katika Sekta ya uwekezaji hasa kwenye sekta ya Viwanda. Akizungumza katika mkutano na Waandishi wa Habari Jijini...
Mwanasiasa wa upinzani nchin Tanzania Tundu Lissu amesema anatarajia kurudi nchini humo Julai 28.
Lissu ametangaza nia ya kugombea urais kupitia chama chake cha CHADEMA Oktoba mwaka huu. Mwanasiasa huyo kwa sasa yuko ughaibuni ambapo alienda kupata matibabu baada ya kushambuliwa kwa risasi...
Benki ya dunia imeitahadharisha Serikali ya Tanzania juu ya ukubwa wa deni lake lililofikia trillion 47+ kwa rekodi mpaka mwezi Mei mwaka huu.
Imetaja japo deni bado ni himilivu lakini Tanzania lazima iwe makini maana linaelekea kutokuhimilika
Chanzo: Mwananchi
====
Licha ya Serikali...
Shirika la kutetea haki za binadamu Amnesty International limeitaka Tanzania kuachana na mashtaka dhidi ya mchekeshaji maarufu nchini humo Idris Sultan
Idris anatarajiwa kufika mahakamani kesho tarehe 9 mwezi Julai, kujibu mashtaka ya ''kushindwa kusajili kadi ya simu ambayo awali ilikuwa...
Miezi kadhaa Ago Ndugu Gwajima alikuwa Shujaa sana wa Chadema kwa kuongea kwake pumba na maneno ya hovyo hovyo.sisi wenye akili hatukuwa tunakubaliana naye. Hata ile Video ya Mkono wa Baunsa CCM waliisimamia kuwa ni yeye na Chadema wakasema si yeye ni Mkono wa Baunsa.
Leo imekuwa kinyume. CCM...
Nimekaa na kutafakari kwa kina tunu ya lugha yetu hii ya Kiswahili.
Kiswahili kilitumika katika kuleta uhuru wa Tanganyika na Zanzibar.
Kiswahili kilitumika kuunganisha makabila zaidi ya 120 yaliyopo Tanzania.
Kiswahili kilitumika kumng'oa Nduli Idd Amini Dadaa, alipojaribu kuivamia Tanzania...
Habari wapendwa? Natumaini Wazima wa Afya.
Twende kwenye hoja yetu, ni hivi: Jumapili kulikuwa na Tamasha la kwaya mbalimbali Lengo ni Kumshukuru MUNGU, Sasa kwenye mida kama ya Usiku hivi Kulikuwa na kama Tv ikamuonesha Rais John Pombe Magufuli akiwasalimia waliohudhuria.
Ila Nyuma ya...
ULINZI WAIMARISHWA DODOMA:
Dodoma: 07 Julai, 2020
Wakati vikao vya uamuzi vya Chama Cha Mapinduzi vikitarajiwa kufanyika Jijini Dodoma, ukiwemo Mkutano Mkuu wa Taifa wa Chama hicho, Jeshi la Polisi limesema limeimarisha zaidi hali ya ulinzi na usalama.
Mkutano mkuu utafanyika Jumamosi na...
CHADEMA,
Fanyeni upesi, mtuletee Tundu Lissu aje Kumjambisha huyu wa maendeleo ya vitu Kuliko watu.
Lissu anafaa sana na ana vigevyo vyote. Pombe ikichacha humwagwa, nani wa kuimwaga basi, ni Lissu.
Pombe ya bia haiwezi kujiona bora bila kupambanishwa na vileo vingine kama gongo, whiskey...
BACKGROUND
UNDP is the UN’s global development network whose focus is to help countries build and share solutions to the challenges of sustainable development as informed by the 2030 sustainable development agenda. The overall focus for UNDP Tanzania is to support the Government of Tanzania to...
Msanii maarufu wa katuni ajulikanaye kama Kipanya leo hii ametuletea kisa cha hatima ya wana habari na vyombo vyake.
Je, huyo nyoka anawakilisha nini au ni nani?
Uchumi wa Tanzania unakuwa kwa kasi kuliko nchi zote za Afrika Mashariki. Huduma za kijamii zikiendelea kuboreshwa. Majengo ya kisasa yanazidi kuota kama Uyoga katika miji mikubwa ikiwemo Dar es Salaam.
Nasema siasa za Tanzania ngumu sana ila zinaonekana mwisho wasiku zitakuja kuwa za malipizo kama siasa za nigeria! Ukiangalia watu wanaomizwa na siasa iwe chama tawala au upinzani ni wengi na wanayaweka wakipata madaraka watalipiza bila shaka huu ndiyo utabiri wangu kwa leo.
Katika miaka ya hivi karibuni, dunia imeshuhudia maendeleo makubwa kwenye sekta ya teknolojia hasa linapokuja suala la matumizi ya simu.
Hakuna ubishi wowote kwamba intaneti kwa njia ya simu imeleta tija kubwa katika shughuli zetu. Katika ulimwengu wa biashara imesaidia watu kuwasiliana na...