tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Tanzania vs Tunisia: Watakachokifanya mashabiki wa yanga ni uhaini kwa nchi

    Kitendo cha baadhi ya mashabiki kuhamasishana wakaishangilie timu ya taifa la kigeni ni sawa na kuifanyia nchi ya kigeni ujasusi dhidi ya nchi yako ambayo huhesabiwa ni uhaini na adhabu yake ni kunyongwa hadi kufa
  2. E

    JamiiForums Tanzania Hili ndio song kali kuliko masong yote Tanzania kwasasa

    Wakuu kiukweli tukubali tukatae hili ndio song Kali kuliko yote Tanzania kwasasa. Ukilitizama hili song unatamani uendelee kutazama tu.
  3. JamiiForums Tanzania Pata picha hii ingetokea hapa Tanzania

    Huyo kwenye video ni chatu wa Amerika ya Kusini, ajulikanaye kama anaconda. Inadaiwa kuwa hapo ni kwenye mji wa Porto Velho, nchini Brazil. Joka lilikuwa linavuka barabara na watu wakasimamisha magari yao na kuliacha livuke kwa amani na utulivu na bila kulidhuru wala kuliua. Wengine wakashuka...
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania Ports lead on having state of the art CARGO SCANNERS in East Africa

    Tanzania ina ongoza kwa kuwa na scanners za kisasa kwa ajili ya mizigo bandarini..Wakenya mpo....
  5. JamiiForums Tanzania Ili Tanzania kuwika kiuchumi Duniani, inategemea uongozi thabiti

    Kuna kila kigezo kwa nchi yetu sio siku nyingi kuwa nchi inayotoa misaada Ulaya. Kila kitu kinaonesha uwezekano huo. Mali asili, watu wenye akili na nguvu ni mifano inayoniamisha. Sasa nataka tuwe wakweli, ili kufanikisha hili tunahitaji kiongozi anayechekea Ulaya, Marekani na China au...
  6. JamiiForums Tanzania Kinga kwa Rais aliyeko madarakani na wastaafu ni kichocheo cha uvunjaji haki, Iangaliwe upya

    Katika nchi yetu kuna sheria za ajabu sana, mojawapo ni hii ya kumlinda Rais Mstaafu kutokana na makosa aliyoyafanya akiwa Rais. Habari juu ya Ufisadi uliofanyika katika awamu ya tatu ya Uongozi wa nchi yetu ni dira tosha ya kutufanya tufikirie upya juu ya Kinga ya Rais Mstaafu ya kutoshitakiwa...
  7. JamiiForums Tanzania GE2020 Zitto: Kura yangu nafasi ya Urais nitampigia Tundu Lissu (CHADEMA)

    MSIMAMO RASMI WA ACT WAZALENDO KUSHIRIKIANA NA CHADEMA. Hivyo basi, baada ya maelezo hayo, natangaza rasmi kwa Wanachama, Wafuasi, wapenzi wa ACT Wazalendo na Watanzania kwa Ujumla, kuwa: 1. Pale kwenye Kata ama Jimbo ambalo ACT Wazalendo tuna Mgombea, tunaomba Muwapigie Kura wagombea wa ACT...
  8. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Amani ya Tanzania baada ya uchaguzi ipo mikononi mwa NEC

    Mabadiliko yanayofanywa na NEC katika uchaguzi huu yanaacha maswali mengi kuliko majibu. Tukumbuke kuwa NEC ndiye hakimu wa uchaguzi huu hivyo akiyumba au kuyumbishwa basi mzigo wote utamwagika. Kwa mfano, suala la NEC kuwapangia vituo mawakala lina lengo la kuwapangia mbali na makazi yao au...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya vs Ethiopia, Kenya vs Tanzania

    Kenya vs Ethiopia Kenya vs Tanzania Ethiopia sio mchezo, lakini TZ tunakanyaga kama kawaida.
  10. JamiiForums Tanzania Mazingira ya kijana kuajiriwa au kujiajiri Tanzania ni magumu sana

    Mazingira ya kuajiriwa ama kujiajiri Tanzania ni magumu sana. Kwanza, Serikali imehodhi shughuli karibu zote za kiuchumi, leo kandarasi zote za ujenzi wa ofisi za umma inapewa TBA, NHC, Ardhi University au taasisi nyingine za umma. Kwenye ufundi wa vyombo vya moto na elektroniki ni TEMESA...
  11. JamiiForums Tanzania Tanzania: Taifa ambalo lina amani ila limekosa haki

    Taifa letu linasifika kote duniani kwa kuwa taifa lenye amani. Watu wanasema ukiuliza popote africa na nje ya Africa kuhusu tanzania utaambiwa ni taifa lililojipatia na kujizolea heshima kubwa duniani kupitia Mwl. Julius Kambarage Nyerere kwa kuwa taifa lenye amani na haki kwa watu wote kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Tetesi: Kuna jambo baya linaendelea Mtwara...

    Nimearifiwa na mmoja wa wahanga kuwa katika kijiji cha Kitaya kilichopo katika Halmashauri ya Nanyamba huko Mtwara kuna hali tete inaendelea huko. Kijiji kimevamiwa na watu wenye risasi za moto hali iliyopelekea Wananchi kukimbilia Porini. Mpaka asubuhi hii risasi zilikuwa zinaendelea...
  13. JamiiForums Tanzania Upinzani Tanzania utashinda tu na kuiondoa CCM 'Madarakani' kama ikianza na haya Muhimu na si blah blah zao

    1. Wajiimarishe kuanzia ngazi za chini kabisa za Wananchi ambapo CCM ndiyo huwa inawashindia 2. Wapambane kuwa Taasisi kweli kweli na siyo Vyama ambavyo vinakuwa 'Active' tu wakati wa Chaguzi 3. Waache Unafiki ( Undumilakuwili ) wao unaowamaliza 24/7 japo Ukweli huu huwa hawaukubali 4. Wasitumie...
  14. JamiiForums Tanzania Magufuli factor and impact of steming shadow economy in Tanzania

    A shadow economy is very detrimental to any nation, especially in the long run. That is mainly due to revenue losses suffered by government through rampant tax avoidance and tax evasion. Of course, on the other hand however the dominant class of shadow-economy billionaires may in the short run...
  15. JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Rais Magufuli 2015 - 2021

    Wanajukwaa poleni na misukosuko ya kujibadili kutoka kuwa walaji wa Mwisho kuelekea nchi ya Viwanda. Uwanja huu ni maalumu kama ule wa Safari za nje za Jakaya kikwete ila huu ni mahususi kukusanya mambo mazuri ya Awamu ya tano chini ya Rais Magufuli juu ya maendeleo yetu hasahasa kauli yake kuu...
  16. JamiiForums Tanzania Watanzania tuchague moja, Tanzania kwanza au siasa kwanza

    Wana JF, Nimeandika uzi wa TANZANIA NI BORA KULIKO SIASA Nimepata reply nyingi na niseme wazi kuwa watu wengi wanaonekana kuichoka amani kwani ndani ya Tanzania wana-reply kwa hasira na chuki. Leo naomba TUCHAGUE lipi bora, Tanzania kwanza au siasa kwanza. Tukichagua Tanzania kwanza nadhani...
  17. E

    JamiiForums Tanzania Jiji la Dar ndio Jiji muhimu zaidi kwa uchumi wa Tanzania

    Jiji la Dar ndio jiji muhimu zaidi kwa uchumi wa Tanzania. Kwasababu asilimia 99 ya vitu vyote vinavyo tumiwa na watanzania hadi wale wa vijijini vinatokea Dar es Salaam 1. Mafuta ya magari na bodaboda zote 2. Viatu na nguo toka nje ya nchi 3. Mafuta ya kula na taa 4. Vifaa vya ujenzi...
  18. JamiiForums Tanzania GE2020 Samia Suluhu: Hata mkipigia kura kule kwingine CCM ndio inaenda kuunda Serikali, tutashinda vikubwa sana Tanzania

    Mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi, (CCM), Mh. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 15/10/2020 amewambia wakazi wa Chunya mkoani Mbeya kuwa wasipige kura kwa Chama Kingine kwa sababu hata wakipiga kwingine Chama Cha Mapinduzi kinaenda kuunda serikali. Amesisitiza kuwa...
  19. JamiiForums Tanzania Tanzania mshindi wa tatu tuzo za biashara duniani

    TANZANIA imekuwa Mshindi wa Tatu kupata Tuzo za Taasisi zinazosimamia Biashara Duniani (WTPO 2020) katika kipengele cha matumizi bora ya ushirikiano katika huduma ya kliniki ya biashara inayosimamiwa na Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade). Tuzo hizo zimetangazwa juzi jijini...
  20. JamiiForums Tanzania Wapinzani wa Tanzania wanataka nini tena?

    WAPINZANI WA TANZANIA WANATAKA NINI TENA? Miaka ya 2010 kuelekea 2015 vyama vya upinzani vilipata nguvu kubwa sana ya kuungwa mkono mno na wananchi hasa kwa ajenda zao kubwa zilizowavutia sana Watanzania zilizobeba adhima ya kukemea vitendo vya ufisadi, rushwa, uzembe serikalini, matumizi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…