Virtual Private Network (VPN) imenirudisha JF

TEAM 666

JF-Expert Member
Dec 7, 2017
3,660
2,000
Virtual Private Network

Hellow Great Thinker

Taarifa rasmi kwawale wote walioshidwa kufanya access ndani ya JF. VPN ndio mkombozi wetu toka tarehe 28 usiku sikuweza kufanya access ndani mtandao wetu pendwa wa JF nilifanya majaribio kadhaa ya kuipata hi application ya VPN bila mafanikio kwani hapo mwanzoni haikua ndani ya simu yangu mungu nimwema leo majira ya saa 7 mchana nimefanikiwa kuipata.

Baadaya kuifungua hii APP Mambo yamekuwa mazuri.

660px-VPN_overview-en.svg.jpg
 

KENZY

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
16,398
2,000
Connected to France, hapa mkuu full kujiachia
Ha ha! Kuna watu wasingekuwa karibu nami mpk sahivi wangekuwa nje ya mtandao! Wacha nijisifu maana niligutuka mapema mno kulitambua hili likiwa bado hatua za awali! Wengine waliona kama ajabu kurudi hewani..😅 kama nchi tumefika pabaya siko proud na hili they are afraid of their own shadow!
 

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
109,489
2,000
Hii ni nzuri pia ili kuepuka hii Serikali dhalimu ambayo inafuatilia hadi watu wanachoandika mitandaoni kuikosoa. Kwani kuna wengi waliokamatwa kwa kumsema vibaya huyo anayejiita mwendawazimu au serikali yake.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom