Hii ndiyo BRT ya Tanzania wenzangu

Hii ndiyo BRT ya Tanzania wenzangu

vulcan

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
1,742
Reaction score
2,459
1604003463271.png
 
Ndo hiyo mkuu, sasa hivi tunategemea nchi nzima kua na maendeleo hatutegemea malalamiko yeyote toka kea wananchi , kwan ccm imechukua majimbo yote Kama alivyotaka mkuu,
Tunasubiri kuona akiifanyia kazi ile kauli yake kua mkichagua upinzani sileti maendeleo , tunasubiri maendeleo kwa hamu hatihitaji ngijera tena, hatutegemei 2025 mungu akitujalia uzima , hatutaki kauli za ukinichagua nitafanya hiki nitafanya kile , mmeshajichagua sasa haha tuleteeni maendeleo , tunahitaji kuona barabara safi , maji safi , umeme usiokatika hivyo , elim bora , huduma bora za afya n.k
 
Acha kuliza kinafki, hapo ni kwenye bus terminal ya jangwani , pana nature ya kuwa bondeni ndio mana kila mwaka mafuriko lazim yaingie kituoni, kama unavyo ona hayo matope....ila sio kwamba kumechimbik ndani ya kituo get your fact right.
Ungemuacha Kilaza Awalishe matango Poli Vilaza wenzie
 
Back
Top Bottom