tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Changamoto kwenye mfumo wa ajira Tanzania kati ya Medical Laboratory Personel na Biotechnology and Laboratory Sciencies personel

    Naomba kuwasilisha uzi huu kwa mfumo wa maswali kwa wadau juu ya sakata hili; 1) Je, sehemu pakufanyia kazi ni tofauti? 2) Kwanini hospital nyingi zinakataa kuwapokea watu biotechnology and laboratory sciencies. 3) Je, leseni za watu wa biotechnology and laboratory sciencies zinapatikana...
  2. JamiiForums Tanzania "Mabeberu" Marekani waanza mbinyo kwa Tanzania. Washawishi Serikali yao na Jumuiya ya Kimataifa kuanza vikwazo na kukata misaada

    According to the State Department, overall U.S. bilateral assistance to Tanzania, not including food aid, totaled an estimated $426 million in FY2019 and $548 million in FY2020. The Trump Administration requested $329 million for such assistance in FY2021. Kwa ufupi ripoti ya hali ya kisiasa...
  3. JamiiForums Tanzania Media za Tanzania zinaweza kufa kipindi hiki cha miaka mitano ya CCM

    Nazipa pole media za Tanzania hasa zile zisizopokea ruzuku ya serikali zinaweza kufa kibudu. Sababu hivi nani atanunua magazeti ya kusifu na kuabudu ayasome sasa hivi. Kama mlipigwa pini mitano iliyopita na mkaona sawa mkidhani adui yenu ni Lissu basi andikeni mmeumia maana ukosoaji kwasasa...
  4. JamiiForums Tanzania The Shift of Political Diplomacy to Economic and Security Diplomacy

    Esteemed Great Thinkers There is fast shift of the political diplomacy to economic and security diplomacy in teh current era that Tanzania should not grant a room to be aggressively superseded and call it a junk for fear to be blamed. The country has to vigorously engage in strategic economic...
  5. JamiiForums Tanzania Live from Tunis: Tunisia vs Tanzania

    Karibuni wazalendo tumnyooshe Tunisia nyumban kwake Mechi ni ya kufuzu Afcon ikiwa ni mechi ya 3,Tanzania alishinda mechi zake 1 na kupoteza 1 Tunisia yeye alishinda mechi zote mbili kikosi cha Tanzania manula Kapombe m husein Mwamnyeto mao Mkude sureboy Msuva bocco Farid Ombi:Mwenye link ya...
  6. JamiiForums Tanzania Muundo wa Elimu ya Tanzania

    Elimu nchini Tanzania hutolewa na sekta zote mbili, yaani, sekta za serikali na binafsi. Muundo wake kiujumla ni kama ifuatavyo:[ 👉Miaka 2 au 1 elimu ya vidudu/cheke-chea hutolewa kwa wanafunzi wenye umri kati ya miaka 5–6 (miaka 2), lakini hii watoto sehemu kubwa wanaanza wakiwa na umri wa...
  7. JamiiForums Tanzania Wamachinga waliozagaa pembezoni mwa barabara na sehemu zisizo rasmi katika miji mikubwa Tanzania waondolewe?

    Kumekuwa na wimbi kubwa la wamachinga kuzagaa pembezoni mwa barabara za magari na wapita kwa miguu na kuleta usumbufu mkubwa kwa watumiaji wa barabara hizo. Hii ipo kwenye mikoa Kama Dar es salaam mwenge - ubungo Ubungo-shekilango-manzese-magomeni Kariakoo-karume-ilala-buguruni...
  8. JamiiForums Tanzania Tufanye haya ili kuendelea kuimarisha uwekezaji na ukuaji wa uchumi Tanzania

    Tunaelekea kuufunga mwaka wa 2020 na panapo majaliwa itakuwa heri kwetu kuuona mwaka 2021. Miezi hii ya mwisho wa mwaka huwa ni wakati mzuri wa tafakari ya wapi tumefanikiwa mwaka huu. Kama nchi, Tanzania ina mambo mengi ya kujivunia mwaka huu na mojawapo ni lile la kuingia katika kundi la nchi...
  9. JamiiForums Tanzania Mataifa ya Marekani, Umoja wa Ulaya, Japan na Mamluki wote msithubutu kuishitaki, kuweka vikwazo na kupandikiza magaidi Tanzania mtajuta

    Wakuu, Inaelekea mataifa tajwa hapo juu wamejizatiti kuendelea kuhuju ustawi wa Tanzania. Kifupi hizo nchi zisithubutu kushitaki popote, kupanga njama za kuvamia, kuhujumu ustawi wa nchi kwa kutumia mamluki, wasaliti na vibaraka wao. Mataifa tajwa hapo juu hawana maslahi yoyote na madai ya...
  10. JamiiForums Tanzania Je, huu ni mwanzo wa anguko la Tanzania kidiplomasia? Kuna nini nyuma ya pazia?

    Kwa wale tuliofatilia hotuba ya Mh. Rais mpaka mwisho katika hotuba ya ufunguzi wa Bunge na kusikiliza wageni mbali mbali wa Jumuiya za Kimataifa wadau wa maendeleo pamoja na wawakilishi na mabalozi wa mataifa mbalimbali, hatujaona ushiriki wa balozi wa Marekani, Ufaransa na Ubelgiji. Mabalozi...
  11. JamiiForums Tanzania Tanzania nchi ya imani

    Nimeonelea badala ya mawazo ya kulaumu, kulalamika, kulaani…...nitoe mawazo ya kujenga angalau kujaribu kuepusha matatizo makubwa yanayoisogelea Tanzania. Ni matumaini yangu wakuu watayaona na angalau kuyafikiria. Kila mfuatiliaji atajua uchaguzi uliopita, mithili ya chaguzi zote zilizopita...
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Lini Wakenya watazinduka na kuitazama Tanzania kama kioo badala ya kuendelea kuiona kama adui?

    Kenya ni nchi yenye matatizo mengi ya kijamii, kisiasa na kiuchumi kwa sasa, ukabila, rushwa, ukosefu wa usalama, upungufu wa chakula, migogoro kati ya jamii za wafugaji, miradi ya serikali isitozingatia mahitaji ya wananchi, Covid -19, dhuluma ya umiliki wa athi, vurugu za kisiasa wakati na...
  13. JamiiForums Tanzania The New York Times lasambaza uongo Uchaguzi Mkuu wa Tanzania, ladai haukuwa huru na wa haki. Je, ni kweli tunyamaze, au uongo tukanushe?

    Wanabodi, Hili ni bandiko la Swali, Gazeti la The New York Times, la Marekani, ambalo ni la tatu duniani kwa ukubwa, lasambaza uongo kuhusu Uchaguzi Mkuu wa Tanzania, ladai haukuwa huru na wa haki. Je, ni kweli tunyamaze tuu au ni uongo tukanushe? Kwenye bandiko hili, natumia kanuni ya...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Robert Amsterdam: Tunatarajia kufungua kesi ICC kuhusu Tanzania hivi karibuni

    Robert Amsterdam ameandika hivi katika akaunti yake ya twitter: With respect to Tanzania we anticipate our first filing with the ICC shortly. Further we are planning hearings before the Parliaments of Donor countries and will continue to urge non recognition of the Impostor.
  15. JamiiForums Tanzania GE2020 Wanachama wa CHADEMA zaidi ya 350 wanashikiliwa Magerezani na kwenye vituo vya Polisi nchini Tanzania kwa sababu za Uchaguzi wa 2020

    Taarifa hii ya kusikitisha imetolewa na Katibu Mkuu wa CHADEMA Mh John Mnyika , alipokuwa anaongea na Gazeti la Mwananchi . Taarifa zaidi zinaonyesha kwamba wengi kati ya waliokamatwa wamepewa kesi za uongo zisizo na dhamana za Mauaji , Uhujumu uchumi , Ugaidi , Unyang'anyi na kukutwa na vifaa...
  16. JamiiForums Tanzania GE2020 Tanzania ni nchi ya 4 kutokea chini katika orodha ya Nchi Zinazokosa Furaha, CUF tumekuja na sera ya ''Tanzania yenye furaha inawezekana''

    "Taarifa ya furaha duniani inasema Tanzania ni nchi ya 4 kutokea chini katika orodha ya nchi zinazokosa furaha na sisi CUF tumekuja na sera ya Tanzania yenye furaha inawezekana" - Prof. Ibrahim Lipumba. - "Unaposema uchumi wa nchi unakua na wakati wananchi mifukoni hawana kitu ni kitu ambacho...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Ungekuwa ni wewe ungenunua nyumba hii kwa kiasi gani (zungumzia mazingira ya Tanzania)?

    Nyumba ya Kobe Bryant Yapigwa Mnada Nyumba aliyokalia aliyekuwa gwiji wa mpira wa Kikapu, marehemu Kobe Bryant imepigwa mnada na kuuzwa kwa kiasi cha ($810,000) sawa na TZS. Bilioni 1.8. Kwa mujibu wa TMZ Sports, nyumba hiyo iliyopo mjini Pennsylvania iliwekwa sokoni mwezi Septemba kwa dau...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Uhuru Kenyatta: Nchi jirani zinahitaji siasa ambazo ushindani si uadui na vita

    Katika kile unachoweza kutafsiri kama ni Kenya kuguswa na siasa mpya za Tanzania, Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amesistiza ustahimilivu wa kisiasa hasa kwa nchi zilizoizunguka. Amesema uchaguzi unafaa kuleta utangamano wa nchi na siyo kinyume chake. Amedai kuwa siyo siri nchi zinazoizunguka...
  19. JamiiForums Tanzania Singa: Kijiji kilichokuwa tajiri kuliko vyote Tanzania kabla na baada ya uhuru

    Singa ni kijiji kilicho katika kata ya Kibosho mashariki, wilaya ya Moshi vijijini katika mkoa wa Kilimanjaro. Wakaazi wa eneo hili ni Wachagga wa Kibosho japo siku hizi kuna wapare wengi na makabila mengine kama wasambaa na hata wahaya(wengi ni wajenzi). Kijiji cha Singa kimegawanyika sehemu...
  20. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Bungeni: Rais Magufuli amteua Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu, Bunge zima(Wabunge 350) wampigia kura za ndiyo

    Karibu Spika Ndugai amesoma Katiba kuelezea namna Waziri Mkuu anavyopatikana. Chanzo: ITV ======== Mpambe wa Rais tayari kawasili kwenye ukumbi wa bunge akisindikizwa na askari wa bunge akiwa amebeba bahasha yenye jina la waziri mkuu ajae. Baada ya spika Ndugai kuipokea amempa kazi katibu wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…