tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Meli ya Tanzania yangundulika kusambaza Silaha nchini Libya. Je, Nasi tutawekewa Vikwazo na Mabeberu?

    Get short URL FILE PHOTO: Annual NATO's Submarine Warfare Exercise DYNAMIC MANTA held with the naval forces of Turkey, Canada, France, Germany, Greece, Italy, Netherlands, Spain, United Kingdom and USA in Palermo, Italy on February 25, 2019 © Getty Images / Dursun Aydemir/Anadolu Agency When...
  2. Mchango wa WanaJF Kuelekea Uchaguzi wa Kidemokrasia 2020

    Ndugu wana JF, Ninawasilisha ombi kwenu kujitolea kuchangia nchi yetu iweze kufanikisha uchaguzi wa kidemokrasia (2020) kwa lengo la kuimarisha utawala bora katika taifa letu. Pengine tuanze kutoa ushauri wa kitaalam kwa vyama vya siasa na wagombea kila mara wawe wanakuja hapa kuchota maarifa...
  3. Mtaji watu na Uchumi wa Kati Tanzania

    Leo nitajaribu kuandika katika namna ambayo nitakayoyandika yatakuwa yanatawaliwa kwa kiasi kikubwa na nadharia ya uwekezaji kwenye raslimali watu kwa sababu ya umuhimu wake hasa wakati huu ambapo ndiyo kwanza tumeanza kuelekea kwenye shauku ya Taifa letu yaani kukua kiuchumi na kufikia hatua ya...
  4. E

    Baada ya CHADEMA kubweteka, Tanzania hatuna chama mbadala cha kuwasumbua CCM

    CCM chini ya JPM tunaomba iendelee na moto huu huu katika kuisimamia serikali. Ni wazi kuwa nchi hii ilikuwa imeharibika sana kiasi cha kufanya kila mwenye pesa alikuwa na uwezo wa kumfaya maskini chochote. CHADEMA walisaidia sana kelele na kauli mbiu yao ya VUA GAMBA UVAE GWANDA, ni kweli...
  5. Kwenu wasanii wa Tanzania: Uchaguzi ukiisha kila mmoja akale alipopeleka mboga

    Kwenu wasanii wa Tanzania na Bongo Fleva. Sisi Watanzania wengine tusiopendezwa na mambo ya Chama cha Mapinduzi tumeona mwenendo wenu. Tumeona hakuna shida kwa mujibu wa katiba, mko sahihi. Siasa zinapita. Sanaa yenu naamini mtapenda ibaki ikipendwa na sisi Watanzania wote. Wazungu husema...
  6. Tanzania - Robust Financial Sector Hooks World Attention

    Credit : Daily News - Dar es Salaam TANZANIA's financial sector has continued to shine locally and internationally, thanks to an enabling environment put in place by the fifth phase government. This enabling environment put in place through policies, legal and regulatory frameworks have ensured...
  7. Mombasa Port handles twice the amount of cargo that all Tanzania Ports handle when combined

    According to the reports both from Kenya Bureau of standards and Tanzania National Bureau of statistics, it has emerged than Mombasa port alone handle twice the amount of cargo that all Tanzanian Ports handled when combined together. The performance of Mombasa port last year was recorded at...
  8. Tanzania has what it takes to be ‘African economic giant'

    East Africa’s sleeping giant is finally awakening. Right in the middle of the global Corona virus pandemic, Tanzania has provided a rare piece of good news — on 1 July 2020, the country achieved its middle-income vision five years ahead of schedule. As a coastal economy bordering eight...
  9. Poleni Wapinzani Tanzania, tambueni na myatafakari yafuatayo

    Kwa kutazama filamu ya kiuchaguzi inayoendelea hivi sasa, ninaishiwa maneno ya kuzungumza. Lakini, kwakuwa JF ni a house of great thinkers, chukueni yafuatayo ili mchanganye na zenu kuelekea Oktoba 2020: 1. Kila katika kuelekea kwenye uchaguzi mkuu, CCM lazima 'imuondoe' kada wake mmoja...
  10. GE2020 CUF: Wagombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Zanzibar kujulikana Julai 27, katika Mkutano Mkuu wa Chama

    SISI CUF MGOMBEA WA URAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA MGOMBEA RAIS WA ZANZIBAR WATAJULIKANA JULAI 27 "Mkurugenzi wa Mipango Na Uchaguzi CUF TAIFA Mhe. Juma Kilaghai ameyasema hayo Leo katika mahojiano na Waandishi wa habari kuwa Tarehe 27 mwezi huu ndiyo siku ya Mkutano Mkuu wa...
  11. GE2020 CHADEMA isihangaike na Urais imeweka wagombea asilimia tano tu ya majimbo yote ya Tanzania, hawawezi shinda au kuunda Serikali

    CHADEMA isihangaike na uraisi imeweka wagombea ubunge asilimia tano tu ya majimbo yote ya Tanzania hawawezi shinda au kuunda serikali. CHADEMA walioomba kuteuliwa na chama kugombea ubunge wameomba majimbo asilimia tano tu ya mnajimbo yote ya uchaguzi Tanzania, asilimia 95 ya majimbo hakuna...
  12. Mahakama ya Afrika, yaitaka Tanzania kubadili Katiba kuruhusu Wananchi kupinga matokeo ya Kura za Urais

    Mahakama ya Afrika yaitaka Tanzania kubadili Katiba kuruhusu Wananchi kupinga matokeo ya Kura za Urais Mahakama ya Afrika ya haki za binadamu imetoa uamuzi kuwa Ibara ya 41(7) ya Katiba ya Tanzania inayokataza matokeo ya urais kupingwa Mahakamani inakiuka Ibara ya 1,2, 7(1)(a) ya Mkataba wa...
  13. TAKUKURU: Uchaguzi wa viongozi wa chama cha Wafugaji Tanzania

    Tunafahamu kwamba hivi karibuni ndani ya mkoa wa Dodoma kutafanyika uchaguzi wa viongozi wa Chama cha wafugaji Tanzania. Mkutano huo umepangwa kufanyika siku ya Jumapili tarehe 19/07/2020 ambapo viongozi wa ngazi ya kitaifa wa chama hicho watachaguliwa kuongoza chama kwa miaka mitatu 03. Nafasi...
  14. Gold trade body urged to suspend refinery over alleged abuses in Tanzania

    The North Mara mine in Tanzania. It has been alleged that police guarding the mine have beaten, shot and sometimes killed locals. Photograph: Forbidden Stories ''A corporate watchdog is calling for the London Bullion Market Association (LBMA) to suspend the membership of one of the world’s...
  15. T

    An analytical narrative of nation formation in modern Tanzania

    An Analytical Narrative of Nation Formation in Modern Tanzania Tanzania’s political stability is legendary within Africa. It has never suffered any civil wars, coup d’états or violent national elections, and has had regular presidential and parliamentary elections every five years since...
  16. 'Wanyonge' ni akina nani na wapo wangapi nchini Tanzania?

    Kwa muda sasa tumesikia kuwa Tanzania kuna 'wanyonge' na Rais amekuwa akiwapigania kwa kujiita ni 'Rais wa wanyonge.' Hivi 'wanyonge' wana sifa zipi? Na idadi yao ni kiasi gani? Kitu gani hasa kinawaweka kwenye 'unyonge' kama kweli wapo? Hivi kama kweli hawa 'wanyonge' wapo, wanakombolewa na...
  17. Barua ya wazi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli

    Barua ya wazi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mhe Dkt. John Pombe Magufuli. Kwako Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Natumai unaendelea vizuri na shughuri zako za kila siku. Mimi ni kijana wako mtanzania halisi mpenda maendeleo na mchapa kazi wa kweli. Nakupongeza kwa...
  18. Shilingi ya Tanzania yazidi kuporomoka dhidi ya US Dollar, Euro na Paundi

    Kwa rate ya leo ya kuuza na kununua fedha hizo za kigeni ni kama ifuatavyo 1. USD inauzwa kwa shilingi 2317 na kununuliwa kwa shilingi 2354 2. Euro inauzwa kwa shilingi 2580 na kununuliwa kwa shilingi 2700 3. Paundi unauzwa kwa shilingi 2854 na kununuliwa kwa shilingi 2974
  19. B

    Mgonjwa kwao, lawama Tanzania - Mabeberu hawa!

    Mabeberu kazi wanayo. Kila tukipiga chenga wao wanafuata nyayo. Inafikirisha kuwa hata huko Isingiro Uganda mgonjwa wao kwanza aliyepatikana jana, eti naye kapita 'kinyoka nyoka' mpakani akitokea Tanzania kinyume cha utaratibu: ---- The East African region Monday recorded a spike in...
  20. Hivi Sheria kama hii haiwezi kufikiriwa kutungwa Nchini Tanzania kwani tumechoka kupatwa na 'Vinyaa' kila wakati?

    Napendekeza Kutungwe Sheria Kali sana nchini Tanzania ya ama Kuwalipisha Faini au kuwapa Adhabu ya Kusafisha Vyoo vya Jiji au Barabara Wanawake wote wanaogundulika Kutupa hovyo Taulo zao za Kike (Pedi/Sodo) Mitaani. Vile vile hata ikitokea Taulo hizo zimekutwa Nyumbani kwa Mtu au Mtaani basi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…