TAKUKURU: Uchaguzi wa viongozi wa chama cha Wafugaji Tanzania

Nyendo

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
1,191
4,103
Tunafahamu kwamba hivi karibuni ndani ya mkoa wa Dodoma kutafanyika uchaguzi wa viongozi wa Chama cha wafugaji Tanzania. Mkutano huo umepangwa kufanyika siku ya Jumapili tarehe 19/07/2020 ambapo viongozi wa ngazi ya kitaifa wa chama hicho watachaguliwa kuongoza chama kwa miaka mitatu 03.

Nafasi za uongozi wa Kitaifa zitakazogombewa siku hiyo ni Mweneyekiti, Makamu Mwenyekiti, Katibu msaidizi na Mweka hazina na wajumbe wa kamati Tendaji.

1594817843893.png
1594817895636.png

1594817947887.png

1594817996202.png
 

Attachments

  • press release 15 julai 2020.pdf
    596.6 KB · Views: 5
Hakikisheni wagombea wanamiliki ng'ombe au hata kuku tu. Asipite mtu aiehonga.
 
Back
Top Bottom