Itabakia NSSF, Tanesco, CRDB, NMB labda na mwendo kasi, hata ubishi wa mpira utaisha Tanzania kwani bila ya Wahindi /Waarabu hakuna Simba, Yanga wala Azam.
I mean, sisi watu weusi inabidi tuamke kwa kweli. Idi Amini alifukuza Wahindi baadaye wakaenda kuwapiga magoti warudi, kuna jamaa (mweusi...