Uwe maarufu au la, usijifanye una hela wakati huna! Utakuja umbuka msibani

Michewen

JF-Expert Member
Jun 27, 2012
24,536
32,144
Unajirusha mitandaoni maisha bora, kubadilisha magari makali, unaishi apartment kali, Bata kwa Sana! Kumbe sirini maisha feki, mke elimu Hana Zaid ya kuuza sura. Siku ya msiba mnaumbuka Mbele ya makamera!
***Msibani watu wanalia kwa mengi (aibu/fedheha mixer huzuni).
 
Ndo mtupe connection sasa maana naona mapicha picha tu
Tutafute pesa, tupendezeshe kwetu (zikiwemo nyumba za ibada wanapoabudu wazazi nyumbani). Wenzetu wachaga wanachangia hata wakiwa huku mijini. Sisi toka Singida sijui tunakwama wapi?
**Haifurahisi unaendesha Gari Kali (Range Rover, VW, Ford au BMW) halafu home picha za kuibia, unavizia palipopambwa tu!
 
Tutafute pesa, tupendezeshe kwetu (zikiwemo nyumba za ibada wanapoabudu wazazi nyumbani). Wenzetu wachaga wanachangia hata wakiwa huku mijini. Sisi toka Kondoa na Mpwapwa sijui tunakwama wapi?
**Haifurahisi unaendesha Gari Kali (Range Rover, VW, Ford au BMW) halafu home picha za kuibia, unavizia palipopambwa tu!
Mlengwa wa hizi tuhuma ni msanii yupi hebu mwaga mchele yaani nakuona una kitu ila hutaki kufunguka
 
Back
Top Bottom