Kwanini Wakenya wana chuki sana dhidi ya Tanzania?

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,871
155,840
Mara kadhaa Wakenya wamekuwa wakionyesha chuki ya waziwazi dhidi ya Tanzania, hivi Tanzania iliwakoseeni nini?

Hebu angalia hizi picha mbili chini uone kina MK254 na wenzake ambavyo wana kikorosho kwa mtima.

Screenshot_20201230-053713.png

Screenshot_20201230-053700.png
 
Mara kadhaa Wakenya wamekuwa wakionyesha chuki ya waziwazi dhidi ya Tanzania, hivi Tanzania iliwakoseeni nini?
Hebu angalia hizi picha mbili chini uone kina MK254 na wenzake ambavyo wana kikorosho kwa mtima.
View attachment 1663444

View attachment 1663445

Tatizo mkiambiwa ukweli huwa mnaona kama mnachukiwa, hivi mchukiwe kwa lipi au mna kipi haswa hicho cha kuchukiwa.
Hapo jamaa ametoa maoni ya kurekebisha ili iandikwe kama ilivyo.
Daraja letu Athi River lina urefu wa mita 2,785m
Daraja lenu la Mkapa lina urefu wa mita 970m

Kwa hivyo ametoa maoni iandikwe kwamba letu ndio refu Afrika ya Mashariki, ilipaswa badala ya kulialia umbishie kwa data zako ueleze namna gani urefu wa 970m umezidi wa 2,785m.
 
Wanaionea tamaa nchi yetu.
😋😋😋
Lkn si wakenya pekee ndiyo wanaoitamani Tanzania. Nchi nyingi, toka pande zote za dunia, kwa sasa wanaiangalia Tanzania kwa namna ya pekee sana. Hususan rais wetu kipenzi na pia katika kipindi hiki cha korona. Kuna bwana mmoja nilikutana naye, Dulles International Airport, alivyoniona nimevaa t-shirt ya picha na maandishi ya mlima Kilimanjaro, akanisogelea. Na kuniuliza hali ikoje kuhusu korona. Nikamjibu kwa ufupi tu ya kuwa, the citizens are psychologically fit. Our lovely President managed to make people out of fear. They take precautions out of fear, even if caught the flu, they treat it our of fear. In short no fear regarding the pandemic. Hamna kuogopa.
 
Tanzania na Kenya tulikua marafiki mnoo lakini akatokea mtu mpumbavu mjinga wa ajabu sana tukakosana nao
Wakenya hawatuchukii mimi nipo mpakani ila Watanzania Ndio tuna kinyongo nao baada ya Lissu kwenda kutibiwa huko Ndio matatizo yalipoanza
Kweli huwezi kusikia kiongozi wa Kenya akisema vibaya Tanzania ila viongozi wetu kutwa kuizungumza vibaya kisa.. Kwa nini lissu alipokelewa Kenya
Msikilize jakaya kwenye clip yake wakati anahutubia bunge la Kenya 2015
 
Tatizo mkiambiwa ukweli huwa mnaona kama mnachukiwa, hivi mchukiwe kwa lipi au mna kipi haswa hicho cha kuchukiwa.
Hapo jamaa ametoa maoni ya kurekebisha ili iandikwe kama ilivyo.
Daraja letu Athi River lina urefu wa mita 2,785m
Daraja lenu la Mkapa lina urefu wa mita 970m

Kwa hivyo ametoa maoni iandikwe kwamba letu ndio refu Afrika ya Mashariki, ilipaswa badala ya kulialia umbishie kwa data zako ueleze namna gani urefu wa 970m umezidi wa 2,785m.
Tatizo ni kwamba halijulikani. Huyo Mkenya hakuwa na haja ya kutokwa mapovu kuwa Tanzania tumehonga ili tuorodheshwe.
Alichokifanya kinadhihirisha chuki waliyonayo Wakenya kwa The Blessed Land of Tanganyika and Zanzibar
 
Tanzania na Kenya tulikua marafiki mnoo lakini akatokea mtu mpumbavu mjinga wa ajabu sana tukakosana nao
Wakenya hawatuchukii mimi nipo mpakani ila Watanzania Ndio tuna kinyongo nao baada ya Lissu kwenda kutibiwa huko Ndio matatizo yalipoanza
Kweli huwezi kusikia kiongozi wa Kenya akisema vibaya Tanzania ila viongozi wetu kutwa kuizungumza vibaya kisa.. Kwa nini lissu alipokelewa Kenya
Msikilize jakaya kwenye clip yake wakati anahutubia bunge la Kenya 2015
kiongozi gani hata mmoja anashinda akitoa matamko ya chuki kuihusu kenya???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo lenu kwenye awamu hii mnatambia kila kitu utadhani ndio kimebuniwa leo, na mkirekebishwa mnalialia sana. Mbishieni huyo kwa data, kulialia eti mnachukiwa hakutabadilisha ukweli kwamba dushe letu ndio refu.
 
kiongozi gani hata mmoja anashinda akitoa matamko ya chuki kuihusu kenya???

Sent using Jamii Forums mobile app
Juzi Jafo alikua kwenye sherehe za kidinni akasema Wakenya SGR yao imewashinda mpaka wametaka mikopo
Akasema hata hivyo inatumia dizeli tofauti na yetu
Pia akasema wameliwa na nzige kwao njaa kwetu neema
Jiwe wakati anafunga bunge alisema yauzieni mazao bei kali hayana chakula kwa sababu ya nzige na corona wala msiwaonee huruma
 
sasa kauli ipi ya chuki hapo!!!

hizo zinafanana na zile za jaguar??

train ni kweli limeishia njiani,ni kweli inatumia deisel wala aio uongo,lakini pia ni kweli huwa wananunua chakula kwetu kama jpm alivyosema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sasa kauli ipi ya chuki hapo!!!

hizo zinafanana na zile za jaguar??

train ni kweli limeishia njiani,ni kweli inatumia deisel wala aio uongo,lakini pia ni kweli huwa wananunua chakula kwetu kama jpm alivyosema.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yauzieni chakula bei ghali yameliwa na nzige na corona!!
SGR yao imewashinda!!
Hicho ni kiswahili kwa Adui au rafiki?
Hata ndugai amewahi kuwarushia maneno ya karaha
Chakula kwa sasa hawanunui Tanzania tena baada ya kufanyiwa urasimu wa Hali ya juu
Wakulima mpaka Leo wanamazao hakuna mnunuzi
Shida ipo kwa Wakulima wa matunda yanaozea shambani
 
sasa kauli ipi ya chuki hapo!!!

hizo zinafanana na zile za jaguar??

train ni kweli limeishia njiani,ni kweli inatumia deisel wala aio uongo,lakini pia ni kweli huwa wananunua chakula kwetu kama jpm alivyosema.

Sent using Jamii Forums mobile app

Inaelekea hajui maana ya kauli za chuki.
Umefanya vyema kurejea kauli aliyotoa Jaguar dhidi ya waTanzania waishio Kenya.

Hata korona, walimsanifu mkuu wetu wa nchi na wananchi kwa ujumla. Lkn ukweli Umedhihiri.
 
Tanzania na Kenya tulikua marafiki mnoo lakini akatokea mtu mpumbavu mjinga wa ajabu sana tukakosana nao
Wakenya hawatuchukii mimi nipo mpakani ila Watanzania Ndio tuna kinyongo nao baada ya Lissu kwenda kutibiwa huko Ndio matatizo yalipoanza
Kweli huwezi kusikia kiongozi wa Kenya akisema vibaya Tanzania ila viongozi wetu kutwa kuizungumza vibaya kisa.. Kwa nini lissu alipokelewa Kenya
Msikilize jakaya kwenye clip yake wakati anahutubia bunge la Kenya 2015
Umeelewa swali la mleta mada?

Zungumzia kiambatanishi alichoweka cha daraja la mkapa...achana na hadithi za essopo..sijui Kikwete kafanyaje, baki njia kuu!
 
Kwani daraja la mkapa Ndio Tatizo?
Mimi Nafikiri daraja la mkapa Magu amelikuta na uhusiano wetu na Wakenya umeharibiwa na jiwe
Kisa kwa nini lissu alienda kutibiwa Kenya
Hakuna kingine
Nairobi kuna flyovers 8 kwa zaidi ya miaka 10
Mombasa kisumu usiseme
Eti daraja kule kusini sasa linawahusu nini Wakenya hata Sisi watanzania tulio wengi tunaliona kwenye picha tu
Je tungekua na daraja kama la Misri tungesema Wakenya wanaturoga
Wakenya 99% hawajawahi wala hawapajui Mtwara
 
👍
 
Back
Top Bottom