tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Human Trafficking ipo kwa kiasi kikubwa Tanzania

    Achilia mbali hawa watu wenye ulemavu wanaoletwa Dar kutoka sehem mbalimbali nchini na kuhifadhiwa kwenye magesti ili wakawe omba omba wapo wengine wanakusanywa Kinondoni na kusafirishwa sehemu mbali mbali nchi za nje ili kufanya kazi za ndani, kazi za kujiuza na kubeba madawa !! Wahusika...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Nakubaliana na mchungaji Msigwa kuwa level of thinking Tanzania imeshuka

    Kuna clip iko kwenye mitandao ikionyesha mahojiano aliyofanyiwa mchungu Msigwa na Darmpya tv, ambapo mchungaji Msigwa anasikika akiongelea swala la critical thinking. Msigwa anasikika akisema, wakati wa Mwalimu, vijana wa chuo kikuu walikuwa na uhuru wa kusema chochote wawapo maeneo ya chuo na...
  3. JamiiForums Tanzania Gari zinazobeba hewa ya carbon dioxide Tanzania zikipinduka maeneo yenye watu na matanki kupasuka nini kitatokea?

    Nimepishana na gari la Azam limebeba carbon dioxide. Gari zinazobeba hewa ya carbon dioxide Tanzania zikipinduka maeneo yenye watu na matanki kupasuka nini kitatokea? Hiyo hewa inaingizwaje kwenye tank? Vituo vyake vya kujazia viko wapi? Kama carbon dioxide ni biashara haiwezekani watu...
  4. JamiiForums Tanzania Waziri Lukuvi awataka wamiliki wa ardhi kujenga kwa kufuata sheria

    Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amewataka wamiliki wa ardhi wanaotaka kujenga kuhakikisha wanafuata sheria na taratibu zote wakati wa kufanya ujenzi. Waziri Lukuvi alisema hayo mwishoni mwa wiki hii katika ofisi yake ya ardhi ya mkoani Dar es Salaam na Pwani...
  5. JamiiForums Tanzania Wale ambao ni ma-Atheist Tanzania kama mimi, niambie; ulifiakiaje hiyo conclusion?

    Jana nimeona thread ambayo ilimtambulisha OP kama atheist aliyetaka ushauri. Hii ndo ilikuwa mara ya kwanza kuona atheist Tanzania na cha kushangaza zaidi, ma-atheist walikuwa na uelewa mpana sana wa Philosophy and sciences kitu ambacho kilinishangaza. So we kama ni atheist, unaweza kushare...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Nani kawatuma wananchi kumwona Mbowe shujaa wa siasa za Tanzania?

    Duniani wapo watu wamezaliwa na wivu. Wakati wote wanatamani wao waonekane bora kuliko wengine. Hii haikuanza hivi karibuni bali imeanza toka asili ya binadamu. Utakumbuka Kaini alivyotoa sadaka iliyomchukiza Mungu wakati Abel alitoa sadaka infaayo Mungu. Matokeo yake Sauli hakulia na kumshutumu...
  7. JamiiForums Tanzania Askofu Mwamakula: Haiwezekani katika jamii wakakaa kimya wote!

    TANZANIA! TANZANIA! TANZANIA! SIKIA SAUTI YA ASKOFU! Askofu Mkuu Oscar Romero wa Kanisa [Roman] Katoliki nchini El Salvador alipokuwa akitetea haki hakuwa na nia ya kugombea nafasi za kisiasa nchini El Salvador! Askofu Mkuu Desmond Tutu wa Kanisa Anglikana Afrika Kusini Alipotetea haki hakuwa...
  8. JamiiForums Tanzania Uraia pacha na Tanzania

    Suala la uraia pacha, limejitokeza tena kuwa hoja nzito katika mkutano wa tatu wa uratibu wa wadau Watanzania wanaoishi ughaibuni (diaspora), huku baadhi wakiitaka serikali kuharakisha mchakato wa kuanzisha utaratibu huo. Walisema Watanzania wanaoishi nje ya nchi wanapata adha kubwa na wengine...
  9. JamiiForums Tanzania Ndoto yangu, Tanzania ambayo Mtanzania anaweza kuishitaki Serikali Mahakamani na Serikali kutii!

    Nchi nyingi huwa nasoma kwamba kwa mfano Serikali imechukuwa tuseme uamuzi x Wananchi wa hiyo nchi wanapinga wanakwenda Mahakamani kushitaki kwamba uamuzi huo ni kinyume na Katiba ya nchi yao, Mahakama inaamua na kutengua huo uamuzi wa Serikali na Serikali kutii, sijui kama hilo linawezekana...
  10. JamiiForums Tanzania Mwanaharakati Zara Kay akabiliwa na mashtaka ya kuwa na uraia pacha nchini Tanzania. Hati yake ya kusafiria yachukuliwa na Vyombo vya Usalama

    Mwanamke wa Australia amekamatwa na kushtakiwa nchini Tanzania muda mfupi baada ya kukosoa jinsi Rais wa Tanzania anavyoshughulikia janga la COVID-19 katika chapisho la mitandao ya kijamii. Zara Kay, raia wa Australia ambaye alizaliwa nchini Tanzania, aliambiwa afike kituo cha polisi katika...
  11. JamiiForums Tanzania Kibonzo cha Kipanya 02/01/2020 Tanzania imerusha “setilaiti” ya kwanza na USA yaomba msaada Tanzania

  12. T

    JamiiForums Tanzania Serikali yakiri kuwa zaidi ya 80% ya watalii wanaotembelea Tanzania huwa hawarudi tena

    Juzi hapa Katibu Mkuu wa Wizara ya Utalii alikutana na wafanyakazi wa wizara hiyo katika kujadili masuala ya utalii na changamoto zake alikiri kuwa zaidi ya 80% ya watalii wanaotembelea Tanzania huwa hawarudu tena, wakishakuja mara moja wengi wao huwa hawarudi tena. Maana yake ni kuwa sisi...
  13. JamiiForums Tanzania Wakati dunia inapigana na ukatili kwa watoto ikiwemo viboko mashuleni, Tanzania ukatili wa watu wazima unafanyika hadharani

    Hii tabia ya viongozi kuchapa raia viboko ni udhalikishaji na ukatili unaopaswa kukemewa kwa nguvu zote. Ki tendo cha kumpigia viboko mtu mzima hadharani ni kumshushia thamani na utu wake. Maafa ya kisaikolojia atakaa nayo mtu yule kwa muda mrefu na wengine hatutaelewa wameathirika kiasi gani...
  14. E

    JamiiForums Tanzania Kwanini Benki za Tanzania hazina ATM machine za kuweka fedha

    Habari za mihangaiko wakuu, Kwanini benki za Tanzania hazina ATM machine za kuweka fedha?
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mzungu Amekuja kutalii Kenya na akaamua kuja kutazama border kati ya Kenya na Tanzania

    Huyu mzungu anataka kujua the real authentic experience ya Africa. Yeye anataka kuja kwenye border ya Kenya na Tanzania ili aone jinsi border inavyofanana. Halafu kwenye video inaonyesha wazi kuwa baadhi ya watu wanavuka tu kupitia njia za mkato bila passport yao kuangaliwa. Sasa yule mbunge wa...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Nabii wa Ishara Tanzania: CCM wataomboleza, Zanzibar kuna mgogoro na kifo cha mtu mkubwa 2021

    Tizama mwenywe dakika ya 32 - 37 na 47- 49:30 ama kama unaweza tazama yote. Katabiri mengi yatakayojiri 2021, lkn mm nimechukua ya kisiasa tu. 1. Wakuu wa mihimili 3 mmojawapo atapata shida kubwa ya kiafya na kupelekea ku-rest in peace. 2. Mmojawapo wa viongozi wakubwa wa ccm ataingia kwenye...
  17. JamiiForums Tanzania Natarajia kuiona Tanzania aliyoiacha Mwalimu Julius Nyerere inarudi tena

    Kwa tuliobahatika kuushudia utawala wa mwl JKN ni wazi kabisa kuwa ni mashuhuda kuwa tuliishi maisha yasiyo na stress Kuanzia shule ya msingi mpaka Chuo Kikuu ilikuwa ni bure, huduma za afya bure. Kulikuwa hakuna matabaka maana hakuna cha mtoto wa kigogo au kibopa kusoma shule tofauti na...
  18. JamiiForums Tanzania Strict Internet and information Laws is a must for Tanzania security. My case in 800 words or less

    As President Bill Clinton mocked the Chinese president Jiang Zemin for his nation’s naivety in attempting to control the internet, the great firewall of China as it was pejoratively known, the crowd joined. At the time, in 2000s, this response was sensible considering how unknown the internet...
  19. JamiiForums Tanzania TRA yavunja rekodi ya makusanyo ya mwezi Desemba 2020

    Leo 01/01/2021 mamlaka ya mapato Tanzania kupitia kwa waandishi wa habari, imetangaza makusanyo ya mwezi Disemba 2020 kuwa ni takribani trilioni 2, hii ni rekodi tangu kuanzishwa kwa mamlaka hii mwaka 1996 Hii ni hatua ya kupongezwa sana kwa Watanzania wote walipa kodi na mamlaka ya...
  20. Q

    JamiiForums Tanzania Eneo Huru la Biashara la Bara la Afrika, AfCFTA kuanza leo, Tanzania haimo

    Nchi za Afrika zilizosaini mkataba wa African Continental Free Trade Area (AfCFTA) leo 1/1/2021 zinaanza kufanya Biashara bila vikwazo. Katika eneo la Afrika Mashariki ni Tanzania na Burundi pekee ambao hawamo katika Eneo Huru la Biashara, ina maana bidhaa za Kenya kwenda Rwanda au DRC...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…