mirindimo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2009
- 821
- 1,337
Achilia mbali hawa watu wenye ulemavu wanaoletwa Dar kutoka sehem mbalimbali nchini na kuhifadhiwa kwenye magesti ili wakawe omba omba wapo wengine wanakusanywa Kinondoni na kusafirishwa sehemu mbali mbali nchi za nje ili kufanya kazi za ndani, kazi za kujiuza na kubeba madawa !! Wahusika wanafahamika na baadhi ya viongozi wetu na hawachukuliwi hatua yoyote