Wale ambao ni ma-Atheist Tanzania kama mimi, niambie; ulifiakiaje hiyo conclusion?

Hisha Sorel

Senior Member
Dec 27, 2017
192
140
Jana nimeona thread ambayo ilimtambulisha OP kama atheist aliyetaka ushauri.

Hii ndo ilikuwa mara ya kwanza kuona atheist Tanzania na cha kushangaza zaidi, ma-atheist walikuwa na uelewa mpana sana wa Philosophy and sciences kitu ambacho kilinishangaza.

So we kama ni atheist, unaweza kushare mtazamo wako wa ki-science na filosophia ambao unelezea kwanini we ni atheist.
 
Jana nimeona thread ambayo ilimtambulisha OP kama atheist aliyetaka ushauri.
Hii ndo ilikuwa mara ya kwanza kuona atheist Tanzania na cha kushangaza zaidi, ma-atheist walikuwa na uelewa mpana sana wa Philosophy and sciences kitu ambacho kilinishangaza.

So we kama ni atheist, unaweza kushare mtazamo wako wa ki-science na philsophia ambao unelezea kwanini we ni atheist.
Ukifa utazikwa nani?
 
Sidhani kama hujaambiwa. The problem lies within your mind's incapacity to comprehend and analyze deep things that are obviously supernatural & almost beyond our grasp.
Wait, so if they are beyond our capacity to comprehend, how do select which to follow?

So I can believe in a flying laser wielding bra wearing chicken as a God?
or maybe I can believe in spaghetti around the sun creating day and night?

What makes your claim better than others claim

What is asserted without evidence, can be dismissed without evidence
 
wait, so if they are beyond our capacity to comprehend, how do select which to follow?

so I can believe in a flying laser wielding bra wearing chicken as a God?
or maybe I can believe in spaghetti around the sun creating day and night?

what makes your claim better than others claim

what is asserted without evidence, can be dismissed without evidence
Why do you seem so rushy as though you have been caught up late for an express airline!???
 
  • Thanks
Reactions: Pep
Naamini siku nikimjua Mungu kikweli kweli nitamuabudu mpk afurahi Kama anauwezo wa kufurahi n.k

Binafsi hakuna mtu alienifanya kuwa agnostic au atheist isipokuwa Kama ni kosa Basi kosa hilo lilikuwa ni Mimi kuisoma biblia kiundani zaidi! Laiti nisingeisoma mpk leo nisingekuwa na mtazamo wa waaminio!. Wengi tunazaliwa ktk dini fulani hivyo ngumu kujudge kutokana na tulivyoaminishwa n.k kitabu au dini yoyote inatakiwa ikutongoze ndo uikubalie na unaposoma vitabu vya dini Soma ukiwa huru kimtazamo ili uweze kujudge alasivyo utakuwa unasoma kama sheria tu unazotakiwa kufata haijalishi ktk namna ipi ila wewe fata tu!..

Kama Mungu yupo basi atanifata kwa njia zake ambazo ataona Mimi nafaa kumuelewa,Kama yeye ni yuleyule wa miujiza ya kina yakobo na yesu n.k inashindikana nini yeye kuifanya sahivi ikiwa kauli yake ni ileile ya kutupenda!. Ifike mahali watu wasiogope kuhoji kuhusu Mungu n.k na kukosekana kwa majibu ya nani kaumba ulimwengu si kigezo tu Cha kufanya Mungu awepo! Anyway mambo ni mengi! Kwenye hili Jambo Kuna mengi mengi sana inategemea na uelewa wa mtu.
 
ZAB. 14:1​

Mpumbavu amesema moyoni, Hakuna Mungu; Wameharibu matendo yao na kuyafanya chukizo, Hakuna atendaye mema.
kwahiyo unasema nini:
magaidi wanochinja watu msumbiji kwa jina la dini
wachungaju wa kanisa katoliki wanaobaka watoto
wachungaji wa marakani wanaondesha vikundi vya kibaguzi
wabaguzi israeli (zionist) wananyakua ardhi ya wapalestine

wakoloni walioua, tumisha,na kubaka waafrika (tena hawa ndo walileta dini)
waarabu walioleta dini na kugeuza watu weusi kwa watumwa

bado ndugu una amini kuna mahusiano kati ya dini na matendo mema

asilimia kubwa ya waafrika ni watu wa dini, asilimia kuwa ya nchi za ulaya hakuna dini
ni sehemu gani ambapo watu walichinjwa kwenye mashamba, ni sehemu gani ambapo polisi wanaua wananchi kila siku, sehemu gani wanachoma wezi na wachawi?
 
Naamini siku nikimjua Mungu kikweli kweli nitamuabudu mpk afurahi Kama anauwezo wa kufurahi n.k

Binafsi hakuna mtu alienifanya kuwa agnostic au atheist isipokuwa Kama ni kosa Basi kosa hilo lilikuwa ni Mimi kuisoma biblia kiundani zaidi! Laiti nisingeisoma mpk leo nisingekuwa na mtazamo wa waaminio!. Wengi tunazaliwa ktk dini fulani hivyo ngumu kujudge kutokana na tulivyoaminishwa n.k kitabu au dini yoyote inatakiwa ikutongoze ndo uikubalie na unaposoma vitabu vya dini Soma ukiwa huru kimtazamo ili uweze kujudge alasivyo utakuwa unasoma kama sheria tu unazotakiwa kufata haijalishi ktk namna ipi ila wewe fata tu!..

Kama Mungu yupo basi atanifata kwa njia zake ambazo ataona Mimi nafaa kumuelewa,Kama yeye ni yuleyule wa miujiza ya kina yakobo na yesu n.k inashindikana nini yeye kuifanya sahivi ikiwa kauli yake ni ileile ya kutupenda!. Ifike mahali watu wasiogope kuhoji kuhusu Mungu n.k na kukosekana kwa majibu ya nani kaumba ulimwengu si kigezo tu Cha kufanya Mungu awepo! Anyway mambo ni mengi! Kwenye hili Jambo Kuna mengi mengi sana inategemea na uelewa wa mtu.
hata mimi nililelewa kwenye dini, tena zote kubwa mbili.
lakini "kosa" kubwa walilolifanya ni kunipa elimu ya science, philosphy, na history.

hasa hasa history, kwani ukishafahamu nani alieandika biblia na quran, yani hakuna tena ile ladha ya zamani.
ukishajua dini zilipoanzia na historia ya watu waliozianzisha na walitolea wapi idea zao; utaangukia kicheko.

sasa msumali wa mwisho ni science.
ukishaelewa na kuhusika katika kufahamu jinsi dunia, universe, na mwili wa binadamu unavyofanya kazi, utaona dini ilivyokuwa inakupiga fixi

mara nyingi dini hizi utumua kifo kama mkwala: yani ukiwagusa tu, wanakuwambia ukifa ndo utajua; yani zaidi ya hapo hawana kingine.
tatizo linakuja unapotaka wakupe ushahidi wa yale wanayo yadai, kwani kila mtu atakufa, na hakuna anaeyjua nini kinakuja; na wala hakuna sababu yoyote ya kuwepo na chochote baada ya kifo. mi sikuwa hai mwaka 1800, na wala sikumbuki chochote; sasa kwanini kuwepo na chochote baada ya kifo.
 
Jana nimeona thread ambayo ilimtambulisha OP kama atheist aliyetaka ushauri.
Hii ndo ilikuwa mara ya kwanza kuona atheist Tanzania na cha kushangaza zaidi, ma-atheist walikuwa na uelewa mpana sana wa Philosophy and sciences kitu ambacho kilinishangaza.

So we kama ni atheist, unaweza kushare mtazamo wako wa ki-science na philosophia ambao unelezea kwanini we ni atheist.
Nilihoji kwa muda mrefu.

Halafu rafiki yangu mmoja, nilipokuwa na miaka takriban 20, akaniazima kitabu kinaitwa " The Philosophy of Religion - An Anthology".

Kitabu kimejaa habari za dini. Si za kupinga uwepo wa Mungu tu, bali mpaka arguments za kuonesha Mungu lazima yupo.

Nimekisoma kitabu chote. Na kukirudia sana.Kimekusanya karibu mambo yote kuhusu dini.

Kuna sehemu ilikuwa inaongelea "the problem of evil".

Hapo palikamilisha vizuri safari yangu kusema Mungu hayupo.

Nilishawahi kukiweka kitabu hapa.

Kutoka hapo, sijarudi nyuma.
 
hata mimi nililelewa kwenye dini, tena zote kubwa mbili.
lakini "kosa" kubwa walilolifanya ni kunipa elimu ya science, philosphy, na history.

hasa hasa history, kwani ukishafahamu nani alieandika biblia na quran, yani hakuna tena ile ladha ya zamani.
ukishajua dini zilipoanzia na historia ya watu waliozianzisha na walitolea wapi idea zao; utaangukia kicheko.

sasa msumali wa mwisho ni science.
ukishaelewa na kuhusika katika kufahamu jinsi dunia, universe, na mwili wa binadamu unavyofanya kazi, utaona dini ilivyokuwa inakupiga fixi

mara nyingi dini hizi utumua kifo kama mkwala: yani ukiwagusa tu, wanakuwambia ukifa ndo utajua; yani zaidi ya hapo hawana kingine.
tatizo linakuja unapotaka wakupe ushahidi wa yale wanayo yadai, kwani kila mtu atakufa, na hakuna anaeyjua nini kinakuja; na wala hakuna sababu yoyote ya kuwepo na chochote baada ya kifo. mi sikuwa hai mwaka 1800, na wala sikumbuki chochote; sasa kwanini kuwepo na chochote baada ya kifo.
mkuu kwani kipindi haupo 1800 ulikuwa umekufa!!!!kwanini unadhani ni sahihi kufikiria haya mazingira ni sawa sawa??

sisi watu waamini wa dini tunakuliana dini ni imani,shida yenu nyinyi mnaojiona hamuamini uwepo wa Mungu ni hii,mnataka dini ipate rejea za kisayansi.
sisi tuna kitu tunaita roho au nafsi,sijui huko kwenye biology hicho kitu kinakaa sehemu gani ha mwili???
 
  • Thanks
Reactions: Pep
Back
Top Bottom