tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Tanzania na China zasaini mkataba wa uendelezaji wa ujenzi wa reli ya kisasa SGR kutoka Mwanza - Isaka

    TANZANIA NA CHINA YASAINI MKATABA WA KUJENGA RELI YA KISASA (MWANZA-ISAKA) Serikali ya Tanzania na China vimeingia makubaliano ya kujenga reli ya kisasa ya Kilometa 341 kutoka Mwanza hadi Isaka Hicho ni kipande cha tano, ambapo kipande cha Kwanza ni kutoka Dar mpaka Morogoro, Cha pili ni...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Profesa Kabudi: Tanzania inatamani sana Chato ifanane na majiji makubwa ya China ambayo awali yalikuwa ni vijiji vya wavuvi!

    Profesa Kabudi amemwambia Waziri wa Mambo ya Nje wa China kwamba anashukuru kwa ziara aliyoifanya Mwaloni leo asubuhi na Tanzania inatamani Chato ije kuwa kama miji mikubwa ya China ambayo awali ilikuwa ni vijiji vya wavuvi kama ilivyo chato. Profesa Kabudi amesema kwa mahusiano mema ya...
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wachina bana, licha ya mapokezi yote hayo Tanzania, wanatoa kamsaada ka dola laki na nusu ($150,000)

    Wamepokewa kwa mbwembwe zote hizo halafu kwenye bakuli la msaada wanatia dola laki moja, hizo hata zikidadavuliwa vizuri zitagharamikia tu mapokezi, mbona Wachina wamekua wabahiri hivi. ========= Dar es Salaam. Serikali ya China imekabidhi msaada wa dola za Marekani 1,50000 kwa ajili ya...
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya’s economy to grow fastest in Africa in 2021 - World Bank

    The World Bank predicts that Kenya’s economy will expand by 6.9% in 2021, the fastest growth rate in Africa, and a more ambitious prediction than the government’s estimate of 6.4% economic growth in 2021. Continued support from the international lender in terms of public health interventions and...
  5. JamiiForums Tanzania Uchaguzi Mkuu wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT) Kufanyika tarehe 30/1/2021

    Uchaguzi Mkuu wa RT unatarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwezi huu wa kwanza, huku nafasi ambazo zitahitajika ni nafasi ya Rais na Makamu wake pamoja na Wajumbe 6, ikiwemo moja ya Viti Maalum Mwanamke. Fomu zitaanza kuchukuliwa Kesho (8 hadi 19, Januari), kwa ada ya shilingi laki mbili...
  6. JamiiForums Tanzania Huduma ya kupangisha nyumba zenye samani ni chache Tanzania

    Nyumba yenye samani zote (full furnished house) ni inayokuja kwa kasi Tanzania. Samani za muhimu ni kitanda na godoro, kabati la nguo lenye kioo, chumbani. Jikoni ni jiko, fridge, washing machine, kettle, sufuria sahani na vyombo vya kulia. Sebuleni sofa na TV. Kwa sasa pango la nyumba hizi...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Demokrasia ya Tanzania ni nzuri kuliko ya Marekani, hapa Rais hawezi kuratibu maandamano ya ghasia

    Kiukweli Marekani siyo baba wa Demokrasia bali ni wababe kwenye Demokrasia. Na ukiangalia kwa makini Tanzania tuko vizuri katika kusimamia misingi ya Demokrasia kuliko Marekani. Wewe uliona wapi Rais anawashawishi wafuasi wake wakavamie bunge ambalo ni muhimili unaojitegemea? Itoshe tu kusema...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Afrika bado sana, tusichekane, kule Tanzania wanafunzi kusoma kwa zamu kisa uhaba wa madarasa

    Yaani wanafunzi wanasubirishwa nje ili kundi la kwanza likamilishe somo kwenye ratiba yao, hii Afrika tumechelewa kweli maana siamini mambo kama haya yanatendeka kwenye karne hii miaka mingi sana tangu mkoloni aondoke. Vipau mbele hamna, utakuta wakulu wanasafiri kwa magari ya kifahari kwenye...
  9. JamiiForums Tanzania Mwongozo wa Serikali: Kipimo cha Corona ni Dola za Kimarekani 100 kwa anayesafiri nje ya Nchi

    Salaam Wakuu, Serikali imetoa Mwongozo wa Upimaji wa Covid-19. Katika Barua iliyosainiwa na Waziri wa Afya Dokta Doroth Gwajima, Pamoja na Mambo mengine yote, imeeleza ukitaka kusafiri nje ya Nchi, gharama ya Kupima Covid-19 ni USD 100 ambayo ni takribani Tsh 230,000/=. Hii ni Pamoja na...
  10. U

    JamiiForums Tanzania China yajitosa Ujenzi wa SGR ya Tanzania

    Imeripotiwa na gazeti la Mwananchi la leo, januari 6; Chato. Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya China, Wang Yi anatarajiwa kutua nchini Tanzania kesho Januari 7, ambapo pamoja na mambo mengine atashuhudia utiaji saini mkataba wa ujenzi wa awamu ya tano ya reli ya kisasa (SGR) inayotoka Mwanza...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya Simba SC kushinda leo dhidi ya FC Platinum hatimaye CAF yatangaza Tanzania mwakani kuingiza timu nne

    Nasisitiza Maamuzi haya ya CAF siyo kwa Ushindi wa Namungo FC bali ni kwa Ushindi mnono wa Simba SC na Kufuzu Kwake Makundi CL iliyopo. Taarifa: Mtandao rasmi wa CAF Ni matumaini yangu sasa Timu zingine zote hasa ile yenye Washamba wengi nchini Tanzania itaitii na Kushukuru kubebwa sana tu na...
  12. E

    JamiiForums Tanzania Makanisa yaliyopo Tanzania yakiamua yanaweza kujenga viwanda

    Habarini za Leo wapendwa. Kama kichwa kinavyo someka hapo juu. Ni juu ya makanisa yetu mbalimbali yaliyopo Tanzania. Sote tunajua jinsi makanisa yetu yanavyo toa mchango katika sekta ya elimu na afya. Kuna shule nyingi sana zinazotoa elimu bora kwa wototo wetu zilizojengwa na makanisa. Lakini...
  13. JamiiForums Tanzania Tanzania: Electricity Generation Slightly Declines

    Tanzania: Electricity Generation Slightly Declines - allAfrica.com Credit: Tanzania Daily News (Dar es Salaam) ELECTRICITY generated and distributed declined by 4.0 per cent to a cumulative output of 1,823,616.1 megawatts in the quarter ending September last year from 1,898,803.2 that was...
  14. JamiiForums Tanzania Utoro, Ulevi na kuwa kwenye mahusiano na Wanafunzi zatajwa kuwa tabia sugu kwa Walimu wa Tanzania

    Kaimu Katibu wa Tume ya Utumishi wa Walimu Tanzania (TSC), Moses Chitama ametaja makosa sugu yanayofanywa na baadhi ya walimu nchini kuwa ni utoro, ulevi pamoja na kujihusisha kimapenzi na wanafunzi. Aliyasema hayo Januari 5 mwaka huu, wakati akiwasilisha mada kuhusu maadili, katika Mkutano wa...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Lini maombi ya kujiunga na law School of Tanzania hufanyika?

    Nilitamani mwanangu ajiunge na law School of Tanzania mwaka huu januari au June. Cha kushangaza Ni kuwa intake zote zimeshajaa. Je waliomba lini? Ina maana aliyehitimu 2020 nakupata cheti chake Desemba 2020 Hana uwezekano wa kuwahi kuomba intake yoyote ya januari au June?
  16. J

    JamiiForums Tanzania Export business - From Tanzania to the world

    Heshima kwa wapambanaji wote! Itoshe kusema itifaki imezingatiwa, na kwa heshima kubwa, napanda jukwaani nikilenga kujadili hili jambo la Export business! Kwanza, hapana shaka kwamba Tanzania & East Africa na Africa kwa ujumla ni sehemu ambazo zimepata upendeleo sana katika raslimali ardhi na...
  17. JamiiForums Tanzania Majina ya miaka kwa lugha ya Kihaya

    Wahaya tuna kawaida ya kuibatiza miaka kabla haijaanza. Mwaka 2011-tongana na sasa huu mpya 2012 ni wechonche. Mulamanya ba tata na ba mawe twechonche. Nyegera "wechonche" 2012 ---- 1959 - Bilemolengire 1960 - Ija webonere 1961 - Bilye oyekomire 1962 - Gumisa omwoyo 1963 - Otura obungya...
  18. JamiiForums Tanzania Asasi nne za kiraia zaishitaki Tanzania mahakama ya Afrika Mashariki kwa 'Ukiukwaji mkubwa' kutoka kwa polisi wake

    Asasi nne za kiraia zimeifikisha mahakamani Serikali ya Tanzania kwa ukiukwaji mkubwa kwenye uchaguzi mkuu wa karibuni ambao ulimrudisha madarakani Rais John Pombe Magufuli. Taasisi kutoka Kenya na Uganda zinaishtaki Tanzania kwenye Mahakama ya Afrika Mashariki, zikituhumu vyombo vya usalama...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Serikali za Mitaa na kazi zake kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Ibara ya 145.-(1) inaeleza kuwa :- Kutakuwa na vyombo vya Serikali za Mitaa katika kila mkoa, wilaya, mji na kijiji, katika Jamhuri ya Muungano, ambavyo vitakuwa vya aina na majina yatakayowekwa na sheria iliyotungwa na Bunge au na Baraza la Wawakilishi. (2) Bunge au Baraza la...
  20. JamiiForums Tanzania Suala la watalii kutokurudi tena Tanzania wanapokuja mara moja, huduma zetu ziboreshwe

    Nchi nyingi zinazotegemea utalii katika uchumi wa Taifa, zimelenga kupata watalii wengi kwa gharama nafuu. Nchi nyingi zinafanya package holiday, ambayo watalii wa kipato cha kawaida wanaimudu. Si wazungu wote kuwa ni matajiri. Wazungu wanaotalii wengi wanategemea credit cards. Kwa gharama za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…