tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Tujulishane mabasi yanayotuhudumia Tanzania na ubora wa huduma wanazotoa

    Huu ni uzi maalum wa kujulishana ubora wa huduma wa mabasi yanayotuhudumia nchini kwetu Tanzania na nje ya mipaka yake. 1. SCANDINAVIA EXPRESS (Kielelezo/mfano wa kampuni Bora kabisa ya usafirishaji abiria, vifurushu na pesa Tanzania) Kampuni ya mabasi ya Scandinavia Express ni kampuni pekee...
  2. JamiiForums Tanzania Kinachoigharimu Tanzania ni kukosekana kwa watunga sera wanaoelewa 'Public Policy'

    Ni sahihi pia kusema Tanzania kuna 'Public Policy Crisis'. Ntatumia neno Sera nikimaanisha 'Public Policy'. Sera ni nini? Sera unaweza kusema ni sheria au miongozo ambayo inawekwa ili kutatua changamoto ambazo zipo kwenye jamii. Maana yake ni kwamba, ukiona kuna sera ambazo hazitatui changamoto...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Kuingiza siasa kwenye elimu ni kitu kibaya sana. Sioni kama kuna umuhimu wowote wa kuanzisha somo la Historia ya Tanzania

    Tumekuwa tukipiga kelele kuhusu matatizo yaliyopo kwenye mfumo wetu wa elimu. Miongoni mwa matatizo hayo ni pamoja na mitaala inayotumika kutowapa wanafunzi maarifa na uwezo wa kujitegemea baada ya kumaliza masomo yao. Cha kushangaza badala ya kuumiza vichwa kutafuta suluhu ya haya matatizo...
  4. JamiiForums Tanzania Timu ya Azam imekumbatia wachezaji na viongozi wanaopenda timu nyingine Tanzania, hawana moyo

    Mfano, kama Sure Boy angetakiwa na Simba angeruhusiwa kwenda Simba na kama Perfect Chikwendwe angetakiwa na Yanga angesajiliwa na Azam. Azam imejaza viongozi na wachezaji wasiokuwa na moyo na Azam, wako Azam kwasababu ya hela tu ya tajiri wao tu. Wachezaji na viongozi wanaihujumu timu kwa...
  5. JamiiForums Tanzania Hatudharau chanjo ya corona Tanzania, tunasubiri majaribio zaidi kabla kuitumia

    Msemaji wa Tanzania Dkt Hassan Abbas amesema Tanzania inakabiliana na janga la corona kwa kutumia dawa za asili. Dkt. Abbas alimwambia mwandishi wa habari wa BBC, Salim Kikeke kuwa Tanzania haitapuuzia chanjo iliyokubalika kimataifa kuwa salama kutumia kama kinga.
  6. JamiiForums Tanzania Wasomi Waliobobea katika Sayansi nchini Tanzania waingie Maabara Kutafiti Upatikanaji wa Chanjo ya magonjwa mbalimbali

    Jukwaa la JF Wito wangu ni kwa mamlaka ya nchi na Wataalamu wa Afya wafanye yafuatayo ili kuwa na uwezo wa kujikinga na kupambana na magonjwa mbalimbali: 1. Mamlaka ya nchi iwezeshe kifedha wataalamu wa afya na sayansi kwa ujumla kufanya utafiti wa uwezekano wa kutengeneza chanjo ya magonjwa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hizi kampeni za Valentine's Day katika media za Tanzania zina tija gani kwa maendeleo ya Watanzania?

    Wiki hii kila ukifungulia tu Redio yoyote cha Kwanza utakachokutana nacho ni mambo ya Mahaba hasa kuelekea Siku ya Wapendanao (Valentine Day). Je, ina maana Media za Tanzania zinashindwa pia kwa Umoja wao huu huu (Media Agenda) basi wakawa Wanayasema yale ya Ukweli kuhusu Maisha ya Mtanzania...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Mganga Mkuu wa Serikali, Prof. Makubi: Wananchi chukueni tahadhari za kujilinda na kuwalinda wengine dhidi ya magonjwa, msisubiri matamko

    Mganga Mkuu wa Serikali Prof Abel Makubi amewataka watanzania kuchukua tahadhari dhidi ya magonjwa ya kuambukiza na yasiyoambukiza kadhalika wajikinge wenyewe na kuwakinga wengine. Makubi amesisitiza kuwa hizi siyo nyakati za kusubiri matamko wakati unaona kabisa mbele kuna nyoka, jiongeze...
  9. JamiiForums Tanzania Japan yatoa tahadhari kusitisha au kuahirisha safari za Tanzania kufuatia hali mbaya ya maambukizi ya Covid-19

    TOKYO - Wizara ya Mambo ya Nje ya Japan imetoa onyo kusitisha au kuahirisha kusafiri kwenda Tanzania kwa sababu ya hali mbaya ya maambukizi ya ugonjwa wa coronavirus. ========= Japan warns against traveling to Tanzania as country denies existence of coronavirus February 10, 2021 (Mainichi...
  10. JamiiForums Tanzania Salome Makamba: Uchumi wa Tanzania umesimama tu tangu 2001. Rais haambiwi ukweli na wateule wake

    Dodoma. Mbunge wa Viti Maalum Salome Makamba aliyefukuzwa Chadema amesema itachukua zaidi ya miaka 60 ili kufikia pato la dola 1,500 kwa mtu mmoja kwa mwaka. Makamba alisema tatizo hilo linatokana na uchumi wa Tanzania kusimama tangu mwaka 2001 na kudai wateule wanashindwa kumwambia ukweli Rais...
  11. JamiiForums Tanzania Ligi kuu soka Tanzania bara yarejea

    Baada ya kusimama kwa muda ligi kuu soka Tanzania bara inarejea tena hiyo kesho tarehe 11 Februari, ambapo mchezo wa awali utakaopigwa saa 8: 00 mchana, utaikutanisha Kagera sugar dhidi ya Gwambina. Na baadaye Coastal union atamenyana na Azam Fc majira ya saa 10:00 jioni. Ijumaa ya tarehe 12...
  12. JamiiForums Tanzania Corona: Wizara ya Elimu yaukana waraka wa Prof. Elifas Tozo Bisanda Makamu wa Chuo Kikuu Huria (OUT)

    Salaam Wakuu, Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, imekana waraka uliotolewa na Prof. Bisanda. Yawataka wanafunzi waendelee kwenda shule. Prof. Bisanda aliwata wanafunzi wanaoingia chuoni, tunasisitiza kuwa wakae majumbani na kusoma kwa mtandao (Online). Hatutaruhusu wanafunzi na wageni...
  13. JamiiForums Tanzania Tanzania kuna huduma ya kuwekeza kwaajili ya elimu ya watoto?

    Eti wakuu, kuna huduma hiyo? Mfano unaweka 20 au 30 elfu kila mwezi kwaajili ya elimu ya mtoto hapo baadaye. Labda unaweka kwa miaka mitano au kumi. Ipo hivyo? Kama ipo pesa inakua kwa kiwango gani, yaani baada ya miaka kumi au mitano unakuwa na kiasi gani?
  14. L

    JamiiForums Tanzania Tanzania ya Viwanda Inawezekana. Tukaze Kamba

    Katika Kuunga mkono Kauli ya Raisi Wetu Mpendwa, Watanzania TukazeKamba Tuanzishe Viwanda vyetu. Kwa Juhudi ndogo niliyofanya nimeona kuwa kumbe TANZANIA YA VIWANDA INAWEZEKANA.
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania airports among the busiest in Africa

    Busiest Airports in Africa ranked according to number of flights daily 1. Johannesburg Airport South Africa🇿🇦 188 flights 2. Cairo Airport Egypt 🇪🇬 111 flights 3. Addis Ababa Airport Ethiopia 🇪🇹 99 flights 4. Capetown Airport South Africa🇿🇦 82 flights 5. Lagos Airport Nigeria🇳🇬 78 flights...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Februari 16: Tarehe isiyosahaulika katika siasa za Tanzania

    Inaaminika kuwa mwezi wa pili (Februari) ni mwezi wa mtu mweusi, Mwafrika. Ilianzia huko Marekani na sasa ni dunia nzima. Pia huu ndio mwezi wa upendo ukiwa na Valentine's Day yaani Februari 14. Jumamosi ijayo. Hata hivyo kwa namna ya pekee, mwezi huu hauwezi kuwa na utukufu kwa Watanzania hasa...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Wasomi wenye PhD Tanzania wametupa supplimentary ya Biashara na uchumi: soon Taifa litadisco

    Tulipoanza awamu ya tano nakukusanya wasomi wote mashauri nakuwaingiza wizarani na mashirika ya umma niliamini taasisi wanazoongoza zinakwenda kupiga hatua hasa yakimkakati endapo tu wasomi hao wataacha mentality za lecturers kwenye biashara na uchumi. Miaka michache baadaye walioteuliwa hasa...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Uhusiano kati ya Tanzania na Kenya kulikoni?

    Habari wakuu, Kwa kweli mafahali wanapopigana nyasi huumia. Ni ukweli usiojificha Tanzania na Kenya Hatuna uhusiano mzuri wa kidiplomasia na unazidi kutetereka. Athari zake tunazipata Sisi wananchi haswa Wakulima wa mpunga na mahindi. Wakuu, tujue kila magunia matatu ya mpunga au mahindi...
  19. JamiiForums Tanzania Kuongezeka kwa ubaguzi wa kiuchumi, kieneo na ukabila nchini Tanzania

    Tusiposema sasa mawe yatasema. Sasa hivi nchi inapitia ubaguzi wa wazi kieneo, ukabila na upendeleo wa wazi kwa sehemu fulani fulani nchini Tanzania. Haya ni mambo ambayo Tanzania hatukuyazoea wala kushuhudia toka enzi za kupata uhuru. Mwalimu alijishusha mno na hata hakupendelea kwao kwa...
  20. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu ahadi uliyoahidi kwa Young Scientists wa Tanzania wanakuomba uitekeleze

    Nimemsikiliza huyu mwanasayansi kijana anayelipwa Shilingi laki mbili kwa siku akikumbushia WAZIRI MKUU ahadi aliyoahidi young scientists wa Tanzania kuwa aitekeleze.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…