tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Ni nchi gani yenye mipango miji mibovu zaidi ya Tanzania?

    Nilikua napita pita kwenye Google Earth nimegundua miji mingi Tanzania imekaa hovyo hovyo sana. Kuna nchi ziko jangwani kabisa lakini wamejenga kwa mpango mzuri. Hata DRC ambayo kuna migogoro kila mara bado kumepangwa vizuri. Tanzania badala ya kujenga miji mipya wanabomoa ya zamani na kujenga...
  2. JamiiForums Tanzania Social media politics; Heri au shari? Kipi ni kipi, kwa nini, nani afanye nini na ili iwe nini

    Hivi karibuni, mijadala juu ya siasa za mitandaoni zinavyoathiri siasa rasmi nchini na kuathiri maamuzi ya kitaifa imeshika kasi. Limejitokeza kundi linalofurahi kuwa maoni yao wanayoyatoa mitandaoni yanafanyiwa kazi huku kundi lingine likilalamika kuwa si sahihi kwa maoni ya watu wa mitandaoni...
  3. JamiiForums Tanzania Avocado farming becomes the new green gold in Tanzania

    Arusha. Tanzania has a high potential for exports of avocado, the country’s latest green gold. Close to 9,000 tonnes valued at $30 million were exported last year, up from almost zero seven years ago. This emerged here yesterday during the launch of the first avocado cluster for farmers in the...
  4. JamiiForums Tanzania Hivi Tanzania kufuga farasi inahitajika kuwa na kibali?

    Hivi mtu akitaka kufuga farasi anahitaji kibali au tu unafuga tu kama unavyofuga mbuzi?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kila la heri kwa Simba Sports Club: Visit Tanzania.

    Leo timu yetu ya Tanzania itapeperusha bendera ya Tanzania huko Afrika ya kusini na dunia yote itatazama. Tutumie uzi huu kuitakia ushindi Simba dhidi ya Kaizer chiefs. Naitakia Simba ushindi wa kishindo!! Karibuni.
  6. JamiiForums Tanzania Mahakama za Tanzania ni kwa vibaka na wezi wa kuku lakini kwa mambo ya msingi ni pazia

    Nenda mahakamani sasa hivi utaona jinsi mahakama zetu zinavyo washughulikia vibaka na wezi wa kuku bila huruma hata kama mtuhumiwa ni dhoofu bin hali kwa njaa na umasikini. Inapokuja suala la kushughulikia mambo ya msingi ya kulinda katiba, sheria za nchi dhidi ya serikali, utawala bora na haki...
  7. JamiiForums Tanzania Nashauri serikali ianzishe wizara ya mafuta na gesi (The Ministry of Petroleum and Natural Gas) ili kuchochea ukuaji wa sekta ya mafuta na gesi

    Nashauri serikali ianzishe wizara ya mafuta na gesi (The Ministry of Petroleum and Natural Gas) ili kuchochea ukuaji wa sekta ya mafuta na gesi Tanzania. Hii wizara iwe responsible kwenye mambo ya utafutaji (exploration), uzalishaji (production), usafishaji (refining), usambazaji...
  8. JamiiForums Tanzania CHADEMA yawatakia heri ya Sikukuu ya Eid El Fitri Waislam wote wa Tanzania

    Hii ndio Taarifa yao walioisambaza kwa vyombo vya habari .
  9. B

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa sheria za Tanzania Majaji wanashtakiwa?

    Ofisi ya DPP pekee imetoa majaji wanne wa mahakama kuu ya Tanzania. Hawa ndio walikuwa engine ya kuvurugwa mfumo wa haki. Je majaji wanashtakiwa? Kama awashtakiwi hii yakuwateua haiwezi kuwa njia yakuwaficha wasipambane na mkono wa dola? Tufungue macho tusiwaamini sana wanasiasa, Wana njia...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya Wanaume wengi wa Tanzania kuwa Utopolo Vitandani, Wanawake wakimbilia Mimba za Kupandikiza Muhimbili

    Tukiwaonyeni kuwa acheni sana Kutumia Vumbi la Congo kwani lina madhara makubwa Kwenu hamtusikii. Tukiwaonya acheni kupenda Kula Chips Mayai na Kuku wa Maabara pamoja na Mayonaizi pia hamtuelewi. Tukiwaambia acheni Kuchepuka hovyo na kuwa na Mademu kila Kona kwani wanaathiri pia Nguvu bado...
  11. JamiiForums Tanzania Tanzania iruhusu watu binafsi kujenga nyumba za kuhifadhia maiti (Mortuary rooms)

    Wadau hivi Bongo ukiachana na Mortuary zilizopo ndani ya hospitali, Mbona hakuna Mortuary ambazo Mtu/Kampuni zinamiliki private? i.e high class/ VIP mortuary? Mfano kwa wenzetu Kenya, hii fursa watu wameitumia kweli kweli na kuna private mortuaries nyingi tu watu wamezitengeneza, na wengi...
  12. JamiiForums Tanzania Head of Sales and Marketing at Marie Stopes Tanzania (MST)

    Marie Stopes Tanzania (MST), a Non-Governmental Organization, is a social enterprise and a leading provider of family planning, sexual and reproductive health care and allied services. MST is a partner of the Government of Tanzania and a member of the Marie Stopes International (MSI) Global...
  13. JamiiForums Tanzania Petra Diamonds kulipa faini ya tsh. Bilioni 14.02 kwa kukiuka haki za binadamu Tanzania

    Ndugu zangu, niwape pongezi sana wale wote ambao walijitokeza kwa ujasiri na kuripoti manyanyaso waliyopitia! Ukipita kwenye migodi na makampuni mengi sana sana zaidi ya 90% kuna uvunjaji mkubwa sana wa haki za binadamu kwa kisingizio cha Wenyeji "kuvamia au kuiba" kwenye maeneo hayo. Mbaya...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kwa jinsi kirusi cha Corona cha India kinavyosambaa sasa Afrika, nikiambiwa hakijafika Tanzania nitashangaa

    Tafadhali Mamlaka husika chukueni Tahadhari haraka kwani tayari Kirusi hatari na Kipya cha Corona kilichopo nchini India kimeanza Kusambaa Kwetu barani Afrika. Mpaka sasa Kirusi hiko kimefika nchi za Nigeria, Algeria, Congo Brazaville, Kenya, Uganda, Morocco na Afrika Kusini kwa mujibu wa...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Leo ni Idd El Fitr Dunia nzima isipokuwa Tanzania

    Huu ni upekee mwingine wa Taifa letu katika kuendesha Mambo. Leo Waisalam Dunia nzima wanasherehekea kummalizika kwa Ramadan. Lakini hapa Tanzania mwezi haukuandama hivyo Idd ni kesho. Idd Mubaraka.
  16. JamiiForums Tanzania Rwanda yatangaza kusherehekea Sikukuu ya Eid El Fitri Mei 13, 2021

    Serikali ya Rwanda imetangaza kuwa kesho ni siku ya mapumziko baada ya Usharika wa Waislamu nchini humo kutangaza kuwa kesho Mei 13, 2021 ni Eid El Fitri Tangazo hilo lililotolewa na Wizara ya Utumishi wa Umma na Kazi limeeleza bayana kuwa kesho ni siku ya mapumziko kwa Watumishi wote wa Umma...
  17. E

    JamiiForums Tanzania Tanzania hatuhitaji chanjo- tuko "stage" ambayo wengine wakitumia chanjo wanaitafuta

    Nimefuatilia matangazo ya who nimegundua tanzania hatuhitaji chanjo na hili ndilo jambo ambalo wataalamu wetu wanatakiwa kujadili. Who wanasema chanjo itaondoa "lockdown" na mtu aliyepata chanjo anaweza kupata maambukizi, anaweza kuambukiza na hivyo wanasema chanjo inazuia madhara...
  18. JamiiForums Tanzania Ushirikiano na Kenya usiangalie kingine ila maslahi ya Tanzania

    Ushirikiano na Kenya usiangalie kingine ila maslahi ya Tanzania. Rais Samia Suluhu Hassan ameitembelea Kenya katika ziara inayoelezwa kuwa imefungua ukurasa mpya wa mtangamano unaoashiria kuimarisha udugu na ujirani baina ya mataifa hayo. Akiwa Nairobi anahutubia wafanyabiashara na wabunge wa...
  19. JamiiForums Tanzania Tanzania ni nchi ya Ajabu sana. Tuna kiwango kikubwa sana cha ustaarabu

    Habari za wakati ndugu zangu wapendwa; Andiko langu hili ninaliandika katika hali ya furaha na huzuni kwani najua kwamba kila atakaeseoma atatoa na tafakari yake. Mimi ni Mtanzania ambaye kwa kiasi fulani huwa ninafuatilia siasa na uchumi wa nchi yetu.Kwa kipindi cha zaidi ya Miaka 30...
  20. JamiiForums Tanzania China yaipatia Tanzania msaada wa TSh. Bilioni 35

    Serikali ya China imeipatia Tanzania msaada wa Sh35.37 bilioni zitakazotumika katika utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo iliyokubaliwa na kuridhiwa na mataifa hayo mawili. Hayo yameelezwa leo Jumatano Mei 12, 2021 na Katibu mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Emmanuel Tutuba wakati...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…