tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. S

    JamiiForums Tanzania Hivi Rais wa Tanzania akienda nchi kama Marekani, magari husimamishwa kupisha msafara wake?

    Viongozi wa nataifa mbalimbali wakitembelea nchi yetu, magari husimamishwa kupisha msafara na Rais wa Taifa kama Marekani ndio kabisa mji mzima unaweza kusimama (nakumbuka kufuru ya msafara wa George W. Bush kutoka KIA kwenda Arusha miaka ya 2000 mwanzoni). Miaka ya nyuma bila shaka walikuwa...
  2. JamiiForums Tanzania Consultancy: Engineer to Supervise Project construction work - Northern Tanzania

    WWF Tanzania Arusha office through its TNRF/ WWF implement and supported by BMZ Programme is seeking to recruit an engineer consultant to supervise its construction works in the Northern part of TanzaniaDetails are in the attached ToR WWF Tanzania Arusha office through its TNRF/ WWF implement...
  3. C

    JamiiForums Tanzania CNN: After death of Covid-denying president, Tanzania sets roadmap to combat the virus

    Tanzania's coronavirus response is getting serious, two months after the death of the country's Covid-denying president. Before he died in mid-March, former leader John Magafuli repeatedly dismissed the seriousness of Covid-19 in his country and urged his citizens to "pray coronavirus away."...
  4. JamiiForums Tanzania Internet Censorship in Tanzania: A Gentle Lift?

    In 2020, Tanzania ranked as position 124 out of 180 countries in the World Press Freedom Index. In 2019, it was position 118 out of 180, which is 93 positions down, compared to 2018. Tanzania has witnessed a consecutive fall in the Index each year since 2016. The article “Bulldozing the Media”...
  5. JamiiForums Tanzania Dunia inatakiwa ije kujifunza Tanzania kuhusu Covid-19

    Tangu kuzuka kwa Corona nchini China mwaka 2019, mataifa mengi duniani yaliamua kuja na mbinu za kupambana na Corona kwa kufungia watu ndani (lockdown) kuvaa barakoa, social distance na mengine mengi ikiwemo Chanjo. Tanzania tuliamua kuishi na Corona kwa kukataa kujifungia (lockdown) na...
  6. JamiiForums Tanzania Tume huru ya uchaguzi ndiyo dawa Tanzania

    Tumefatilia suala la Ole Sabaya kwa undani. Alichaguliwa na mamlaka za teuzi zilizochaguliwa na wananchi. Tatizo lililopo Tanzania kwa sasa sio wakuu wa Mikoa au wilaya, tatizo ni kupata viongozi wanaostahili kuongoza nchi kwa mujibu wa uelewa wa Watanzania. Manake ni kwamba kabla hatujachagua...
  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Equity Group invests Sh3.4bn in Tanzania, Uganda subsidiaries

    Equity Group invested an additional Sh3.4 billion in its Ugandan and Tanzanian subsidiaries in the year ended December to boost the units’ capital. The lender’s stakes in the subsidiaries remained unchanged at 100 percent. The capital support from the parent company came amid economic...
  8. JamiiForums Tanzania Miaka 20 baada ya tukio la kigaidi (home-grown terrorism) la September 11 huko Marekani. Tanzania imejifunza nini?

    Habari zenu waungwana wa JamiiForums. Itakapofika tarehe 11 mwezi wa September mwaka huu wa 2021, itakuwa imetimia miaka 20 kamili tangu siku majengo pacha ya kibiashara katika jiji la New York nchini Marekani yalipuliwe na magaidi (kulingana na taarifa kamili ya serikali yao) kwa kutumia ndege...
  9. JamiiForums Tanzania Vyama vya Upinzani vinamsakama Zitto kabwe kwa kushiriki uchaguzi mdogo Muhambwe na Buhigwe

    Chadema walisusia uchaguzi jimbo la Lazaro Nyalandu Singida kwa madai ya Tume huru ya Uchaguzi na Katiba mpya Wakaja kushiriki Uchaguzi ndogo wa Kinondoni Wakasusia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Sababu haukuwa na manufaa yoyote kwa mbowe na genge lake...wakaja kushiriki uchaguzi Mkuu ili kupata...
  10. JamiiForums Tanzania Je, Hatuna Wanawake wa kutosha kukidhi 50/50 au kuna kosa?

    Wanabodi, Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kila nipatapo fursa, huwa naendeleza zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" ambazo zina lengo la kukuza uzalendo na kulisaidia taifa letu, kusaidia nchi yetu, kusaidia serikali yetu na kusaidia viongozi wetu waweze...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Zito Kabwe ni msaliti na adui wa Demokrasia Tanzania

    Ukiangalia muendelezo wa mateso ya Upinzani wa ukweli Tanzania hasa CHADEMA, Zitto na Chama chake hawajawahi kuguswa. Ni maneno tu lakini CCM haimgusi. Zitto Kabwe hana ushirikiano na wapinzani. Siku zote ni SNITCH. Wapinzani wanapoelewana au kuafikiana, yeye Kama Lipumba, anakuja na mchanga na...
  12. JamiiForums Tanzania Profesa Ndalichako: Wanafunzi waliopata mimba kuendelea na masomo kwa njia mbadala

    Wizara ya Elimu imesema kuwa inaandaa utaratibu wa kuruhusu wanafunzi waliobeba mimba wakiwa masomoni kuendelea na masomo kwani ni haki yao ya msingi.Haki hiyo ya msingi inatajwa kuzuiwa kipindi cha uongozi wa awamu ya tano. Profesa Joyce Ndalichako amesema haya... Kwenye upande wa watoto wa...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia na Watanzania naomba mpitie hapa ili Tanzania ipae kiuchumi

    Wakati nipo sekondari nilikuwa natamani niwe sehemu ya watunga sera za nchi au kuwa kiongozi serikalini, na hii ilisababishwa na jinsi nilivyokuwa naona mambo yanavyoendeshwa nchini. Niliona bila kuingia ndani ya siasa siwezi kubadirisha chochote, nitabaki kuwa mtazamaji tu, kama kuna mambo...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Marais wa Tanzania huandika vitabu wakishastaafu na marais wa Marekani huandika wakiwa madarakani?

    Kwanini Marais wa Tanzania [emoji1241] huandika vitabu mara tu baada ya kustaafu, tofauti na Maraisi wa Marekani ambao huandika Vitabu kabla ya kuukwaa Uraisi. Hii picha inakufundisha nini?
  15. JamiiForums Tanzania Ni nchi gani yenye mipango miji mibovu zaidi ya Tanzania?

    Nilikua napita pita kwenye Google Earth nimegundua miji mingi Tanzania imekaa hovyo hovyo sana. Kuna nchi ziko jangwani kabisa lakini wamejenga kwa mpango mzuri. Hata DRC ambayo kuna migogoro kila mara bado kumepangwa vizuri. Tanzania badala ya kujenga miji mipya wanabomoa ya zamani na kujenga...
  16. JamiiForums Tanzania Social media politics; Heri au shari? Kipi ni kipi, kwa nini, nani afanye nini na ili iwe nini

    Hivi karibuni, mijadala juu ya siasa za mitandaoni zinavyoathiri siasa rasmi nchini na kuathiri maamuzi ya kitaifa imeshika kasi. Limejitokeza kundi linalofurahi kuwa maoni yao wanayoyatoa mitandaoni yanafanyiwa kazi huku kundi lingine likilalamika kuwa si sahihi kwa maoni ya watu wa mitandaoni...
  17. JamiiForums Tanzania Avocado farming becomes the new green gold in Tanzania

    Arusha. Tanzania has a high potential for exports of avocado, the country’s latest green gold. Close to 9,000 tonnes valued at $30 million were exported last year, up from almost zero seven years ago. This emerged here yesterday during the launch of the first avocado cluster for farmers in the...
  18. JamiiForums Tanzania Hivi Tanzania kufuga farasi inahitajika kuwa na kibali?

    Hivi mtu akitaka kufuga farasi anahitaji kibali au tu unafuga tu kama unavyofuga mbuzi?
  19. M

    JamiiForums Tanzania Kila la heri kwa Simba Sports Club: Visit Tanzania.

    Leo timu yetu ya Tanzania itapeperusha bendera ya Tanzania huko Afrika ya kusini na dunia yote itatazama. Tutumie uzi huu kuitakia ushindi Simba dhidi ya Kaizer chiefs. Naitakia Simba ushindi wa kishindo!! Karibuni.
  20. JamiiForums Tanzania Mahakama za Tanzania ni kwa vibaka na wezi wa kuku lakini kwa mambo ya msingi ni pazia

    Nenda mahakamani sasa hivi utaona jinsi mahakama zetu zinavyo washughulikia vibaka na wezi wa kuku bila huruma hata kama mtuhumiwa ni dhoofu bin hali kwa njaa na umasikini. Inapokuja suala la kushughulikia mambo ya msingi ya kulinda katiba, sheria za nchi dhidi ya serikali, utawala bora na haki...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…