Lizzy

JF-Expert Member
May 25, 2009
24,931
2,000
Hii ndio Official Trailer ya Filamu ya Vuta N'kuvute (Adaptation ya ile novel ya Vuta N'kuvute by Shafi A. Shafi)Filamu ilikuwa Directed & kuandaliwa Amil Shivji (Kijiweni Production) akisaidiana na Big World Cinema.

What do you all think?

#vnv
#tiff
#kijiweniproductions
#bongomovies
#localstoriesinternationallevel
 

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Jan 31, 2021
1,121
2,000
inaonekana kali sana. Sisikii yale makelele ya kina Ray et al, yanayofuatiwaga na midundo ya kushtusha. Bongo tukiwa na quality hii tutafika mbali sana.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom