tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania SoC01 UTENZI: Kuipenda Tanzania, Ni Corona Kuzuia

    1.Kila mtu anajua, Kiloikumba dunia, Huruma itakujia, Habari ukisikia, Kwa kubwa asilimia, Wengi wakiangamia, Tuwaze na kuwazua, Corona kuizuia. 2.Vifo vinavyotokea, Afrika na eshiaa, Italia na India, Kote wanaugulia, Kikubwa kilobakia, Tahadhari kuchukua, Na tusione udhia, Afya zetu kuokoa...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Kati ya Hawa wafuatao ni nani Rais ajaye wa Tanzania?

    Naamini hapa jf pana watu wenye uelewa na upeo mkubwa sana wa kuchanganua mambo. Mawazo yanayotolewa hapa yanaweza kuvifungua macho vyama vya siasa juu ya nani wamsimamishe kama mgombea kutokana na kuonwa na macho ya wachambuzi wa mambo. Ifuatayo ni orodha ya majina ya watu ambao wanafaa...
  3. JamiiForums Tanzania Watangazaji na Wachambuzi wa Habari za Michezo wa 'hovyo hovyo' huenda wakawa wanapatikana Tanzania tu pekee

    Yaani tukio la Bernard Morrison Kuvua Bukta yake, kubakia na Chupi ya Njano huku Bukta akiiweka Kichwani mwake linajadiliwa kwa dakika 120 ila tukio la Tonombe Mukoko la Kumpiga Kiwiko kibaya John Boko ambacho kingeweza Kumjeruhi vibaya kwa Kumvunja Pua au Kumng'oa Meno yake au hata...
  4. N

    JamiiForums Tanzania SoC01 Nini kifanyike kuondoa fikra ya kuajiriwa miongoni mwa wimbi kubwa la vijana Tanzania

    NINI KIFANYIKE KUONDOA FIKRA YA KUAJIRIWA MIONGONI MWA KUNDI KUBWA LA VIJANA TANZANIA. UTANGULIZI. Suala la ukosefu wa ajira limekua tatizo kubwa sio Tanzania tu bali dunia nzima. Tanzania ina idadi kubwa ya vijana ambao hawajaajiliwa pia bado kila mwaka idadi kubwa ya vijana wanahitimu...
  5. JamiiForums Tanzania Chanjo ya Coronavirus kuanza kutolewa kwenye Mikoa 10 ya Tanzania bara

    Mikoa hiyo ya kipaumbele ni Dar es Salaam, Mwanza, Kilimanjaro, Mbeya, Arusha, Kigoma, Singida, Dodoma, Iringa na Mtwara. Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Dorothy Gwajima, aliyasema hayo jana jijini Dar es Salaam kwenye Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere baada...
  6. JamiiForums Tanzania Ifahamu OSINT - Open Source Intelligence na umuhimu wake kwa sekta binafsi Tanzania

    Kila siku zaidi ya tweets milioni 500 zinaandikwa na watu mtandaoni duniani ambazo ni sawa na tweet bilioni 200 kwa mwaka duniani. Ongeza na picha zinazokadiriwa kufika milioni 350 ambazo huwekwa facebook na watumiaji, jumlisha na zaidi ya masaa 720,000 ya maudhui ya video mpya zinazowekwa...
  7. JamiiForums Tanzania Are democratic reforms at risk in Tanzania? Inside Story

    Kipindi kimerushwa jana. Washiriki ni Tundu Lissu, Aikande Kwayu, na wa tatu nimelisahau jina lake.
  8. JamiiForums Tanzania Chadema officially begins to disturb tanzania. Let us be watchful

    CHADEMA OFFICIALLY BEGINS TO DISTURB TANZANIA. LET US BE WATCHFUL. After hitting rock bottom with CHADEMA's plan to pass through the New Constitution conference scheduled for activities in Mwanza City on July 21, 2021, the party which approved the plan for its entire Tanzanian product plan...
  9. JamiiForums Tanzania CHADEMA yaanza rasmi kuivuruga Tanzania, tuwe macho

    CHADEMA YAANZA RASMI KUIVURUGA TANZANIA, TUWE MACHO. Baada ya kugonga mwamba kwa mpango chama cha CHADEMA wa kuanzisha vurugu kupitia kongamano la Katiba Mpya lililopangwa kufanyika Jijini Mwanza Julai 21, 2021, chama hicho cha upinzani kimemwaga mpango wake mzima wa kuanzisha vurugu...
  10. JamiiForums Tanzania Uwekezaji Tanzania kupitia Online Marketing

    Karibu wana JF tupeane mawazo ya kuwekeza katika online marketing mfano kuwengeneza website kama jumia kupatana facebook twitter youtube whatsapp halloapp Tuwe na sisi na vya kwetu sio kutegemea vya wenzetu. Karibu tujadiri kwa undani. Natanguliza shukurani.
  11. JamiiForums Tanzania Madai ya Katiba mpya ya wananchi Tanzania: Tuondoe dhana batili na potofu kuwa madai haya yanalenga kuiondoa CCM madarakani

    CCM ndiyo inaongoza serikali kwa sasa. Kwa sasa haijalishi sana kujadili namna walivyopata mamlaka ya kiutawala aidha ni kwa uhalali au kwa uharamia. Lakini muhimu ni hili, kuwa, wanadhani kuwa madai ya katiba mpya ya wananchi ni ili wao wanyang'anywe mamlaka na madaraka yao ya utawala wa...
  12. I

    JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali hufanya mambo nyeti bila kupata public opinion?

    Inashangaza na kusikitisha lakini ni kweli. Serikali imekuwa ikijiita sikivu lakini nyuma ya pazia masuala mengi tu yanayohitaji public opinion kabla ya yamekuwa yakitekelezwa kienyeji. Tozo miamala ya simu Chanjo ya korona Kitabu cha historia ya tanzania Ununuzi wa ndege SGR endelea... Kwa...
  13. JamiiForums Tanzania SoC01 Jahazi la Elimu Tanzania

    Na Didas Patrick Rais wa kwanza wa Afrika Kusini Nelson Mandela aliwahi kusema, nanukuu, "Elimu ndio silaha pekee na yenye nguvu unayoweza kuitumia kuibadilisha dunia". Katika historia ya dunia sijapata kushuhudia mtu aliyeaminiwa na kupewa fursa ya kuilea jamii kuanzia utotoni mpaka ukubwani...
  14. E

    JamiiForums Tanzania SoC01 Teknolojia ndio sulushisho la mambo yote yanayotukabili hapa nchini Tanzania kuanzia ajira, afya, elimu nk.

    Suluhisho la kudumu kuhusu changamoto nyingi zinazotukumba hapa nchini zinaweza kupunguzwa kwa kiasi kikubwa kwa kuwekeza kwenye teknolojia. Leo nitazungumzia teknolojia kwenye nyanja tofauti tofauti kama vile kwenye ajira, afya,kuleta nidhamu kazini,vyuoni,kuongeza mapato serikalini ,kupunguza...
  15. JamiiForums Tanzania Tanzania yatia aibu huko Olympic

    Picha hizi mbili zimepigwa jana tarehe 23 Julai 2021 wakati wa tukio la ufunguzi wa michezo ya Olimpiki jijini Tokyo, Japan. Ki-utaratibu, kila nchi iliyopeleka wawakilishi inatajwa halafu wawakilishi wanapita mbele ya umati wakiwa na bendera ya taifa lao. Kutakuwa na jumla ya matukio 339, kwa...
  16. JamiiForums Tanzania SoC01 Mkulima wa Jembe la Mkono Tanzania

    TEGEMEO LA MKULIMA WA JEMBE LA MKONO Ni zama hizi hizi za karne ya 21 ambayo bado mkulima anatumia jembe la mkono katika kipande cha ardhi alichobakisha baada ya unyanganyi wa mabavu wa wawekezaji wakipewa nguvu na viongozi hawahawa tulio waamini na kuyaamini maneno yao, Tuachane na hayo maana...
  17. JamiiForums Tanzania Marekani yatoa msaada wa dozi Milioni 1 za Chanjo ya Coronavirus

    Marekani imeipatia Serikali ya #Tanzania zaidi ya dozi milioni 1 za chanjo dhidi ya COVID-19, ukiwa ni msaada kupitia mpango wa usambazaji chanjo wa #COVAX kwa uratibu wa Umoja wa Afrika Upokeaji wa Chanjo hizo umefanyika katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere...
  18. JamiiForums Tanzania CNN ni sehemu ya CIA: Mtazamo wao kuhusu Serikali yetu ni mtazamo wa Jumuiya ya Kimataifa. Tusiwapuuze!

    Nimejaribu kutafakari uchambuzi wa CNN kuhusu kushikiliwa kwa Freeman Mbowe, kuna kitu wanaongelea sana pale "timing of arrest". Nadhani exposure yao ni kubwa sana kwa siasa za mataifa mbalimbali ikiwemo siasa za bara la Africa. Tunafahamu katika tools za kupatia taarifa kwa mashirika ya...
  19. JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya Tanzania: Usiyoyajua kuhusu chanjo ya COVID-19

    Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imetoa maelezo kuhusu chanjo ya corona kama ifuatavyo, ambapo imewahakikishis wananchi kuwa chanjo iliyoletwa nchini ni salama kwani wataalamu wamejiridhisha.
  20. JamiiForums Tanzania Mfumo wa vyama vingi Tanzania umefeli; ufutwe CCM watawale milele

    Habarini Wanabodi! Kulingana na hali halisi inayoendelea nchini; 1) CCM hawako tayari katika suala la Katiba mpya, badala yake wako tayarI kufunga, kubambikia kesi na kunyanyasa Vyama vingine kupitia polisi 2) CCM hawataki tume huru ya uchaguzi, na badala yake kuitumia Tume Kama fimbo ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…