Uwekezaji Tanzania kupitia Online Marketing

Feb 24, 2017
72
125
Karibu wana JF tupeane mawazo ya kuwekeza katika online marketing mfano kuwengeneza website kama
jumia
kupatana
facebook
twitter
youtube
whatsapp
halloapp

Tuwe na sisi na vya kwetu sio kutegemea vya wenzetu.


Karibu tujadiri kwa undani.
Natanguliza shukurani.
 

Asiliatz

Member
Aug 16, 2018
97
150
Jumia/ kupatana ya kitanzania itakuwepo tu soon, naona sahivi zipo nyingi zinaanzishwa na waTanzania, itatoke moja hapo itapenya.

Facebook/ twitter ya kitanzania hapa naona bado maana inalegalega mno, wapo wengi tu wenye uwezo wakutengeneza site kama hizo na wala sio vigumu kuzitengeneza, lakini watu wakuziendesha/ kuziwekea mitaji wapo lakini hawapo tayari kuwekeza....

Youtube yakitanzania na yenyewe bado, wakutengeneza wapo lakini wawekezaji hawapo tayari.

Whatsapp ya kitanzania na yenyewe bado, watengenezaji wapo lakini wawekezaji hawapo tayari.
 

maufoungph

Member
Oct 16, 2018
78
150
Jumia/ kupatana ya kitanzania itakuwepo tu soon, naona sahivi zipo nyingi zinaanzishwa na wa Tanzania, itatoke moja hapo itapenya.

Facebook/ twitter ya kitanzania hapa naona bado mana legalega mno, wapo wengi tu wenye uwezo wamutengeneza site kama hizo na wala sio vigumu kuzitengeneza, lakini watu wakuziendesha/ kuziwekea mitaji wapo lakini wapo tayari kuwekeza....

Youtube yakitanzania na yenyewe bado wakutengeneza wapo lakini wawekezaji hawapo tayari.

Whatsapp ya kitanzania na yenyewe bado, watengenezaji wapo lakini wawekezaji hawapo tayari.
Tukiunda site zetu tunazibagua wenyewe na kuhisi hazina ubora na uburudishaji
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom