Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Doro aliimba stimu ya Kuber ndo imeshaleta matata
Yeye ndo anajua jinsi ipi alikua na demu mkali ila umaarufu akauweka pembeni
Akatia usanii mbele kama ule wa Prof Jize, na skills za Weusi jinsi ambavyo walimshirikishaga Chin Bees mnyama ilihali wao pia wanaimba. Na unaeza cheki skills za Joh...
Nilizingatia msimamo tuliokuwa nao COVID-19 ilipoingia nchini kwa mara ya kwanza, nilikuwepo wakati wa wimbi la pili la maambukizi, na nashukuru pia nipo kipindi hiki cha wimbi la tatu la maambukizi na hatua zinazochukuliwa.
Najiuliza je, tulifaulu au kushindwa awamu ya kwanza ya COVID-19, na...
Ndugu zangu nimekuwa na nyie hapa kwa zaidi ya miaka 7 sasa.
Kulingana na mwenendo wa siasa za nchi hii naomba niachane kabisa na siasa, ni kujipa presha na usumbufu usio na faida.
Mwanzo nilifikiri tatizo ni Marais wanaotawala hii nchi kumbe tatizo sio Marais wanaotawala hii nchi bali ni...
Ukipita katika mitaa mbalimbali ya jiji la Dar es Salaam na katika miji mingine mikubwa, aghalabu utawakuta vijana na baadhi ya watu wazima wamekaa katika makundi wakivuta bangi na kutumia dawa nyingine za kulevya bila wasiwasi wowote. Hili hutokea zaidi nyakati za jioni na usiku lakini pia sio...
Wanaukumbi.
Viongozi wa CHADEMA sasa hivi kama wameishiwa mbinu za kukijenga na kukiimarisha chama kama ilivyokuwa enzi za kina Prof. Safari, Dr Slaa, Zito Kabwe.
Mbinu na sera zilizobaki sasa ni kuwaomba wananchi michango ili watumie kwenda kuwaomba wazungu waiwekee vikwazo Tanzania...
UZINDUZI WA REPORT YA HAKI ZA BINADAMU NA BIASHARA 2020/2021
Legal and Human Rights Centre (LHRC) on 29th July, 2021, launched the Tanzania Human Rights and Business Report that provides the status of human rights in the business field in Tanzania Mainland in 2020. This is progressive report...
Habari za Biashara zinawafungua wananchi wakiwemo wakulima, wafanyabiashara na wafanyakazi juu ya mwenendo wa masoko. Sasa hapa Tanzania je ni kwanini hakuna kituo cha Televisheni au Redio chenye Habari za mashiko za Biashara kama vile Mwenendo wa Masoko ya Hisa ya Tanzania na Afrika Mashariki...
Rais wa JMT mh Samia Suluhu Hassan kesho atapokea ndege mpya ya ATCL.
Ndege hiyo ni miongoni mwa zile 11 zilizoagizwa na serikali yy awamu ya 5 chini ya hayati Magufuli
Mtanikumbuka - JPJM
Mungu ni mwema wakati wote!
===
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kesho Julai 30, 2021 anatarajiwa...
Uwezo wangu wa kisiasa, kiuchumi, na ki-intelijensia ni mdogo sana. Naomba niliweke hili wazi mapema. Sisi ndiyo wale tunaouliza lini "Brazil itacheza na Manchester".
Ninachompendea Mama, tofauti na JPM ni tabia yake ya kuwa brief. Hotuba ya Mama usipoiwahi basi utakuta amemaliza. Harudiirudii...
Leo Tarehe 29 Julai, 2021 Benki ya Dunia inazindua Toleo la 16 la Ripoti ya Hali ya Kiuchumi ya Tanzania, yaani "16th Tanzania Economic Update"
Toleo la Hali ya Kiuchumi Tanzania huchapishwa mara mbili kwa mwaka na Benki ya Dunia, likiwa na lengo la kutoa mtazamo wa uchumi wa ndani wakati pia...
Kamanda wa Kamandi ya Afrika ya Jeshi la Marekani (AFRICOM) Jenerali Stephen Townsend, alikuwa na ziara ya siku mbili nchini Tanzania, tarehe 27 na 28 Julai, ambapo alikutana na maafisa waandamizi wa jeshi na kufungua mazoezi ya kwanza ya pamoja ya kijeshi ya nchi hizi mbili toka mwaka 2017...
Mtakuja kusema tumeua polisi wakati tulidhani ni majambazi, yule kamanda mkuu wa polisi aliesema tulale na silaha kama yupo ni bora abadilishe kauli, maana sasa makuruti wanatumwa kutukama saa za usiku wa manane na wanagonga mlango kama wezi wanaong'owa dirisha ni hatari sana.
Yaani ikitokea...
Hii ni kwa mujibu wa taarifa za taasisi ya elimu ya juu, kwamba Tanzania yote huko wataalam ni asilimia 3.3% ya mamilioni ya raia wake......shughuli bado sana kuelekea kwenye uchumi wa viwanda unaohitaji ndani kuwe na wataalam wa kutosha kupokea ujuzi wa wageni.
==============================...
Mzee Kikwete alitulea kwa kutudekeza sana. Tukawa na uhuru uliopitiliza na kutufanya tuseme mambo yatokanayo na "ulevi wa uhuru".
Tukamwomba Mungu "atupatie dikteta mzalendo". Akatujibu kwa kutupatia dikteta uchwara awamu ya tano.
Tukamlilia tena Mungu kwamba huyu mtu aliyetupatia anatutesa ...
Press Statement of the African Commission on Human and Peoples’ Rights on the deteriorating human rights situation in Tanzania
The African Commission on Human and Peoples’ Rights (the Commission) is deeply concerned about recent developments affecting various areas of human rights in Tanzania...
Wanakumbi.
CHADEMA wakiongozwa na Tundu Lissu, mmeayaona mataifa ambayo mnataka Tanzania iwekewe vikwazo vya kiuchumi.
Kesi ya Mbowe ipo Mahakamani, manachoweza kufanya kwa sasa ni kuitaka Judiciarytz kusimamia sheria na haki siyo Rais Samia, kusema aachiwe.
Utawala wa Sheria hautaki hivyo...
Mzee wa upako, Athony Lusekelo ameitwa kufungua kwa sala na kabla anatoa maneno machache ikiwemo kutaka watanzania kuiamini chanjo kwani Serikali imejiridhisha.
Pia ameongelea kauli ya Magufuli na kusema hakukataa bali alitaka tahadhari, Mwisho amesema wakristo kuna mambo wanakubaliana wote kwa...
chanjo
chanjo ya corona
chanjo ya covid-19
corona
covid-19
covid19
ipi
johnson & johnson
mama samia
president
rais
rais samia
rais samia suluhu
samia
samia suluhu
samia suluhu hassan
tanzania
uzinduzi
vaccine
wananchi
Taarifa iliyotolewa na Ubalozi wa Marekani hivi leo inasema Tanzania ni nchi kiongozi katika masuala ya usalama katika Bara la Afrika.
Hayo yamesemwa leo na General Stephen Townsend na kuripotiwa na Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania.
General Townsend ndiye mkuu wa Jeshi la Marekani Command...
Nimetafuta Mantiki ( Logic ) ya Ujenzi wa Daraja hilo mpaka sasa sijaipata sana sana naona 'Maluweluwe' tupu tu.
Nimejaribu Kuzungumza na Wakandarasi na Wahandisi Waandamizi wamesema hilo Daraja ni Kazi bure tu japo 99% walishiriki Kikamilifu katika Mchakato wake mzima mbele ya Hayati Mmoja wa...
Huyu bhana pamoja na kuzaliwa kipindi cha uhuru lakini dalili zinaonesha anaenda kukuza uhuru wa kufurahia demokrasia hapa nchini.
Ninatamani sana kesi yake ingurume ili tuone matendo ya kigaidi aliyoyafanya ili nilinganishe na ya Ole Sabaya na ya Mnyeti halafu ikiwezekana afungwe kabisa si...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.