tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Offshore Seamen

    JamiiForums Tanzania Tanzania tujifunze kupitia Transnet Cyber Attack, iliyotokea South Africa

    Marine Cyber Attack ni uvamizi wa mifumo ya uendeshaji wa shughuli za Meli na Bandari. Ambayo inahusisha Bandari, mawakala wa Meli na forodha, idara za Kodi na wenye mizigo. Shirika la kimataifa linalosimamia Mambo ya Bahari, International Maritime Organization (IMO) baada ya mashambulio na...
  2. beth

    JamiiForums Tanzania Rais Samia afanya mazungumzo na Rais Paul Kagame, wakubaliana kukuza uhusiano

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema mazungumzo kati yake na Rais Paul Kagame yamejikita zaidi katika kuimarisha na kukuza uhusiano wa kiuchumi. Amesema, "Kubwa tulilokubaliana ni kukuza ushirikiano zaidi. Tanzania na Rwanda tuko kwenye Biashara na Uwekezaji, bado tuna fursa nyingi...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Ukiondoa Mwalimu Nyerere aliyetupatia Uhuru, na ukiacha Benjamin Mkapa kwa kiasi, Tanzania inaongozwa na Viongozi wenye uwezo wastani sana

    Kama mada kwenye kichwa ilivyo, ukimuondoa MZEE NYERERE aliyetupatia uhuru na kisha baadaye kuwa na Mzee Mkapa katika awamu ya tatu, niseme wazi Tanzania imekuwa ikongozwa na viongozi wenye uwezo mdogo na wastani sana. Katika Uongozi, Mzee Mkapa ndiye angalau aliimarisha mifumo ya Serikali na...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Mfumo Dola wa CCM, Tanzania inapotea njia

    CCM ilishachokwa kitambo, Mfumo wa chama kimoja uliathiri vipawa na mawazo mbadala, Mwalimu na wenzake waliunga mkono vyama vingi miaka ya 1992 ili kuruhusu mbadala na kuifungua Tanzania. Miaka 29 baadae tunarudi tena nyuma. Haya ndio madhara ya kukosa mwelekeo. Kutoka vyama vingi vya...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Mbunge wa Mlimba akikagua Daraja la Sh. Milioni 31 lilojengwa kwa miti

    PICHA YA SIKU: Hili ni Daraja jipya katika Mto Mngeta uliopo katika mji wa Mlimba wilayani Kilombero. Daraja hili limejengwa kwa miezi 7 kwa thamani ya shilingi milioni 31, na limejengwa kwa miti. Pichani ni mbunge wa jimbo la Mlimba, Godwin Kunambi, akikakagua mradi.
  6. The Assassin

    JamiiForums Tanzania UTEUZI: Rais Samia afanya uteuzi wa Wakurugenzi wa Halmashauri, Manispaa, Miji na Wilaya 184

    Rais Samia amefanya uteuzi wa wakurugenzi 184.
  7. B

    JamiiForums Tanzania Taja Mambo Mazuri na Mabaya ambayo Tanzania inaongoza

    Tanzania kama nchi inayo mambo mengi inaongoza. Yapo mazuri na mabaya. Taja mambo ambayo unaona ama unajua kuwa Tanzania inaongoza Afrika Mashariki, Afrika na duniani kwa ujumla. Kwa kuanza.. 1. Tanzania ndiyo nchi yenye wazungumzaji wengi wa lugha ya Kiswahili duniani. Ikifuatiwa na Kenya..
  8. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Wanaokataa chanjo ya COVID-19 sio Tanzania tu, Marekani watu Milioni 100 wamegoma kuchanjwa

    Leo mshauri mkuu wa afya wa Serikali ya Marekani Dr. Antony Fauci amesema hawafikirii kwenda lockdown nyingine lakini Marekani ijiandae kwa mambo mabaya zaidi kwa sababu ya watu Milioni 100 ambao hawataki chanjo. Fauci anasema itumike kila mbinu ya kuwashawishi, kuwaomba ili wabadili mawazo...
  9. Mulokozi GG

    JamiiForums Tanzania SoC01 Tusiwageuze traffic polisi mafisadi

    Tamaduni na matendo yetu kama binaadamu ni muunganiko na matokeo ya tabia ndogo ndogo tuzifanyazo kila siku. Hivyo mtu anaye ishi maisha yake kama jambazi, mwizi au fisadi hakuzaliwa hivyo bali alilelewa hivyo. Kwa maneno mengine fisadi au jambazi sugu analelewa na kufundishwa tabia hiyo na watu...
  10. Jembe Jembe

    JamiiForums Tanzania Watalii kutoka Israel kutua nchini Agosti 2, 2021

    Na Joseph ngilisho Arusha, Watalii zaidi ya 150 kutoka nchini Israel wanatarajia kutua nchini Tanzania kesho jumatatu kwa ajili ya shughuli za Utalii ili kujionea vivutio mbalimbali vilivyopo hapa nchini. Akizungumza na waandishi wa habari mapema leo ,Kamishna Mwandamizi wa Uhifadhi na...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Tanzania kufanya vizuri kwenye Para-olympics Tokyo

    Ninaamini nchi yetu itafanya vizuri sana kwenye paraolympics. Tuna wabunge, wanasiasa wakiongozwa na honorable Ndungai, Polepole, Gwajima, Tarimba, Mwigulu, Zungu etc hakuna hata haja ya kuwapima maana wana akili ya kuku wote hao. Mheshimiwa Tarmba atasindikizwa na na vigogo wa Yanga, huyu jamaa...
  12. King Easy

    JamiiForums Tanzania Magenge ya utapeli Tanzania: Tupe stori kama umekumbana na kadhia zao

    Kwa muda mrefu kumekuwa na Magenge mbalimbali ya Utapeli kupitia Mitandao, Waganga na hata Wafanyabiashara. Hadithi n nyingi kuhusu magenge ya watu hawa. Yawezekana una ndugu, rafiki au hata jamaa aliyekumbwa na kadhia ya hii ya kutapeliwa. Zipo taarifa kuwa ndani ya Magenge haya kuna watu wa...
  13. Behaviourist

    JamiiForums Tanzania Picha ya siku: Mbowe kama gaidi

    Hawa maigaidi wengine wameishia kumshangaa
  14. Mashashola

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya has 4 times more dollar millionaires than Tanzania

    Kenya also leads East and Central Africa in the number of dollar millionaires
  15. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Shaka Hamdu Shaka: Tanzania haiko kwenye mapambano ya demokrasia

    SHAKA HAMDU SHAKA: TANZANIA HAIKO KWENYE MAPAMBANO YA DEMOKRASIA. Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi. Na Mwandishi Wetu, Dar Es Salaam. Chama Cha Mapinduzi(CCM) kimesema Tanzania hakuna mapambano ya demokrasia kwani mageuzi na mabadiliko toka mfumo wa chama kimoja na...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Shaka: Tanzania ni nchi iliyojengwa katika misingi ya demokrasia

    Na Mwandishi Wetu, Dar Es Salaam. Chama Cha Mapinduzi(CCM) kimesema Tanzania hakuna mapambano ya demomrasia kwani mageuzi na mabadiliko toka chama kimoja na kuingia vyama vingi yamefanyika kwa ridhaa na kwa mujibu wa sheria kinyume na madai yaliyotolewa na katibu mkuu wa chadema John Mnyika...
  17. J

    JamiiForums Tanzania BBC na Corona: Kenya tayari ina deni la $ 1.5 bilion za Marekani, Tanzania haina deni lolote hadi sasa

    BBC Dira ya Dunia imefanya tathmini ya mikopo waliyopewa nchi wanachama wa jumuiya ya Afrika Mashariki ili kukabiliana na janga la Corona ikiwemo uhifadhi na usafirishaji salama wa chanjo. BBC imegundua kuwa Kenya na Rwanda ndio zimepewa mikopo mikubwa na nchi wahisani na hivyo kuwaongezea kwa...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Tafakuri kwa wapinzani Tanzania

    Hali zenu wanajamvi, Mimi nashukuru nipo hai natarajia kuchanja wiki hii. Naomba wapinzanzi watafakari jambo moja tu: Anapopatikana kibaka mwanaume huuawa au hupewa kipondo cha hali ya juu. BUT anaposhikwa kibaka mwanamke hata sehemu kama kariakoo hali huwa tofauti sana. Hushikwashikwa na...
  19. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania Utata wa chanjo ya UVIKO-19: Askofu Gwajima kutoa msimamo mwingine juu msimamo tarehe 1/8/2021

    Mtazame na msikilize mwenyewe ktk video hii. Yeye kauita huu wa kesho kuwa ni "msimamo juu ya msimamo"... Hii ndiyo sauti ya "Jitu la Mbinguni" iliayo nyikani kusema itengenezeni njia ya Bwana maana ufalme wa Mwanakondoo upo duniani...! Video na sauti yake itafuata.
  20. Johnyson

    JamiiForums Tanzania Tanzania ya kesho

    Ni kweli Tanzania ya kesho haitakua tena yakushangaza kwani uwepo wa mambo ambayo hatukuzoea kuyaona au kuyasikia itakuwa kawaida kwetu kwa mambo yafuatayo; Ushoga, kwa sasa hili jambo tunaona ni kama kwenenda nje ya maadili na miiko ya jamii nyingiza kitanzania na Afrika pia lakini ni jambo...
Back
Top Bottom