Bob Dere

Member
Jul 12, 2021
15
89
Nasikia website za ngono zimefungiwa Tanzania, kama ni kweli basi na support Kwa asilimia 100 uamuzi huu wa serikali maana siku hizi watoto wanajua kuchezea simu sana.

Licha ya hiyo, itasaidia vijana wengi kupunguza addiction ya picha hizi maana wameathirika wengi kisaikolojia.

Nashauri wazuie na VPN kabisaaa kama inawezekana.
 
Kwaiyo picha za ngono ndo zinazuia kina dada kupigwa chabo?
Angalau zinapunguza kimtindo unajua watu wakiwa na high libido wanaenda chimbo kuzicheki na kupiga nyeto wanapunguza kesi za ubakaji mtaani,tokea mambo haya yawepo angalau kesi zimepungua kuliko pale mwanzo zilivyokua za kificho rekodi za ubakaji zilikua nyingi amini nakwambia!
 
Back
Top Bottom