tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Elimu ya Tanzania haichangii chochote kwenye global science and technology kwasababu inahabiribiwa na mwingiliano wa lugha mbili

    Elimu ya Tanzania haichangii chochote kwenye global science and technology kwasababu inahabiribiwa na mwingiliano wa lugha baada ya miaka 7 kuanzia kidato cha kwanza. Hapo juu ni mada: Karibuni tujadili kiundani: Mimi nitatoa highlights zangu chache hapa: Kuanzia kidato cha kwanza wanafunzi...
  2. JamiiForums Tanzania Tanzania kuna slums? Kigezo cha sehemu kuwa slum ni nini?

    Wakuu nina maswali mawili. 1. Nini kigezo cha makazi kuitwa slums? 2. Je, Tanzania kuna slums?
  3. B

    JamiiForums Tanzania DIPLOMASIA - Dr. Liberata Mulamula: Tanzania relationship with Italy is strong

    12 October 2021 Rome, Italy In an exclusive interview with Vatican News Liberata Mulamula Rutageruka Minister of Foreign Affairs and Cooperation in East Africa of the United Republic of Tanzania, highlights the important results of the third edition of the Italy-Africa Ministerial Conference...
  4. JamiiForums Tanzania Hatari ya ushoga kwa watoto wa Tanzania; Serikali itunge Sheria kuzuia vikaragosi vya Superman

    Sahau Tozo, sahau machinga, sahau COVID-19Hatari mpya inayowakabili watoto na wajukuu wetu ni Superman mpya ambaye ni shoga. Ushaur; Serikali yetu ingetunga Sheria mathubuti za kuzuia vikaragosi hivyo visionyeshwe wala kufanya mijadala kama hiyo. Maana wazung wanaweza sema ni haki ila ni kwao...
  5. JamiiForums Tanzania Hawa ni maDj wa Kenya wanaokimbiza sana Tanzania kwa mix kali

    Kwenye simu yangu sina mix hata moja ya dj wa kitanzania,sijawahi kupata. Madj maarufu wa kenya na wakali hawa hapa. 1. Dj Prince 2. Dj Perez 3. Dj Shinsk 4. Dj Layta Huwezi kukuta mtanzania ana mix yeyote ulakosaajina ya hawa jamaa. Ni wakali sana. Kuna jamaa mmoja anajiita mc fullstop...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia atoa wastani wa madarasa manne na madawati 120 katika kila shule ya Sekondari nchi nzima

    Rais Samia atoa wastani wa madarasa manne na madawati 120 katika kila shule ya Sekondari ya Serikali nchi nzima | Hakika awamu ya Sita Tanzania lazima iwe Tanzania. " Hakuna kama Samaia " Baada ya janga la Covid-19 kuvuruga Uchumi wa dunia na sisi tukiwemo, Shirika la fedha duniani ( IMF)...
  7. JamiiForums Tanzania Orodha ya makabila ya Tanzania

    Hii orodha ya makabila ya Tanzania inaweza kuwa na matatizo kwenye majina kadhaa, kwa sababu mbalimbali. Orodha hii inatokana na orodha ya lugha za Tanzania inayopatikana katika Ethnologue, pamoja na tovuti nyingine Archived 22 Agosti 2006 at the Wayback Machine.. Inawezekana kwamba baadhi ya...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia kama kweli uko makini na lugha ya Kiswashili basi anzia nyumbani - Tanzania ndio inaongoza kwa kuharibu lugha ya Kiswahili

    Mimi kama Mtanzania nipendaye lugha yangu ya Kiswahili nasikitika sana kuona lugha hii ikiharibika. Chakusikitisha zaidi ni kwamba hakuna kiongozi yeyote wa juu kuanzia Rais, waziri wa utamaduni n.k. anayefanya jitihada madhubuti ya kukienzi Kiswahili. Kwenye hotuba yake ya Mpango wa Maendeleo...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kwako Beki Dickson Job japo Mimi ni mwana Simba SC, ila kuendelea Kucheza Kwako NBC Tanzania Premier League ni sawa na Kututukana Watanzania

    Tanzania miaka hii ya karibuni tumemtoa Mshambuliaji Hatari kabisa Mbwana Ali Samatta na kiukweli ametutangaza Watanzania ma Kaitangaza vyema Tanzania yetu. Na leo Mightier natabiri hapa hapa kuwa kwa huu Uchezaji mzuri na wa Kiwango cha Juu na cha Kimataifa anachokicheza sasa akiwa Yanga SC na...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kwa Chuki zetu, Wivu wetu na Roho mbaya zetu Waswahili tutamsema sana, ila kwa sasa Tanzania hakuna Kipa bora na Mahiri kama Aishi Salum Manula

    Nampongeza sana Mshambuliaji Simon Msuva kwa Kufunga Goli zuri, tamu na la Viwango ambalo limetupa Alama Muhimu leo. Nawapongeza mno Wachezaji wote wa Kikosi cha Taifa Stars kwa Mchezo mzuri walioucheza leo na hadi kutupa Ushindi na kuna Kitu nimegundua kuwa ukitaka Taifa Stars ishinde basi...
  11. JamiiForums Tanzania Barrick yaendelea kufanya makubwa. Yaleta mtambo wa 'PhotonAssay' unaotumia Roboti. Ni wa kwanza barani Afrika na upo Tanzania Pekee!

    Wanabodi, Mambo mengine wala hata hatujui Kiswahili chake, hivyo wale wenzangu na mimi ambao lugha za watu hazipandi, mnisamehe. NEWS OCTOBER 10, 2021 Barrick Commissions Africa’s First PhotonAssay Laboratory Press Release All amounts expressed in US dollars unless stated otherwise Bulyanhulu...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Uzoefu wa Zanzibar 2020 - Tuna ya Kujifunza, yatasaidia kwa Ukombozi

    Kumtemesha mtu tonge mdomoni au haki za watu anazo hodhi haijawahi kuwa bila mpambano. Maridhiano hayawezi kutokea mitandaoni. Tunayo ya kujifunza kutokea Zanzibar walikofanikiwa kuionja tamu na chungu ya maridhiano: Shikamoo Zanzibar. Ama kweli tuna mengi ya kujifunza kwako. Pumzika kwa...
  13. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Tanzania itakombolewa na wenye Moyo

    Siyo siri kuwa hii nchi ni ngumu sana. Uwekezaji uliopo dhidi ya haki na usawa ni mkubwa sana. Kwa makusudi demokrasia na uhuru wa watu vimeminywa vilivyo ili kufanikisha hayo. Hali hii haitaondoka yenyewe bila ya makabiliano. Ni muhimu kufahamu watesi wetu hujipanga upya kwa kila hatua...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Tozo zimezidi, nchi yetu tuiite 'Tozonia' badala ya Tanzania

    Nimeona sehemu fulani Waziri wa Tamisemi Mh Ummy Mwalimu akisitisha tozo ya maegesho ya magari kwa njia ya kielektroniki kutokana na malalamiko ya wengi kuzidi. Hiyo ni sehemu tu ya malalamiko ya Watanzania walio wengi ambao kwa sasa wanaelemewa na tozo. Tangu serikali hii ya awamu ya sita...
  15. JamiiForums Tanzania Ni Tanzania tena Kimataifa! Shirika la Ndege la Kimataifa la Uswisi lazindua safari zake kuja Tanzania

    Hii ni moja ya sababu iliyonifanya niipende Serikali ya Awamu ya Sita! Hawana kelele sana wala propaganda ni vitendo tu na matokeo yanaonekana. Baada ya Serikali iliyopita kudharau Sera ya Mambo ya nje jambo lililopelekea Tanzania kutofaidika na Sera Bora ya Mambo ya Nje, Sasa Mabadiliko ya...
  16. JamiiForums Tanzania Benin vs Tanzania, Madagascar vs DR Congo on African Qualifiers - FIFA World Cup Qatar 2022

    Tanzania(Taifa stars) kupambana tena na Benin kwa mara hii wakiwa ugenini Siku ya Jumapili Oktoba 10 kuanzia saa 10 za jioni, katika mechi za kuwania kufuzu kombe la dunia 2022 nchini Qatar. Stars ilipoteza nyumbani dhidi ya Benin kwa kufungwa bao 1 kwa 0 katika mchezo uliopigwa dimba la Mkapa...
  17. JamiiForums Tanzania Matunda ya chanjo yaanza kuonekana, kazi nzuri ya Rais Samia

    Hapo jana, Serikali ya Uingereza kupitia ubalozi wake hapa nchini ulieleza kuwa Tanzania ni miongoni mwa mataifa yaliyoondolewa katika orodha ya Mataifa hatari kwa maambukizi ya Corona ambapo mataifa katika orodha hiyo yamepungua kutoka nchi 54 hadi 7. Kwa mujibu wa taarifa hiyo mabadiliko hayo...
  18. JamiiForums Tanzania Tanzania yapokea dozi 576,558 za chanjo aina ya Sinopharm

    Serikali ya Tanzania leo Oktoba 08, 2021 imepokea dozi 576,558 za chanjo aina ya Sinopharm dhidi ya Virusi vya Corona kutoka Nchini China Dozi hizo zimeletwa chini ya Mpango wa Shirika la Afya Duniani (WHO) wa COVAX Facility, ikiwa ni sehemu ya dozi 1,065,600
  19. JamiiForums Tanzania Prof. Ndalichako, watazame hawa watoto wakiwa wanakwenda shuleni

    Wanafunzi wa kike wanakwenda shuleni, kila mtu awaonee huruma hawa watoto.
  20. JamiiForums Tanzania Naomba kueleweshwa suala la ndege ya Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi ya Tanzania Bara kupokelewa Zanzibar

    NAOMBA KUELEWESHWA SUALA LA NDEGE YA WIZARA YA UJENZI NA UCHUKUZI YA TANZANIA BARA KUPOKELEWA ZANZIBAR. ZAA = Zanzibar TAA = Tanzania BARA Naomba kueleweshwa kwa Uhuru wa mawazo "the right to express my opinion under Article 18 of the Constitution of Tanzania of 1977" kuanzia zamani hakuna pa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…