tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. W

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema, achana na Siasa za kuongelea watu, na majungu jikite nini utaifanyia nchi hii ya Tanzania

    Godbless Lema ni mmoja ya wanasiasa mahiri, na uwa nampenda kwa misimamo yake, na hasa kipindi cha mwanzo alivyoingia Bungeni. Ila shida moja ambayo naona inazidi kukua na kutamalaki. Lema amekuwa muda mwingi anaongelea watu binafsi, si vibaya mara moja kujadili utendaji wa mtu katika majukumu...
  2. Fundi Madirisha

    JamiiForums Tanzania Very soon, Tanzania is going to face political instability and great transformation

    Nayaona mabadiliko makubwa ya kidemokrasia nchini yatakayoambatana na vurugu zitakazosabsbishwa na watu waliochoka kunyanyaswa,kutishiwa, kubambikiwa kesi na kupigwa. Kuna vuguvugu kubwa linakuja siku za usoni, watu hawajakasirika bado lakini muda siyo mrefu watalazimika kukasirika. Hili...
  3. Equation x

    JamiiForums Tanzania Pata fremu za maduka popote pale ulipo

    Tutumie uzi huu kuweka picha za fremu za maduka yanayopangishwa sehemu yoyote ile,tutaje pia mikoa zilizopo pamoja na bei zake. Picha ni muhimu zaidi ili kuweza kumvutia muhitaji. Karibuni......
  4. Frustration

    JamiiForums Tanzania Mwenendo wa matukio ya ugaidi, upinzani na vyombo vya ulinzi Tanzania

    Sina tafsiri halisi ya GAIDI ya Tanzania ila TERRORISM /noun the killing of ordinary people for political purposes. UGAIDI/jina[nomino] ni kuua watu wasio na hata kwa mlengo wa Kinshasa. MAANA YA HATIA Hatia ni ile hali ya kuvunja sheria au kuwa na kosa kisheria. MAANA YA BILA...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Mgawanyo wa Afrika Mashariki ya awali ulikuwa Tanzania Siasa, Kenya Viwanda na Uganda Elimu

    Ni ile Jumuiya ya Afrika mashariki iliyokufa mwaka 1977. Tanzania tuliaminiwa katika mambo ya siasa na porojo baada ya kupata Uhuru mezani bila ya mapambano. Kenya iliaminiwa katika eneo la uzalishaji na viwanda Uganda iliaminiwa katika eneo la Elimu Je, tumebadilika? Jumaa kareem!
  6. CCM Music

    JamiiForums Tanzania Tanzania haina uzoefu wa kuwa nchi ndiyo maana mambo mengi hayana 'consistence ya kitaifa'

    Kumradhi kwa kila mtu naomba nisionekane nimetukana ila huu ni mtazamo wangu tu. Kila kitu ni uzoefu. I mean kila kitu ili kifanyike kwa usahihi mkubwa panahitajika uzoefu. Hii ni law of nature in doing things. Watu wengi hulalamika kuhusu mwenendo wa Tanzania kisiasa, kielimu, nk. Watu...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania TFF inajua sana 'kuidhalilisha' na 'kuisanifu' klabu moja kubwa na kongwe mno nchini Tanzania

    Kuna muda ilitoa Maamuzi (Taarifa) fulani kuwa Wao ndiyo wameongoza sijui kwa kujaza Watu Uwanjani na kama kawaida yao Washamba na Mashabiki zao 'Oya Oya' wengi 'Wakashangilia' Mwezi mzima utadhani ndiyo wamebeba Kombe la VPL. Hatimaye leo ndiyo TFF katika Utoaji wa Tuzo zake imeamua kuwafanyia...
  8. BAK

    JamiiForums Tanzania Air Tanzania among entities that borrowed money without approval, says PAC

    Air Tanzania among entities that borrowed money without approval, says PAC THURSDAY OCTOBER 21 2021 Summary Another institution named by PAC is the Arusha International Conference Center (AICC). By The Citizen Reporter More by this Author Dodoma. Air Tanzania Company Limited (ATCL, is...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Tahadhari uhaba wa Wahadhiri vyuo vya elimu ya Juu Tanzania

    20 October 2021 Dar es Salaam. Vyuo vikuu vya ndani vinakabiliwa na upungufu wa wahadhiri wenye sifa, kwa mujibu wa wakuu wa vyuo. Siri hiyo imefichuliwa wakati wadau wa elimu wakieleza wasiwasi kuhusu ubora wa wahitimu hapa nchini. Akizungumza katika mkutano ulioikutanisha Serikali, makamu...
  10. Informer

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania discloses their customer private data

    There are unquestionable scenarios that a leading Tanzania’s cellular network company, Vodacom (T) can easily hack and share customers' conversations without their consent. Voicemail, massaging and maybe video hacking is easily tracked by Vodacom and shared to third parties, contrary to...
  11. AA TANCH TRADING COMPANY

    JamiiForums Tanzania Kwanini tuna viwanda vingi vidogo Tanzania: Kumbuka hivi navyo ni viwanda

    Tukianza kwa kufahamu viwanda jinsi vilivyo chambuliwa. Tuna manufacturing industries (viwanda vikubwa vya utengezaji). Retail industries (viwanda vidogo vya reja reja ). Alafu tuna viwanda vingine ambavyo havipo kwenye makundi hayo mawili( rest of the world industries) Kwa jina la kiswahili...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ni dhahiri Mahakama ya Tanzania ni mshirika mkuu wa kutotenda haki nchini

    Hapa nchini katika miaka ya hivi karibuni, kumekuwepo na mambo ya kusikitisha sana kutoka kwa mhimili wa mahakama. Mwendenendo wa Mahakama zetu nchini umekuwa ni mwenendo usio na afya njema katika utoaji wa haki nchini, na kwa bahati mbaya inaonekana mahakama yetu imeridhika na kuridhia hali...
  13. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Kwanini TBC wasifungue YouTube channel waweke nyimbo za zamani?

    Radio Tanzania/ TBC FM wao ndio Wana archive kubwa kabisa ya nyimbo za zamani, kwani bendi zote za muziki, vikundi vya taarab na kwaya vilirekodi kwenye studio za RTD. Kuna nyimbo nyingi sana hazipatikani YouTube wala sehemu yoyote Ile, hivyo Basi wapenzi wa muziki ya kwetu hatuna pa kulipata...
  14. mkulima gwakikolo

    JamiiForums Tanzania Ni Tanzania pekee wananchi wako tayari kuburuzwa na kundi fulani la watawala

    Ndani ya miaka sita ilyopita, nchi hii tumeshuhudia sheria zilizopo zikipindisha haki kwa kiwango cha kutisha. Raia wakitendewa ndivo sivyo katika nyanja mbalimbali. Vyombo vya maamuzi zikiwemo mahakama vikifichwa mfukoni na kundi fulani, kitu kinachopelekea kundi lenye haki likiumizwa vibaya...
  15. Civilian Coin

    JamiiForums Tanzania Waraka maalum kwa Prodyuza DONCHA na Maprodyuza wote Tanzania ili kuboresha Muziki wa Tanzania

    WARAKA MAALUM KWA PRODYUZA DONCHA. NILIJIIMARISHA KIMUZIKI NA UIMBAJI ULIO BORA KWA KUTUMIA BEAT YA AINA YOYOTE ILE MWAKA2014 KWA PRODYUZA "DONCHA" WA MWANZA.(DJ. DON NALIMISON) Producer DONCHA nilimfahamu kupitia Gabriel Samalu(Mlapa) wa Global Publisher mwaka 2014 nanikafanya Albam yangu...
  16. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Rais wa Burundi kufanya ziara ya siku 3 nchini

    Rais wa Jamhuri ya Burundi Mhe. Evariste Ndayishimiye, anatarajiwa kuwasili nchini kwa ziara ya Kitaifa ya siku tatu kuanzia tarehe 22 hadi 24 Oktoba, 2021. Akiongea na Waandishi wa Habari ofisini kwake jijini Dodoma, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi...
  17. Fbn

    JamiiForums Tanzania Leo nimewaza na kujiuliza kama Tanzania ikatokea haya itakuwaje

    Leo nimewaza ujinga wa kujiuliza kama Tanzania ikatokea haya.! Mambo ye nyewe:- * TBL (kampuni ya bia) imeokoka na kuanza kuuza soda kwenye chupa zake walizokuwa wana weka bia. * Kampuni ya Azam imeacha kutengeneza bizaa za vyakula na kuanza kutengeneza magari. * Simba na Yanga zimeshuka...
  18. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Head of Advocacy and External Communication at Marie Stopes Tanzania

    CAREER OPPORTUNITY Marie Stopes Tanzania (MST), a Non-Governmental Organization, is a social enterprise and a leading provider of family planning, sexual and reproductive health care and allied services. MST is a partner of the Government of Tanzania and a member of the Marie Stopes...
  19. Mung Chris

    JamiiForums Tanzania Ni sehemu gani hapa Tanzania biashara ya boda boda inalipa na hamna wizi wa Pikipiki?

    Wakuu tuje kila mtu na Tafiti zake ili tupate mwanga na kumsaidia ambaye anaweza akahitaji kufanya biashara ya boda boda. Ni Mkoa gani, Wilaya, Kata, Kijiji au sehem gani mtu unaweza ukawekeza kwa biasahra ya pikipiki ya Mkataba na ukapata pesa zako bila wasiwasi na usiwe na hofu ya kuibiwa...
  20. omtiti

    JamiiForums Tanzania Kuna Mtanzania bado anaamini nchi hii ni masikini na inahitaji misaada zaidi kujikwamua?

    Nawauliza Watanzania, nchi hii ni maskini kweli au inakosa viongozi wenye maono? Kabla ya Magufuli kuingia madarakani Kikwete alitembeza sana bakuri ughaibuni,tulivyoambulia ni pamoja na vyandarua toka USA Magufuli akaingia madarakani slogan yake akasema nchi hii si maskini, ina kila aina ya...
Back
Top Bottom