Kwanini tuna viwanda vingi vidogo Tanzania: Kumbuka hivi navyo ni viwanda

Aug 24, 2021
27
45
Tukianza kwa kufahamu viwanda jinsi vilivyo chambuliwa.

Tuna manufacturing industries (viwanda vikubwa vya utengezaji).

Retail industries (viwanda vidogo vya reja reja ).

Alafu tuna viwanda vingine ambavyo havipo kwenye makundi hayo mawili( rest of the world industries)

Kwa jina la kiswahili ni Viwanda vinginevyo vilivyopo duniani.
industrialTypes.PNG


Kumbuka hata hoteli ni kiwanda kama tukiongelea viwanda vya kawaida kabisa vilivyopo duniani.

Kwanza ili kufanya uamuzi wa kununua kitu kiwandani. Mara nyingi maamuzi hayo huja kama wewe ni mfanyabiashara mkubwa.

Tumekuwa tukitafuta sana viwanda ili kwenda kuchukua bidhaa wenyewe.
Ikiwemo:

Viwanda vya vifungashio.

Viwanda kama viwanda vya mabati.

Viwanda vya plastic(plastiki)

Viwanda vya tiles

Viwanda vya sukari

Viwanda vya rasta


Viwanda vya cement.

Na viwanda vingine vingi:

Hii hutokana na kutokuwepo, na watu wenye kutoa huduma sahihi ya usafirishaji, wa bidhaa mbali mbali kutoka viwandani. Na walio jitangaza vizuri.

Pia watu huwa wanatafuta bidhaa kutoka viwandani kutokana na unafuu wa bei uliopo.

Basi kutokana na kuona usumbufu huu unaojitokeza kwa wafanyabiashara wengi kuto kupata bidhaa kutoka viwandani. Na bado wakijua kuwa viwandani ndio sehemu pekee watakayopata bidhaa nzuri kwa bei nafuu.

Sisi kama kampuni ya AA Tanch Tumekuja na huduma inayoitwa TANCH EXPRESS. Hapa tunakusafirishia bidhaa zako mkoa kwa mkoa.

Iwe unahitaji kuziagiza bidhaa kutoka viwandani au iwe ni bidhaa za gharama ambazo zinahitaji ulinzi mzuri hadi kufika. Tumeamua kukufikishia bidhaa zako hadi mlangoni

Pia kwa wale ambao wangependa kuwa waagizaji wa bidhaa kutoka viwanda mbali mbali bila kusumbuka kutafuta viwanda hivyo wenyewe. Huu ndio wakati sahihi wa kutumia kampuni yetu ya kipekee sana ya AA TANCH Trading na upate huduma iliyobora.

Kingine kwa wale ambao wanajua viwanda vyetu havijajitosheleza kupata bidhaa nzuri wanazohitaji.

Na kama wangependa kuagiza kutoka viwanda vya nchi kama china, Japan,Dubai ,na South Africa. Ni vizuri pia mkajiunga kwa mahitaji hayo yote.

Maana AA TANCH TRADING COMPANY TUNAKUHAKIKISHIA USAFIRISHWAJI WA BIDHAA ZAKO KUTOKA KIWANDANI HADI MLANGONI KWAKO.

Kwa wale waliotayari kutumia huduma zetu mnaweza mkatupigia kwa namba 0756 591 943.

Na kwa wale ambao bado wanafikiria: Mnaweza mkajiunga na group letu la telegram ili kuweza kuona vizuri jinsi watu wetu wanavyohudumiwa.

Kumbuka ukishajiunga na group letu(Group la telegram) subir tutaanza kukufahamisha vitu kila juma mosi na juma pili na siku zingine ikiwa wewe kama mteja wetu utakuwa na maswali.

Unaruhusiwa kuuliza maswali(Group la telegram) na ma admin wetu watakuhudumia.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom