Wakuu nauliza enzi zile zetu tukijipanga na kumpokea raisi tokea aiport hadi anapofikia hatukuona haya ya leo Rais anapokwenda huwaga na mambo ya kutisha .
Sina haja ya kuwachosha sana lakini tupeni ufafanuzi Je Tanzania sio salama tena,hata hatukuyaona wakati wa Nyerere,Ali Hassan,Mkapa wala...