Civilian Coin
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 2,305
- 4,334
Niliandika barua nikiwa Mahabusu 2018 Butimba gerezani ya kumuomba Rais wa Tanzania wakati huo John Magufuli ambaye sasa Yuko Motoni mwa milele (Fact spiritually). Nikimuelezea chanzo Cha Serikali kuniwekea vikwazo na mapingamizi mbalimbali ya Mimi DJ. DON NALIMISON kutofanikiwa kimaisha.
Tanzania haitaki kabisa kuona nafanikiwa Ila kutaifisha data zangu na kuzigeuza kuwa za wengine na kunikana kwa kila jema nalofanya. Ila kwenye mabaya sifa zote nabebeshwa na Tanzania. Nchi gani hii haitaki hata kuinua Muziki wangu kwenye Television za TANZANIA Nchi niliyozaliwa na kukulia. Nchi gani hii kunifunga ili nipoteze sifa za kisiasa.
Nimewaachia yote na kurudia fani yangu ya Muziki lakini hamtaki kuniinua, mtasemaje mmenipa Promotion wakati Sioni ongezeko la watazamaji(viewers) You Tube na kwingineko. Yaani mpaka kwenye Sanaa mnanionea gere.
Sihitaji kupewa Pesa Mimi ni mtafutaji hivyo sihitaji kutafutiwa natafuta Pesa zangu mwenyewe kwa nguvu zangu.
Nitaihama TANZANIA niwe Kijana au mzee, niwe mzima au mgonjwa, niwe mwehu au mjinga. Lakini nitaondoka Tanzania Mazima ili muwe na amani Sana. Mungu awabariki kwa unyama wenu mnaonifanyia.
Ndimi DJ. DON NALIMISON.
Sat.Nov.20,2021