MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,011
- 16,748
Ni nani Katuroga uwezo wa Kufikiri mpaka tumeshindwa kujua kuwa sasa hatuna Tanganyika bali tuna Tanzania na kwamba hata tu Kutaja neno Tanganyika ni kujitafutia tu laana na kukumbushia Mateso ya Wakoloni na Mababu na Mabibi zetu waliopambana Kutukombolea hili Taifa zuri la Tanzania?
Nyie Media za Tanzania pamoja na Watangazaji wenu hizo Promo za Miaka 60 ya Tanganyika Zuzu gani kawaelekeza mseme hivyo tena hata hamjishtukii na mnakazia kabisa.
Nyie Media za Tanzania pamoja na Watangazaji wenu hizo Promo za Miaka 60 ya Tanganyika Zuzu gani kawaelekeza mseme hivyo tena hata hamjishtukii na mnakazia kabisa.