tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. sabuwanka

    JamiiForums Tanzania Tanzania, Kenya waondoa vikwazo 46 kati yao

    Tanzania, Kenya waondoa vikwazo 46 kati ya 64 Rais wa Tanzania , Samia Suluhu Hassan, akizungumza na mgeni wake Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta Rais Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania na Kenya zimefanikiwa kuondoa vikwazo 46 vya biashara kati ya 64 vilivyokuwepo kati ya nchi hizo mbili ikiwa ni...
  2. Freiston

    JamiiForums Tanzania Ni aibu ya mwaka: 60 tena

    Ni miaka 60 sasa tangu Taifa letu pendwa kujipatia uhuru wake toka kwa watu wasiostaarabika wa zamani hizo. Leo hii tunapoadhimisha miongo 6 ya uhuru, umoja, amani na mshikamano kuna watu wazima na akili zao timamu wanakaa mitandaoni ni kutukanana mambo ya kijinga kijinga kabisa kama vile...
  3. luangalila

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania kuwapa Kenya ndege 12 aina ya cranes

    Serikal ya Tz imekubali kuwapa Ke ndege aina ya cranes ambao Taifa ilo la Kenya waliomba kwa Tanzania.
  4. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Tanzania hatuna Comedians bali tuna waropokaji tu. Comedians wa Kitanzania humwelewi kama hujui lugha anayotumia jukwaani

    Kwa hakika siwezi kupoteza muda wangu au data kumtazama mchekeshaji wa Kibongo. Hawa wachekeshaji wetu mimi ninawaita waropokaji. Comedy ya wenzetu wengi utacheka na kufurahi hata usipoielewa lugha wanayoitumia jukwaani. 1. Comedy ya Kibongo imekosa ubunifu. 2. Wanadhani mpaka leo mavazi...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kwa Umahiri mkubwa tuliouona wa Makomandoo wetu Tanzania ilikuwaje wale wa Kesi ya Mbowe wakateswa na Polisi?

    Kwa jinsi nilivyowaona jana katika Sherehe za Uhuru wa Tanganyika niseme tu ukweli wangu KEROZENE najiuliza maswali mengi sana juu ya hawa Makomandoo waliopo katika Kesi inayomkabili Freeman Mbowe na Yule aliyepotea. Kwa mafunzo makubwa ya Kimedani ya hawa Makomandoo, Ukomavu pamoja na...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: An Independence Day Message to The People of Tanzania

    Ujumbe wake ni huu:
  7. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Technical Advisors at KOICA Tanzania

    3 Technical Advisors TVET/Employment Promotion in Dodoma Manyara and Lindi (310 working days each) Position: technical advisor Project Status: tender Project Title: KOICA Tanzania – Provision of short courses in 3 vocational training centres Project Period: 03/2022 – 12/2023 Duration of...
  8. beth

    JamiiForums Tanzania Ikulu, Dar: Tanzania na Kenya zakubaliana kushirikiana katika mapambano dhidi ya Virusi vya Corona

    Tanzania na Kenya zimekubaliana masuala mbalimbali ikiwemo kuimarisha Mpaka, kushirikiana katika mapambano dhidi ya Virusi vya Corona na kushirikiana kwenye Sekta ya Utalii. Rais Samia Suluhu Hassan ameeleza hayo Ikulu Dar es Salaam baada ya Utiaji Saini wa Hati za Makubaliano na Ushirikiano...
  9. Fbn

    JamiiForums Tanzania Tanzania hakuna ushindani wa biashara kuna vita ya biashara

    Tanzania bado tuna safari ndefu sana ya kutofautisha biashara za ushindani na biashara za vita. Biashara za ushindani ndio ideology kubwa inayopelekea nchi nyingi zilizoendelea kwa kasi. Asilimia kubwa ya biashara za ushindani ndio chachu ya kukuwa kwa ushindani kama aina mpya ya mitindo ya...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Sahihi kusema Arusha ndio Jiji bora Tanzania?

    Ni miaka 10 tu imepita tangu mji huu maarufu kama Geneva of Africa utangazwe kuwa jiji. Kutoka kuwa mji wa 9 kwa wingi wa watu hadi kuwa mji wa 3 kwa sensa ya mwaka 2012 na halmashauri ya jiji ya pili kwa wingi wa watu, licha ya upya wake. Lakini ndio jiji lenye hospitali nyingi za private kwa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Tumesherehekea uhuru wa Tanganyika na siyo wa Tanzania wala siyo wa Tanzania bara. Tanzania haiwezi kusherehekea uhuru maana haijawahi kutawaliwa

    Leo ni sherehe ya kumbukizi la uhuru wa TANGANYIKA iliyokuwa inatawaliwa na Waingereza. Tusipotoshe historia!! Leo siyo siku ya uhuru wa Tanzania. Anayebisha aniambie Tanzania ilikuwa inatawaliwa na mkoloni yupi! Hakuna nchi iliyokuwa inaitwa Tanzania wala Tanzania bara!! Tumeamua kupotosha...
  12. Chance ndoto

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza juice dispenser njia tatu

    Nauza juice dispenser njia tatu.. ipo vizuri inatumia umeme mdogo sana.. unaweza weka juice ata siku sita ikawa inazunguka bila kuharibika. Pia inatoa ubaridi ule ule wa juice ya kwenye fridge. Nzuri kwa restaurant, hotelini hata pick na pay. Bei rahisi kabisa Bei: 580,000 Location: Kimara...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Tanzania tutunge sheria ya kunyonga hadharani wataobainika kufanya makosa ya ufisadi na ubadhirifu wa mali ya umma

    Nchi hii, ili ufisadi na ubadhirifu wa mali za umma upungue kwa kiasi kikubwa(najua hauwezi kwisha), yoyote ataepatikana na hatia ya ubadhirifu, wizi na ufisadi wa mali ya umma, anyongwe hadharani mpaka kufa. Tukiwaonea huruma, tunawaacha wanafia jela, ila sheria itamke wazi adhabu yao ni...
  14. Tz boy 4tino

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania “the most naturally beautiful country in Africa”

  15. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Tanzania haikuwa colony bali protectorate chini ya muingereza. Nini tofauti ya colony na protectorate?

    Baada ya vita ya kwanza ya dunia, league of nations wakaiweka Tanzania kuwa protectorate chini ya muingereza. Sasa kuwa namna hii na kuwa koloni kama zilivyokuwa Kenya na Uganda kuna tofauti gani? Nini faida tulizopata na hasara tulizopata ukilinganisha na makoloni kama Uganda na Kenya?
  16. barafuyamoto

    JamiiForums Tanzania Huyu mmasai wa TikTok kutoka Tanzania anaipaisha sana Tanzania huko india, atambulike angalau..

    Habari zenu... Nimejikuta nimedondokea ktk instagram trends na kukuta kuna huyu mmasai wa tanzania anaitwa Kili Paul na mdogo wake wa kike Neema... Wamekua maarufu sana ktk mitandao ya kijamii haswa tiktok, indtagram na youtube... wanafanya interview na media za india online. Na kila muhindi...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Je, Bila Kanisa Katoliki Tanzania isingekuwa huru tarehe 09|12|1961?

    == Siweki neno sikiliza hii mpaka mwisho||
  18. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Darasa: Maadhimisho ya leo ni ya Uhuru wa Tanzania ila kumbukumbu ndio ya Uhuru wa Tanganyika!

    Wanabodi! leo tunapo sherehekea maadhimisho ya miaka 60 ya uhuru, ni maadhimisho ya Tanzania, japo iliyopata uhuru ile Desemba 9, ni Tanganyika na sio Tanzania, maadhimisho ya leo ni maadhimisho ya Tanzania, yaani Tanzanian National Day, na sio Tanganyika. Kumbukumbu ndio ya Uhuru wa Tanganyika...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Wana CCM tuambieni Tanzania ilipata uhuru tarehe, mwezi na mwaka gani?

    Imekuwa kawaida viongozi wa CCM kupotosha ukweli kuhusu hoja ya Uhuru. Kwenye hotuba zao nyingi wamekuwa wakiiambia Dunia kwamba Tanzania ilipata uhuru tarehe 09/12/1961. Na hata tunaposherekea sikukuu ya Uhuru Naamini tutegemee kuendelea kusikia upotoshaji ukifantywa na wasomi wa Nchi hili...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Samia Suluhu kwa Taifa Desemba 8, 2021 kuelekea miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika

    Kuelekea Miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akilihutubia Taifa leo tarehe 08 Desemba, 2021, Ikulu Jijini Dar es Salaam Mhe. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu wananchi nawasalimu kwa jina la...
Back
Top Bottom