tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. B

    JamiiForums Tanzania Corona: Marekani yaiweka Tanzania katika Mataifa Hatarini

    Iko kama "The Comedy" tu: US puts Tanzania, five other countries on travel red list Beberu sasa katupiga kalamu kama ilivyo kwa France, Portugal, Cyprus au Andorra. Wengine wanapambana na hali zao, ila washupavu sisi. India ilitaarifu abiria kuwasili kwao kutokea kwetu akiwa na kirusi...
  2. beth

    JamiiForums Tanzania Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta kuwa mgeni rasmi katika Sherehe za Uhuru

    Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta anatarajiwa kuanza ziara rasmi ya siku mbili nchini Tanzania kuanzia kesho, Desemba 9 ambapo atakuwa mgeni rasmi katika sherehe za uhuru wa Tanzania Bara zitakazofanyika katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. Akizungumza na vyombo vya habari leo Jumatano...
  3. C

    JamiiForums Tanzania "Boys 2 Men", kwanini msiiache Tanzania ipumue?

    Habari Wana JF, Naomba kuuliza swali, Je, "Boys 2 Men" ndio wazalendo wakubwa wa nchi hii? Je, ni kwamba "Boys 2 Men" wanaipenda sana Tanzania? Najenga hoja. Mnaoipenda nchi hii. Tuache u_CCM , u_CHADEMA. Tuulizane. Je, "Boys 2 Men" ndio mwarobaini wa matatizo ya nchi hii?! Je, Kuna uhusiano...
  4. beth

    JamiiForums Tanzania Forbes yamtaja Rais Samia Suluhu Hassan katika Wanawake 100 wenye nguvu zaidi duniani mwaka 2021. Yupo nafasi ya 94

    Samia Suluhu Hassan became Tanzania's sixth president and first-ever female leader in March 2021, following the death of President John Magufuli. She rose to the position from vice-president, a role to which she was first elected in 2015. In September, she became just the fifth-ever female...
  5. W

    JamiiForums Tanzania Hivi Tanzania tumerogwa au ni kitu gani tulichokosea?

    Salaam nyingi sana waungwana! Tunaadhimisha miaka 60 ya Uhuru wa kujitawala na kujifanyia maamuzi ya mambo yetu wenyewe. Miaka 60 sio mchezo na haina kisingizio cha kusema sisi tuko nyuma kimaendeleo kwasababu bado wachanga katika masuala ya kiuchumi, kisiasa, kijamii na kiteknolojia (We don't...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Tangu mwaka 2000, Japan imepitia AWAMU 11. Tanzania tunajifunza nini katika hili?

    Kwa mujibu wa katiba ya Japan kiongozi mkuu wa executive ni waziri mkuu. Tangu mwaka 2000, Japan imeongozwa na mawaziri wakuu 11, kati ya hao 8 wameongoza chini ya mwaka 1 na nusu. 1. Yoshiro Mori: 5/4/2000 - 25/4/2001 Sawa na mwaka 1 na siku 22 2. Junichiro Koizumi: 26/4/2001 -...
  7. Averos

    JamiiForums Tanzania Ni manufaa yapi tunayapata kuwa Raia wa Tanzania?

    Habari, Leo nimekuwa katika tafakuri ya kuangalia ni privilege zipi tunazipata kama Raia wa Tanzania. Hapa namaanisha katika nyanja zote za maisha Mtanzania anapata unafuu upi? Nitoe mifano kidogo Kwa mfano katika huduma za kijamii - Mtanzania anapata unafuu gani katika huduma ya maji...
  8. Midevu

    JamiiForums Tanzania Tumetoka mbali. Iangalie Tanzania ya mwaka1999

    Kwenye makala ya hawa jamaa tunaona Dar es salaam ya zama hizo, barabara ya Dar kwenda Kilwa, Reli ya Dar Kigoma, meli ya MV Mwongozo zama hizo na mengine mengi. Kweli tumetoka mbali. Hebu tuambie, unakumbuka nini cha enzi hizo? Ulikuwa wapi? Unadhani jambo gani limebadilika kwa kiasi kikubwa...
  9. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Tanzania tunazidiwa kila kitu na majirani zetu wanaotuzunguka

    Tanzania tupo underperformance sana tunazidiwa kila kitu na majirani zetu wanaotuzunguka. Elimu: Kwenye Elimu tunazidiwa na Kenya na Uganda karibia kila kitu. 2. Kwenye viwanda: Tunazidiwa na Zambia, Uganda, Kenya hadi Malawi. 3. Miradi ya Mikubwa ya Taifa ya viwanda: Huko ndio tupo chali...
  10. Mkikuyu- Akili timamu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania 20 Embu Members of County Assembly Go to Tanzania to Learn Good Manners

  11. B

    JamiiForums Tanzania DC Mwenda awafunda vijana jinsi miaka 60 ya uhuru uchumi wa Tanzania ulivyobadilika

    DC MWENDA AWAFUNDA VIJANA JINSI MIAKA 60 YA UHURU UCHUMI WA TANZANIA ULIVYOBADIRIKA Maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru mkoani Singida vijana wamefanya Kongamano Vijana na wametakiwa kuenzi miaka 60 ya uhuru wa Tanzania bara na miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanziba kwa kuangalia mabadiliko katika...
  12. The Sunk Cost Fallacy

    JamiiForums Tanzania Tanzania tuige mfano wa Uganda kuwajengea DRC barabara Ili kufungua biashara

    Hello members. Hivi karibuni nchi ya Uganda imeanza ujenzi wa barabara za kimkakati zinazolenga kukuza biashara baina yake na nchi ya DRC Congo.. Barabara hizo zinajengwa ndani ya Mipaka ya DRC kwa makubaliano maalumu na kuharakisha kukuza biashara na uchumi. Kwa mtizamo wangu ,hili ni wazo...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Magorofa yote Tanzania yakaguliwe

    Hizi ajali zinatokanna na kuwa na mafundi uchwara ambao hawafuati maelezo ya egineers. Kupunguza cement, nondo chini ya kiwango na vitu vingine vingi. Lakini ukijenga Gorofa inabidi uwe na engineers wa kukagua. Usikofanya usimamizi mzuri utajuta. Serikali kwa sasa waweke ukaguzi kabla ya majengo...
  14. beth

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nitaendelea kuzunguka kuwaambia wawekezaji waje Tanzania

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema, "Kama nimekubali kubeba mzigo wa kuongoza hii Nchi, kuna mambo kadhaa yaliyoelekezwa ndani ya Ilani niyatimize. Sitayatimiza kwa kukaa Ofisini Dodoma au hapo Magogoni, lazima nizunguke nitoke nikaonane na watu" Ameeleza hayo leo katika Uzinduzi wa...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Hadaa kwa Dunia

    Mh. Spika Ndugai amesikika akiwa kaambatana na mbunge wa upinzani kwa mabeberu: Sikia wizara ya afya nao: Abiria katokea Tanzania. Yaliyobaki yanachukua muda gani kufahamika? Seriously? Hivi kama si vipaji adhimu kabisa ni nini?
  16. beth

    JamiiForums Tanzania Serikali: Hatujabaini Kirusi cha Omicron mpaka sasa

    Serikali imesema Maabara ya Taifa imekuwa ikichunguza mabadiliko ya kirusi ili kuangalia uwepo wa anuai zinazotokana na mabadiliko ya COVID-19, ikiwemo Omicron na mpaka sasa haijabaini aina hiyo mpya ya Kirusi Imesema haijajulikana kama abiria kutoka Tanzania aliyeripotiwa kubainika na Kirusi...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania inawahitaji wawekezaji kuliko wawekezaji wanavyoihitaji Tanzania?

    Niliposikia/niliposoma maneno hayo, tena toka kwa kiongozi wa nchi sikuamini kabisa nilichosikia au nilichokisoma! Kiongozi kamwe hawezi kamwe kuwa na fikra za namna hii kuhusu suala hili. Pengine labda tuseme alikuwa na maana ya wawekezaji, hasa wa ndani ya nchi, ikihusisha wananchi wenyewe...
  18. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Wanawake tunaweza. Tanzania ninakupenda nchi yangu

  19. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania India: Delhi yaripoti maambukizi ya Omicron kwa mtu aliyetokea Tanzania

    Mtu mmoja aliyerejea Delhi kutokea Tanzania amegundulika kuwa na kirusi kipya cha COVID19 cha Omicron Waziri wa Afya wa Delhi, Satyendar Jain amesema mtu huyo amlazwa katika hospitali ya LNJP ambapo hadi sasa kuna jumla ya watu 17 waliokutwa na virusi hivyo ======= The national capital...
  20. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Licha ya kufanya makubwa Tanzania, kampuni ya mafuta ya TotalEnergies Marketing Tanzania Limited, yaahidi kufanya zaidi na zaidi!

    Wanabodi, Naomba nianze na facts: 1. Japo Tanzania, tangu tupate uhuru, tuna miradi mingi mikubwa ya uwezekazi iliyoanzishwa, na kuna makampuni mengi yamewekeza Tanzania, hakuna uwekezaji wowote mkubwa, zaidi ya uwekezaji wa kampuni ya mafuta ya TotalEnergies, kupitia mradi wake wa bomba la...
Back
Top Bottom