tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Kumbe Masoko yote makubwa yaliyoungua Tanzania yawezekana sababu ya Kuungua kwa la Karume ikawa ni sababu ya Jumla?

    "Sababu ya Kuungua Moto Soko la Karume juzi ni Wale Mateja waliopo katika vile Vibanda kupenda Kulanduka kwa Mihadarati kama Bangi kila mara Vizimbani hasa hasa nyakati za Usiku" Mdau Bwana Tito. Taarifa hii ipo katika Ukurasa wa Instagram wa Mtangazaji wa ITV na Radio One Dada yangu Farhia...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mfanyabiashara Tanzania atapeliwa milioni mia sita na kufilisika

    Mwanadada Twaiba classic amekiri kutapeliwa na mwanadada Khadija Naif zaidi ya Tsh milioni mia sita. Wawili hawa walikutana Instagram na kuwa marafiki Twaiba hakuwa na hofu nae. Alimuambia atamuunganisha na wawekezaji wakubwa tu maana ndo kazi zake za kuleta wawekezaji nchini pia ameolewa na...
  3. I

    JamiiForums Tanzania Malawi anashiriki Afcon, sisi tunafeli wapi?

    Ni ka nchi kadogo tena masikini zaidi yetu. Inakuaje kanafuzu na kufikia kupambana na miamba ya afrika magharibi akina Sadio Mane na kutoana nao jasho kweli kweli. Shida kwetu ni nini? Nahisi kuna pahala kama nchi lazima kuketi chini na kuumiza vichwa kutafuta mchawi ni nini? Nchi yetu ni...
  4. JamiiForums Tanzania Tanzania tunakwama wapi? Inakuaje tunazidiwa na Nchi zote za Afrika Mashariki kwenye Miundombinu bora ya Barabara?

    Kazi iendelee! Ni jambo la kushangaza kwamba Tanzania tunazidiwa na Nchi zote za Afrika Mashariki kwa mtandao na ubora Wa barabara isipokuwa Burundi. Hivi kama Nchi hatuna dira,malengo na mkakati wa kutekeleza kwenye kila sekta Ili tupate ufanisi? Inakuaje kila kitu tuko nyuma? Tena tunazidiwa...
  5. JamiiForums Tanzania Tanzania na Burundi kujenga reli ya thamani ya $900m

    Burundi na Tanzania zimetia saini mkataba wa $900m kujenga njia ya reli itakayounganisha nchi hizo mbili jirani, tovuti ya Citizen imeripoti. Reli ya 282km ya standard gauge itaanzia Uvinza mkoani Kigoma nchini Tanzania hadi Gitega, mji mkuu wa kisiasa wa Burundi, ripoti ilisema. Waziri wa...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Ni Tanzania pekee Bunge husimama na Serikali na kuwaacha Wananchi

    Kwa maneno ya Naibu Spika Tulia Ackson na Ndugai inaonesha Bunge halina meno na ni chombo kisichoweza kuisimamia serikali. Kwa tafsiri rahisi ndio maana hua kazi kubwa ya wabunge ni kupiga makofi na kusema ndioooooooo na kusema naunga hoja mkono asilimia mia moja na kazi yao nyingine ni...
  7. JamiiForums Tanzania Katiba inasemaje kama ikitokea Rais na Makamu wake wote wakifa kwa pamoja?

    Kwa Mungu kila kitu kinawezekana acha kujifanya unajua kila kitu. Hivi Katiba imetoa maelezo gani kama ikitokea Mungu ameamua kuwachukua Rais wa JMT na makamu wake wote kwa pamoja kwa siku moja? Tukio kama hili likitokea kikatiba hali inakuaje ndani ya nchi yetu? Kama inawezekana familia moja...
  8. JamiiForums Tanzania Capacity Development Specialist - Tanzania Malaria Case Management and Surveillance

    Capacity Development Specialist - Tanzania Malaria Case Management and Surveillance "Job Details" Dar es Salaam, Tanzania, United Republic of Job Identification 101343 Job Category Program Delivery Locations Abt Associates, Dar es Salaam, TZ Job Schedule Full time Job Description...
  9. JamiiForums Tanzania Tanzania inaongoza Afrika kwa kuwa na Walevi wengi."Kwa hali hii Maendeleo ni ndoto"

    Hii ni hatari kama sio balaa.Wenzetu wanaongoza kwa mambo ya msingi,ni ajabu Tanzania yetu inaongoza Afrika kwa kuwa na wale wengi. Si ajabu wanawake wanakosa wanaume na waliopo hawana nguvu za kiume na za mwili,hupigwa hovyo kwa sababu ya ulevi. Kana kwamba haitoshi Tzn iko mingoni mwa nchi...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Pablo hii ndo ligi kuu soka Tanzania bara, kuwa mvumilivu vinginevyo safari itakukuta mapema

    Uyu kocha naona ana hasira za haraka sana, awe makini zisije zikamgharimu pale zitakapokwenda mpaka kwa wachezaji, ajue hii ni ligi kuu na sio kombe la mapinduzi hili kila timu inajituma kwasababu kuna pesa ndefu asitegemee ushindi wa bwelele. Lakini pia ajue gape la point 5 na anayeongoza ligi...
  11. JamiiForums Tanzania Umaskini Tanzania, wengi hawajahi kulala peke yao kitandani

    Hili swala ingawaje linaweza kuonekana halina maana lkn nimelifikiria sana, wengi wetu Tanzania tangia tuzaliwe hadi tunakuwa watu wazima hatujawahi kulalia kitanda peke yetu bila ya kushare na mdogo/kaka, ndugu au hata jamii. Kuna watu mara ya kwanza analalia kitanda peke yake ukubwani tena...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Tanzania new war for national cake

    Hii ni vita mpya na uwenda moja ya vita mbaya kabisa kuwahi tokea ktk historia ya Taifa. Baada ya msoto vijana wenye akili waliweza kumuingiza kijana mwenzao ambaye hakuwahi kuwa na historia ya viongozi kutoka ktk familia za ma chifu. Ila kwa bahati mbaya sana kijana hakumaliza safari na...
  13. JamiiForums Tanzania Upinzani kwa Tanzania ni kazi ngumu na ya hatari

    Ukisha kuwa na fikra mbadala nchini mwetu basi utachukiwa sana na wakalia kiti cha enzi na vibaraka wao. Utafanyiwa fitina, manyanyaso, dhihaka na ubaya wa kila aina ndiyo maana kila mtawala wa CCM akingia madalakani chakwanza huanza ku-dill na Wapinzani. Ona sasa Hoja ya KATIBA MPYA iliyo...
  14. JamiiForums Tanzania Kujiuzulu kwa Ndugai ni mpango wa Mungu kwa Tanzania ili tupate Spika Bora. CCM itateua Spika Bora au Bora Spika kama kawa?

    Wanabodi, Hii ni Nipashe ya Jumapili ya leo. Siku zote, nabii huwa hakubaliki nyumbani, lakini sote tunakubali kuwa Mungu siku zote huwa anazungumza na watu wake, kupitia manabii, na nabii anaweza kuwa mtu yoyote hata usiyemtegemea. Japo mimi sii miongoni mwa manabii hawa wa Mungu, lakini...
  15. JamiiForums Tanzania Balozi wa Uturuki: Shule za Feza zinaidanganya Tanzania, naamini Serikali itachukua hatua

    EXPLAINER: Why Turkish ambassador to Tanzania @mgulluoglu made comments against Feza schools Several African states, including Tanzania, have rejected Turkey's request to close schools linked to cleric Fethullah Gülen, who is accused of involvement in Turkey's failed 2016 coup Pia soma...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Tanzania ndiyo inchi pekee bidhaa zake hupanda bei ghafla lakini kushushwa bei huwa ni kipengele

    Wale tuliozaliwa miaka ya 70 tulikuwa tunaambiwa tukiwa wadogo kwamba " Akili ya Profesa (PhD) inauwezo wa kuona jambo na kulichakata kwa miaka 45 ijayo" Nimekua na hiyo Imani hadi miaka ya elfu 2000 ndipo nilipokuja kugundua kwamba kwa Tanzania hiyo kitu haipo! Nilianza kupata wasiwasi huo...
  17. JamiiForums Tanzania Je, kwa kitendo cha Mwijaku kuchukua fomu kugombea Uspika ni ishara ya ukuaji wa Demokrasia?

    Taratibu sasa GENTAMYCINE naanza Kuelewa ni kwanini Watanzania na Taifa letu la Tanzania tunadharaulika sana kama siyo mno na Mataifa mengine ( hasa hasa ya Jirani ukiiondoa tu Burundi inayojipendekeza Kutwa kwa Tanzania utadhani imeolewa na Tanzania ) yenye Raia makini, Werevu na wenye kujua...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Je, kuna uhusiano wa Kenya kuuza nyama Uarabuni na kupanda bei ya nyama Tanzania?

    Tulisikia kwenye vyombo vya habari kuwa Kenya wamepata tenda ya kupeleka nyama Uarabuni na shehena ya kwanza ya tani 500 imeshaondoka. Kwa uelewa wangu Tanzania ndio yenye mifugo kwa wingi kuliko nchi zote East Africa, ila baada ya kupata tenda hiyo ghafla nyama Bongo ikapanda, je kuna uhusiano...
  19. JamiiForums Tanzania Electrical Engineer at Afroil Tanzania

    JOB PURPOSE: Installation of electrical components, machines and gadgets; maintenance of such machines as well as troubleshooting and repairs whenever there is a breakdown. QUALIFICATIONS & EXPERIENCE: Educated to a degree level in Electrical engineering or a related field from a reputable...
  20. JamiiForums Tanzania Monitoring Evaluation & Learning Manager at Tanzania Cheshire Foundation

    Seeking passionate and ethically motivated Tanzanian professionals. Tanzania Cheshire Foundation (TCF) in partnership with Leonard Cheshire (LC) have been awarded a three-year grant to deliver an innovative Inclusive-Education Project in Tanzania. TCF and LC in partnership, are excited to be...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…