Tanzania ingekuwa na 'Serious Opposition' hili la Wafanyakazi kufanywa Mazuzu wa kutopandishuwa Mishahara ingekuwa ndiyo Turufu yao kuingia Ikulu

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
Yaani Matapeli ( wa Vyeti Feki ) wanapewa Vipaumbele kisha Wafanyakazi kila mwaka wanafanywa tu Mazuzu na bahati nzuri hata na Wao wamekubali kuwa Mazuzu kwa Gharama za Kuwaweka Wanasiasa Waigiza Filamu Madarakani.

Kuna Bomu Kubwa tumeshalitengeneza ndani ya Watendaji wa Serikalini kutokana na kuwa na Hasiyza kila mwaka za Kudanganywa kuhusu Kupandishiwa Mishahara na kufanywa Mazuzu na likilipuka kuna Mtu Yeye na Chama chake hatoamini nini kimetokea na huenda ikaathiri hata Utendaji wake na akaamua tu kurejea zake Kisiwani kula Tende na Urojo.
 
Kama yule Mmoja wa Kigoma ndiyo nimemdharau hakuna mfano japo anajifanya ( anajimwambafai ) kuwa ni bonge la Msomi na ana Akili sana katika Mambo ya Uchumi, Siasa na Utawala wa Umma.

Yule mmanyema ni mchumia tumbo tu sio mtu wa kumuweka maanani!
 
Yaani Matapeli ( wa Vyeti Feki ) wanapewa Vipaumbele kisha Wafanyakazi kila mwaka wanafanywa tu Mazuzu na bahati nzuri hata na Wao wamekubali kuwa Mazuzu kwa Gharama za Kuwaweka Wanasiasa Waigiza Filamu Madarakani.

Kuna Bomu Kubwa tumeshalitengeneza ndani ya Watendaji wa Serikalini kutokana na kuwa na Hasiyza kila mwaka za Kudanganywa kuhusu Kupandishiwa Mishahara na kufanywa Mazuzu na likilipuka kuna Mtu Yeye na Chama chake hatoamini nini kimetokea na huenda ikaathiri hata Utendaji wake na akaamua tu kurejea zake Kisiwani kula Tende na Urojo.
Hvi wameongezewa ngapi.maana wafanyakazi wa serikalini wanamkubali bimkubwa wanadai anaupiga mwingi
 
Tanzania hakuna wapinzani kuna mafisadi waliokosa fursa.

Kwa mawazo haya Nani akupandishie mshahara?. Ndio maana serikali inawadharau na kuwaona hamna hadhi ya kufanyiwa lolote zaidi ya tozo. Yani CCM imetawala miaka yote tangu Uhuru, halafu lawama unawapa wapinzani?. Ni chama gani Cha upinzani kimewahi kushika dola.? Kuwa makini kwanza ndio uanze kulaumu upinzani.
 
Wapinzani wanawaza matumbo yao mkuu, hawawezi hata kujenga hoja siku hizi.

Ndio mlichobakiza . CCM inaongoza miaka yote lakini lawama mnawapa upinzani. Bungeni na halmashauri Zote zinaongozwa na CCM lakini unafiki wenu mnalaumu upinzani. Ndio maana serikali inawadharau hata nyongeza haiwapi, inawazidishia tozo maana ndio inayowafaa.
 
Yaani Matapeli ( wa Vyeti Feki ) wanapewa Vipaumbele kisha Wafanyakazi kila mwaka wanafanywa tu Mazuzu na bahati nzuri hata na Wao wamekubali kuwa Mazuzu kwa Gharama za Kuwaweka Wanasiasa Waigiza Filamu Madarakani.

Kuna Bomu Kubwa tumeshalitengeneza ndani ya Watendaji wa Serikalini kutokana na kuwa na Hasiyza kila mwaka za Kudanganywa kuhusu Kupandishiwa Mishahara na kufanywa Mazuzu na likilipuka kuna Mtu Yeye na Chama chake hatoamini nini kimetokea na huenda ikaathiri hata Utendaji wake na akaamua tu kurejea zake Kisiwani kula Tende na Urojo.
Performance ya kazi kwa Watanzania wengi si tu hairuhusu wapandishiwe mishahara, hairuhusu wawepo makazini. Nahisi upinzani ungekuwa makini ungekazania 90% ya wafanyao kazi hivi sasa waachishwe.
 
Tanzania tuachane kabisa na mfumo wa kuwapandishia watu mishahara au vyeo bila kuwa na vigezo na vipimo vya "performance" zao.

Nashauri kwanza viwekwe vigezo na vipimo vya "performance" kazini ndivyo vitumike kuwapandisha watu vyeo na mishahara.
 
Performance ya kazi kwa Watanzania wengi si tu hairuhusu wapandishiwe mishahara, hairuhusu wawepo makazini. Nahisi upinzani ungekuwa makini ungekazania 90% ya wafanyao kazi hivi sasa waachishwe.
Kwelii..inahitajika retrenchment, ili tuwe na watu wachache and very efficient /productive. Mfano Dereva wa mkuu wa mkoa akishamfikisha..anakula tu A/C..kwa nini asiwe pia messenger? Driver cum messenger. Massa zaidi ya sita hazalishi!!
 
Yaani Matapeli ( wa Vyeti Feki ) wanapewa Vipaumbele kisha Wafanyakazi kila mwaka wanafanywa tu Mazuzu na bahati nzuri hata na Wao wamekubali kuwa Mazuzu kwa Gharama za Kuwaweka Wanasiasa Waigiza Filamu Madarakani.

Kuna Bomu Kubwa tumeshalitengeneza ndani ya Watendaji wa Serikalini kutokana na kuwa na Hasiyza kila mwaka za Kudanganywa kuhusu Kupandishiwa Mishahara na kufanywa Mazuzu na likilipuka kuna Mtu Yeye na Chama chake hatoamini nini kimetokea na huenda ikaathiri hata Utendaji wake na akaamua tu kurejea zake Kisiwani kula Tende na Urojo.
Ndo uone jinsi watanzania tulivo wa ajabu.
yani wananchi hawawezi kupambania madlahi yao wanasubiri mpaka wapinzani wawasemee na daily wako hapo kuwakebehi upinzani.
Na huo upinzani strong unaotaka wewe hauwezekani kama hakuna support ya mwananchi ambae ni wewe hapo, so kanla hujaanza kulalama jiulize wr umechukua hatua gani.
Huu undondocha wa wananchi ndo mtaji mkubwa wa chama tawala.
 
Yaani Matapeli ( wa Vyeti Feki ) wanapewa Vipaumbele kisha Wafanyakazi kila mwaka wanafanywa tu Mazuzu na bahati nzuri hata na Wao wamekubali kuwa Mazuzu kwa Gharama za Kuwaweka Wanasiasa Waigiza Filamu Madarakani.

Kuna Bomu Kubwa tumeshalitengeneza ndani ya Watendaji wa Serikalini kutokana na kuwa na Hasiyza kila mwaka za Kudanganywa kuhusu Kupandishiwa Mishahara na kufanywa Mazuzu na likilipuka kuna Mtu Yeye na Chama chake hatoamini nini kimetokea na huenda ikaathiri hata Utendaji wake na akaamua tu kurejea zake Kisiwani kula Tende na Urojo.
Wewe utakuwa labda Moscow!! Wapinzani walionyimwa platforms za kufanyia siasa zao. Wakajengee hoja hizo wapi ?! Ikiwa wafanyakazi (police) hao hao wanahakikisha hawafanyi siasa ?!

Unawalaumu wafanyakazi bure. Wananchi in general hawajielewi
 
Kwelii..inahitajika retrenchment, ili tuwe na watu wachache and very efficient /productive. Mfano Dereva wa mkuu wa mkoa akishamfikisha..anakula tu A/C..kwa nini asiwe pia messenger? Driver cum messenger. Massa zaidi ya sita hazalishi!!
Tena sio tu messenger, anaweza kuwa na kazi nyingine yoyote hapo hapo ofisini au nyumbani kwa boss wake.

Kwanza mimi siamini katika kila mkuu kuwa na gari la peke yake. Gari moja linaweza kutumikia hata wakuu wanne kwa wakati mmoja. Kwanini gari ya kazini iwe kama gari binafsi (private car) ya boss wa serikalini?
 
Back
Top Bottom