IMF 2022: Tanzania ipo Nafasi ya Nane kwa uchumi Mkubwa Afrika

Miki123

JF-Expert Member
Apr 27, 2018
288
502
Makadirio ya shirika la fedha la kimataifa yaani IMF unaonyesha uchumi WA Tanzania umekuwa na kufikia $77 billion katika robo ya Kwanza ya 2022.

Hilo ni ongezeko la Dola billion 12 kutoka GDP ya $65 bilioni, Tangy hakunawahi kuwa na ongezeko la bilioni 12 ndani ya mwaka mmoja.

Ila tofauti ya kiuchumi Kati ya TZ na Kenya imeendelea kuongezeka kutoka 38 bil mpaka 46 bilioni

Orodha ya nchi zenye uchumi Mkubwa zaidi Africa (GDP Kwa USD billions)
1. Nigeria 441
2. Afrika kusini 418
3. Misri 402
4. Algeria 164
5. Morocco 131
6. Kenya 123
7. Ethiopia 99
8. Tanzania 77
9. Ghana 76
10. Angola

Chanzo: List of African countries by GDP (nominal) - Wikipedia
 
Ghana ni utoporo mtupu hsta nigeria gdp siyo kipimo cha uchumi wa ndani cha kukiamini mfano gdp ya nigeria asilimia 70 ni mali ya mabeberu inasombwa kupelekwa ulaya hata gdp ya kenya
 
Nikionaga Tu neno Wikipedia najua ni Utopolo
 
Ghana ni utoporo mtupu hsta nigeria gdp siyo kipimo cha uchumi wa ndani cha kukiamini mfano gdp ya nigeria asilimia 70 ni mali ya mabeberu inasombwa kupelekwa ulaya hata gdp ya kenya
Unajua maana ya GDP mkuu??
 
Tanzania tukikubali kufungua uchumi na kufanya yafuatayo GDP itakuwa kwa haraka:
1).Kufungua Magharibi ya Tanzania kwa Barabara na Miundo mbinu.ili kuchukua fursa za nchi jirani.mfano Serikali iweke misamaha ya kodi kwa yeyote atakaye fungua kiwanda maeneo ya Magharibi ya Tanzania,na nchi linaweza kufanya biashara na nchi majirani.
2).Kukubali kuimamarisha Utafiti wa mazao ya biashara.
3).Kukubali wakulima wauze mazao yao kwenye masoko wayatakayo (Hata kama ni nje ya nchi).
4).Kupunguza kodi ya uagizaji magari na mitambo(kodi itapatikana kwenye mafuta,wengi watakuwa na uwezo wa kununua magari).
5).Kuimarisha watumishi na wafanyakazi (middle class),kwani wananchi wa kipato cha kati wakiwa wengi wao ni watumiaji wazuri wa fedha(spending),na hivyo kuwa na mzunguko wa fedha katika uchumi.
 
Kwa hiyo inamaana katika nchi za Africa zinazoishi waafrica weusi yaana (black africans )tukiitoa south Africa maana wale ni wazungu Number 1 Nigeria 2 kenya 3 Tanzania , sio mbaya tukikaza buti tunaweza kuwa namba mbili kwani rasili mali tunazo eg: ardhi nzuri ya kilimo ,madini,maziwa,bandari kuhudumia land locked countries ,mito ,vivutio vya utalii ,mbuga kubwa kubwa za wanyama ,mlima kilima njaro ,maeneo mengi ya uwekezaji.TUNAWEZA TANZANIA NI TAJIRI TUNA KILA KITU .
 
Kumbe kweli kabisa Africa yote ni shit hole countries, kwa uchumi gani uliokua hasa tangu tudondoke kwenye uchumi wa kati?
 
Makadirio ya shirika la fedha la kimataifa yaani IMF unaonyesha uchumi WA Tanzania umekuwa na kufikia $77 billion katika robo ya Kwanza ya 2022.

Hilo ni ongezeko la Dola billion 12 kutoka GDP ya $65 bilioni, Tangy hakunawahi kuwa na ongezeko la bilioni 12 ndani ya mwaka mmoja.

Ila tofauti ya kiuchumi Kati ya TZ na Kenya imeendelea kuongezeka kutoka 38 bil mpaka 46 bilioni

Orodha ya nchi zenye uchumi Mkubwa zaidi Africa (GDP Kwa USD billions)
1. Nigeria 441
2. Afrika kusini 418
3. Misri 402
4. Algeria 164
5. Morocco 131
6. Kenya 123
7. Ethiopia 99
8. Tanzania 77
9. Ghana 76
10. Angola

Chanzo: List of African countries by GDP (nominal) - Wikipedia
Huu uongo umeitoa wapi? Unaijua Angola vizuri wewe mkuu? Siku zote Angola iko juu ya Kenya how comes umeiweka mwisho na haina figure?

Edit mpangilio wako vizuri 👇

Screenshot_20220502-123009.png
 
Kwa hiyo inamaana katika nchi za Africa zinazoishi waafrica weusi yaana (black africans )tukiitoa south Africa maana wale ni wazungu Number 1 Nigeria 2 kenya 3 Tanzania , sio mbaya tukikaza buti tunaweza kuwa namba mbili kwani rasili mali tunazo eg: ardhi nzuri ya kilimo ,madini,maziwa,bandari kuhudumia land locked countries ,mito ,vivutio vya utalii ,mbuga kubwa kubwa za wanyama ,mlima kilima njaro ,maeneo mengi ya uwekezaji.TUNAWEZA TANZANIA NI TAJIRI TUNA KILA KITU .
Sio kweli Nigeria,Kenya,Angola,Ghana wote wanatuzidi.
 
Back
Top Bottom