Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
1- Spika wa kwanza wa Bunge la Tanzania huru, Adam Sapi Mkwawa, aliyeongoza kwa takribani miongo mitatu - alikuwa na sifa kubwa mbili; kwanza alikuwa Chifu mwenye heshima kubwa kutoka katika kabila la Wahehe lakini pia akiwa na historia ya kuwa mmoja wa watu weusi wa kwanza kuingia bungeni...
Tukiacha ushabiki wa kivyama na kujipendekeza (unafiki), Licha ya kila mtu kujitokeza kujaribu kujibu hoja ya Spika Ndugai ama kuizungumzia hoja hiyo, na hata Serikali (Rais) ameitisha mkutano wa kidola nikidhani anajibu hoja, badala yake wamejikuta wanamjadili Ndugai ama kumdhihaki ama...
Vumbi la Ndugai lingali kutulia. La Polepole ndiyo hivyo tena.
Kwanini tu wazito mno kuzika tofauti zetu? Kwanini wenzetu hawa, hawana uadui wa kudumu?
Kwamba mipira inazagaa golini kwa adui, kipa hayupo:
"Kwa ego tu hatutaki kuisukumia wavuni tuondoke na point 3 muhimu kwa sababu tu adui...
Nasikia sauti ktk moyo wangu ina niambia kuna jambo lasiri sana linaendelea ktk siasa za Tanzania.
Jambo hili hata mimi sijuwi ila yatupasa kuliombea taifa kwa machozi na damu.
Kuna kimya chakutisha sana tena kutoka kwa wenye roho za hili Taifa, kuna giza nene limeikumba nchi na tunaiyona...
Wajuzi habari za mchana wa leo.
Juzi nimemsikia Raisi wa Zanzibar akiagana na mabalozi wanaokwenda kuwakilisha ktk nchi mbalimbali.
Ila sikujua kama ni hawahawa wa Tz alikuwa akiagana nao au amefanya uteuzi wa mabalozi kutoka ZNZ.
Nilishangaa zaidi baada ya kuona kuna balozi anakwenda Brazil...
Rais Samia amesema Vijana wengi wanasubiri Ajira wanapomaliza kusoma, lakini hawahangaiki kutafuta fursa za kazi. Ameeleza, "Kazi zipo nyingi Tanzania, ni Vijana kuchakarika, kuziona hizo fursa na kuanza kuzitumia"
Ametoa rai hiyo leo Januari 07, 2022 wakati akishiriki Maadhimisho ya Kilele cha...
Mara ya mwisho Tanzania kuona kiongozi aliyeshukiwa kufanya makosa akambiwa ajiuzulu na akatekeleza, ilikuwa ni mwaka 2008 ambapo Lowassa alijiuzulu kutoka kiti cha uwaziri mkuu. Hivi majuzi kuna Waziri alishukiwa kufanya maamuzi "nonsense" akaambiwa ajiuzulu, ikawa kimya.
Lugola alifokewa...
All Parliament activities, including parliamentary committee meetings, have been SUSPENDED in Tanzania following Speaker Job Ndugai's resignation, according to the constitution.
First order of business when Parliament resumes on Feb. 1, 2022, will be the election of a new Speaker.
Source: TBI
Kiwango kilichofikiwa kinafikirisha.
1. Kufanya siasa kwenye ubora wa elimu ilikuwa mkakati wa muda mrefu uliobuniwa na utawala wa awamu ya pili ili kuwa na taifa la watu wasiojielewa kusudi waburuzwe, AU ilitokea coincidently tu kulingana na uelewa wa kiongozi wa nchi juu ya maana na umuhim wa...
Kama ni Rais huyu huyu Samia Suluhu Hassan alishasema katika moja ya Hotuba yake Kubwa kuwa Watanzania tusiache na wala tusiogope Kumkosoa leo hii Spika Ndugai nae katoa Maoni yake kwanini aandamwe na aonekane Mkosaji Mkuu?
Moja ya Kazi Kuu ya Media inayojitambua ( Siti hii yetu ya Waswahili )...
Tulichokiona Umma na walichopewa waandishi wa habari hadi sasa ni Press Release ya Ndugai kuhabarisha kuwa amemwandikia Katibu Mkuu wa CCM "Barua" ya kujiuzulu nafasi yake ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kwa hiyo aliyeona BARUA ya Ndugai ni Chongola peke yake, na pengine...
Kuna tetesi kuwa aliyekuwa Makamu wa raisi wa Bunge la Pan African, Mh.Stephen Masele kuwa spika mpya wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Hii imekaaje wadau?
Ni wazi kuwa Spika Ndugai imejiuzuru uspika wa bunge la Tanzania kwa shinikizo la chama chake cha CCM baada ya kutofautiana kimtazamo na Rais Samia Suluhu ambaye ndio mwenyekiti wa CCM taifa.
Upande wa pili pia, utendaji wa Ndugai akiwa spika wa bunge la Tanzania kwa sehemu kubwa ulikuwa...
Kuanzia mwishoni mwa 2015 hadi Machi 17 2021, Tanzania ilipitishwa katika tanuru la mateso makubwa. Tuliona demokrasia ikikandamizwa, uhuru wa maoni ukibanwa, Mahakama ikitishiwa na Bunge likiendeshwa kwa rimoti ya Magufuli. Aidha tulishuhudia wafanyabiashara wakinyang'anywa fedha zao na kutupwa...
Katiba yetu kwenye ibara ya nne ipo wazi kwa kugawa madaraka kwenye mihimili mitatu. Na hii yote ni kuhakikisha kuwa mtu mmoja kuwa kiongozi wa mhimili mmoja na kisha kuwa na madaraka ya kuamua lolote anavyotaka kwa udikteta.
Ndio maana kuna Executive, Bunge na mahakama. Sasa kama mkuu wa...
Kwa mujibu wa Takwimu rasmi kutoka Kenya Bureau of Statistics,Tanzania imeweka historian ya kurekodi mauzo mengi zaidi kuliko ilivyonunua kutoka Kenya.
Hii ni baada ya miezi 9 tuu toka mama SSH awe Rais wa JMT.Hongera Sana na kongole nyingi kwa SSH.
Inawezekana Samia si katika hao na ndio ikawa shida kwa viongozi wa serikali ambao wameota mizizi ndani ya serikali tokea tupate Uhuru na hata marais wastaafu wanaonekana wakijichomeka kung'ang'ania serikali na sio serikali bali Raisi mpya anaeingia madarakani.
Hisia zinaonyesha kuna magenge...
Kaondolewa yule wa Mahesabu akachomekwa mwengine ilifuatwa Katiba ?
Sasa hata huyu Ndugai anaweza kuondolewa bila ya kufuatwa Katiba, Kwa Sasa Raisi ndio Mkuu wa Nchi hivyo any time anaweza kumtimua mtu .
Nashangaa kwa Sasa hakuna shirika la umma linalotoa gawio kwa serikali ni Upuuzi na Ujinga kuamini kwamba tanesco Haina fedha za nguzo Sasa wanafanya biashara au wanatoa huduma???
TheGrio ya Marekani waitaja nchi ya Tanzania kuwa miongoni mwanchi tano zinazofaa zaidi kwa utalii 2022 barani Africa wakati wa kipindi cha baridi,
TheGrio, Chaneli maarufu zaidi nchi Marekani wakitumia Mbuga ya Serengeti, bichi mbalimbali visiwani Zanzibar na makumbusho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.