tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Tuzo za Muziki Tanzania 2021, Bado tuna safari ndefu sana

    Kiukweli nilikuwa hata sijui kama ni leo ila Katika pitapita za kubadilisha TV channels ndio nakutana nazo Ukiachilia promo ambayo imeonekana kuwa na udhaifu, bado kuna mambo mengi ya kuboresha 1. Utoaji wa Tuzo Nimeona kuna tuzo 3 za heshima ikiwemo ya Ruge Mutahaba na Diamond platnums bado...
  2. JamiiForums Tanzania Tetesi: Diwani Athumani au Wambura Camilius mmoja anaweza kuwa IGP, Selemani Mombo kwenda TISS?

    DGIS Diwani Athumani kuondolewa, aweza kuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP) Chanzo kinadokeza kuwa Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa, Diwani Athumani Msuya anaenda kuondolewa na anaandaliwa kuwa Mkuu wa Polisi Tanzania (IGP) Aidha, inaelezwa kuwa yeye na Wambura Camilius ni miongoni mwa...
  3. JamiiForums Tanzania Mazingira ya Kisheria na Kifedha kwa Biashara Ndogondogo Nchini Tanzania

    Na Francis Nyonzo Sekta isiyo rasmi imeajiri 76% ya watu nchini Tanzania; 47.6% katika biashara ya jumla na rejareja, ukarabati wa magari na pikipiki, na 12.9% katika huduma za malazi na chakula. Biashara ndogondogo ni zile ambazo zina wafanyakazi chini ya watano ambazo mara nyingi...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kama Tanzania haifungamani na upande wowote, kwanini hatununui mafuta ya Bei rahisi Urusi?

    Nianze Kwa kutoa pole kwa changamoto za kuishi! Kama kichwa kinavyojieleza, kumekuwa na taarifa kuhusu kupanda Kwa Bei za mafuta na gesi duniani, huku Urusi, Moja ya wazalishaji wakubwa wa mafuta na gesi akishusha Bei ya bidhaa hizo ambapo mataifa makubwa, ikiwa ni pamoja na Yale yaliyomwekea...
  5. JamiiForums Tanzania Bei ya mafuta ya petroli, dizeli toka Urusi sasa ni $30 kwa pipa. China na India wachangamkia fursa. Kwanini Tanzania isifanye hivyo pia?

    Wahenga walisema, 'Kufa kufaana'. Kwenye kila tatizo linalotokea hapa duniani huwa linafungua fursa kwa baadhi kufaidika nalo. Badala ya kukaa tunalialia linapotokea tatizo, tunapaswa kutazama upande wa pili wa shilingi kwamba tutafaidikaje na hilo tatizo. Hata lile tatizo kubwa la mlipuko wa...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Mikoa yote Tanzania inayopakana na nchi nyingine iongozwe kijeshi

    Mikoa kama Kagera, Kigoma, Mara, Arusha, Moshi, Mbeya, Rukwa, Ruvuma, Mtwara nk iongozwe kijeshi na itangazwe kuwa ni mikoa ya kijeshi, Mikoa hiyo kama kutakuwa na ulinzi wa kutosha wenye uadilifu kutoka kwa wanajeshi wetu. Tunaweza kukusanya kodi na kufanya biashara kikamilifu, lakini pia...
  7. JamiiForums Tanzania Vita vya Urusi na Ukraine vyaifadisha Tanzania

    Uwekezaji katika uchimbaji wa gesi na mafuta nchini Tanzania utaongezeka kwa Dola Bilioni 10 sawa na tsh. Trilioni 23.2. Awali, Tanzania na kampuni ya uchimbaji mafuta na gesi ili ya Equinor ASA na Shell Plc zilikubali kuwekeza Dola bilioni 30 sawa na Tsh. Trilioni 69.58 ambapo kutokana na...
  8. JamiiForums Tanzania Mech ya Senegal Vs Misri inaanza saa ngap kwa majira ya Tanzania?

    Mwenye taarifa naomba ansaidie il nijiandae nkachek mech kubwa na tam
  9. JamiiForums Tanzania Ujio wa DRC una manufaa gani kwa EAC?

    DRC: Jumuiya ya Afrika Mashariki yakaribisha mgeni mpya baada ya kuwasili kwa DRC, anakuja na mazuri gani? Mataifa wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki yana kila sababu ya kusherehekea, yakiikaribisha Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo (DRC) kuwa mwanachama mpya wakati viongozi wake...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Kuelekea mkutano mkuu wa CCM Aprili 01, nini maana ya mkutano mkuu wa CCM na nguvu yake?

    Na Bwanku M Bwanku. Jumamosi Machi 12, 2022 Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka alitangaza Uamuzi wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kujadili pendekezo la kuitishwa kwa Mkutano Mkuu wa CCM lililotolewa kwenye Kikao chake cha Desemba 18, 2021 na...
  11. JamiiForums Tanzania Tujadili Mfumo wa Elimu utakaotufaa Tanzania. Maoni yataunganishwa na kufikishwa Bungeni na Serikalini

    Members, Huu uzi ni kwa ajili ya kutoa ushauri, Maoni na Marekebisho kuhusu mfumo wetu wa elimu Tanzania. Hoja zitakazotolewa hapa zitaunganishwa na kuwafikishia wahusika Bungeni na kwenye mamlaka ya Serikali. Tujadili ni aina gani ya masomo tunayohitaji yafundishwe kwa watoto wetu, Watoto...
  12. JamiiForums Tanzania Wanahabari Tanzania mmepewa Uhuru, mnakwama wapi?

    Mmekuwa mkiililia serikali hususan awamu ya tano, iliyopita. Kwamba ilikandamiza na kuuminya Uhuru wa kuongea na kutoa maoni nchini. Ikiwemo kuminya Uhuru wa vyombo vya habari nchini Tanzania. Sasa ni awamu ya sita chini ya Samia Suluhu Hassan. Ameifungua nchi kimataifa. Pia amewapa Uhuru wenu...
  13. JamiiForums Tanzania Tatizo la ubovu wa kijiko cha bandari ya Tanga lakwamisha makumi ya malori ya kubeba shehena ya clinker

    Hii nchi ina vituko sana! Huko Tanga wheel loader ama kijiko kwa lugha maarufu kimekwama kupakia maroli ya kubeba shehena ya material ya kutengenezea cement yaani clinker kwa ubovu wa kuvuta miss. Hali hiyo imesababisha makumi ya maroli kukwama kubeba shehena hiyo kwa sababu hilo la mashine...
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya’s first branded car Mobius eyes Tanzania, Uganda

    A Mobius Model II car in Nairobi in 2019. PHOTO | NMG Kenya’s only home-grown automaker, Mobius Motors, plans to ramp up production of its second-generation model with an eye on the regional market including Uganda and Tanzania. The automaker, which in 2014 pioneered the production of a...
  15. JamiiForums Tanzania Kahawa ya kutoka Lyamungo Kilimanjaro yauzwa na moja ya maduka makubwa Ulaya

    Nipo katika moja ya nchi za Ulaya kikazi na nimebahatika kuingia katika duka kubwa la Costco. Humo katika pitapita kwenye sehemu ya groseries nimekuta kahawa ya kutoka Tanzania sehemu ya Lyamungo wilayani Hai mkoani Kilimanjaro. Kahawa hii ni nzima na imeokwa (roasted) na mtumiaji hutakiwa...
  16. JamiiForums Tanzania Maandamano ya kupinga ujenzi wa bomba la mafuta(EACOP) Kati ya Tanzania na Uganda nchini Ufaransa ni "Economic Espionage"

    Maandamano yaliyofanyika nchini Ufaransa leo tena yakiongozwa na Mkenya ni kiashiria cha ujasusi wa kiuchumi kuhusu Tanzania&Uganda juu ya ujengaji wa bomba hilo. Kenya katika ukanda huu wa maziwa makuu imekuwa ikitumiwa sana na washirika wa magharibi na kampuni nyingi binafsi katika...
  17. JamiiForums Tanzania Maandamano Ufaransa kupinga kampuni ya Total kujenga bomba la mafuta la Uganda na Tanzania

    Wanafunzi na wanaharakati wengine wa maeneo mbalimbali mjini Paris wameandamana kupinga kampuni ya kifaransa ya Total kujenga bomba la mafuta kutoka Uganda hadi Tanga, Tanzania. Wanafunzi hao na wanaharakati wa mazingira wanaitaka serikali ya Ufaransa kuizuia kampuni ya Total kujenga mradi huo...
  18. JamiiForums Tanzania Siri: Kiini cha mgogoro unaofukuta ndani ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Konde

    SIRI imefichuka, kwamba kiini cha mgogoro unaofukuta ndani ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Konde, Mbeya, kinatajwa kuwa ni kuficha udanganyifu kwenye mkopo uliochukuliwa na Kanisa hilo, takribani miaka minane iliyopita. Raia Mwema ilielezwa kuwa baadhi ya viongozi...
  19. JamiiForums Tanzania Nape Nnauye: Wafanyakazi wa wizara mna dhamana ya kuipeleka Tanzania kidijitali

    Prisca Ulomi na Faraja Mpina, WHMHT, Dodoma Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye amewataka wafanyakazi wa Wizara anayoiongoza kutambua kuwa wao ni sehemu ya kuipeleka Tanzania Kidijitali kwa kuwa wana wajibu, majukumu na dhamana ya kutekeleza sera, sheria...
  20. JamiiForums Tanzania Kituko Serikali ya Kongo DRC: Ina watumishi wenye umri wa miaka 100 ambao hawajastaafu

    Hapa Tanzania tunapiga kelele kuhusu ajira. Wengine tunataka umri wa kustaafu upunguzwe. Ukienda Congo DRC utaona vituko. Kuna watumishi wengi wa serikali wenye umri wa miaka 70 na zaidi waliopaswa kustaafu wakiwa na miaka 65. Cha kushangaza kuna zaidi ya watumishi 250 waliofikisha umri wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…