tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Yericko Nyerere

    JamiiForums Tanzania Pamoja na Msimamo wa Tanzania kuhusu Urusi vs Ukraine; Ushauri wangu kukabili matokeo

    Baada ya Mataifa makubwa dunia Marekani na Ulaya kuamrisha Afrika iseme msimamo wake na ilaani oparesheni ya Urusi huko Ukraine. Tanzania imetoa kauli ya kwamba sisi HATULAANI, wala HATUUNGI MKONO vita hivyo. Tunachoshauri ni meza ya majadiliano tu. Tanzania ni mwanachama wa kikundi cha nchi...
  2. Artifact Collector

    JamiiForums Tanzania Tanzania kuna uhaba mkubwa sana wa Competent Computer Scientist

    Kuna project tunafanya tumetafuta watu competent wa computer science hatujapata huwa najiuliza hao graduate wa kila siku wanaenda wapi? Ndo maana nimekuja elewa kwanin makampuni mengine yanaenda kutafuta watu nje ya nchi kwa Hali hii vijana wetu na mfumo wa elimu inabid uangaliwe sana
  3. Nakadori

    JamiiForums Tanzania Ni mkoa gani nchini wenye maeneo mazuri kwa vacation?

    Wakuu habari zenu? Hatimaye Mungu amenikumbuka. Nataka nikajipe mapumziko kidogo baada ya heka heka flani za mwaka mzima uliopita na mitihani flani ya maisha ili akili ikae mkao wa utafutaji. Sasa naomba wakuu mnishauri mkoa mzuri hapa Tanzania ambao una maeneo mazuri ya mapumziko. Mkoa huo...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Simbachawene: Polisi inalishughulikia shambulio la kutumia silaha kwa Tundu Lissu kama uhalifu mwingine na upelelezi unaendelea

    Akijibu swali la mtangazaji wa ITV Midle kuhusu uchunguzi ulipofikia kwenye tukio la kushambuliwa Tundu Lisu mbunge by then mh Simbachawene amesema yapo matukio mengi ya kutumia silaha yanayochunguzwa na hilo la Tundu Lisu siyo special ni uhalifu kama mwingine hivyo yote yanashughulikiwa kwa...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini Polisi wa Tanzania wanapenda sana kuweka watu mahabusu, kupeleka mahakamani na kujadili kuwafunga?

    Nimemsikiliza kamanda Mtafungwa akizungumzia kwamba Polisi awatatoza faini madreva wanaovunja sheria Bali watawakamata kuwaweka mahabusu na kuwapeleka mahakamani wafungwe. Najiuliza sheria ya usalama barabarani inasemaje? Kwa sababu ukisoma sheria utagundua makosa haya yanahitaji kifungo au ni...
  6. B

    JamiiForums Tanzania 2025 Tanzania itafanya uchaguzi au tutegemee marudio ya 2020?

    Kipenga kimepulizwa kwamba tupo Hadi 2030, hapo Bado miaka minne kuelekea uchaguzi. Je, 2025 tutegemee uchaguzi au tubaki kusubiri uchafuzi? Kibaya zaidi kamati inayojadili mambo ya Muda mfupi ,Kati na mrefu ikiwa na akina Zitto ndiyo hiyo iliyompa baraka hizo mwenye nchi Kwa niaba ya...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Hatukupiga kura sababu tulichotaka kati ya Urusi vs Ukraine hakikutokea!

    Serikali ya Tanzania imetoa ufafanuzi kuhusu sababu ya kupiga kura ya kutofungamana na upande wowote katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhusu mgogoro unaoendelea kati ya Russia na Ukraine Imesisitiza pande zote mbili kutafuta suluhu katika meza ya mazungumzo hilo ndilo walilotaka...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Ni kampuni au Taasisi ipi ni muajiri bora?

    Wanajamvi ni nani muajiri bora Tanzania iwe kampuni au Taasisi?
  9. BigTall

    JamiiForums Tanzania Tanzania ya sasa kuna uhaba wa wadada wanaojielewa kwa ajili ya kuwa wake za watu

    Wadau salama, kuna jambo moja naona linazidi kuwa gumzo mitaani, awali nilijua labda ni mtaani kwetu tu lakini naona asilimia kubwa ya wanaume wanalalamika kuhusu hili suala. Nina rafiki yangu mmoja leo ametoka kunitumia sms analalamika kuhusu wadada, nakumbuka sentensi yake moja kaniambia...
  10. The Sunk Cost Fallacy

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Ulaya waipatia Tanzania msaada wa shilingi bil.469.4

    Kazi iendelee. Umoja wa Ulaya umeridhishwa na mwenendo wa mahusiano Kati ya Serikali ya Tanzania chini ya Rais SSH na Umoja huo na hivyo Ili kuunga mkono juhudi hizo wamesaini mkataba wa msaada wa sh.bil.469.4 .. Kwa mujibu wa Katibu Mkuu wa Wizara ya fedha,fedha hizi zitatolewa ndani ya...
  11. Mchochezi

    JamiiForums Tanzania Tanzania mtu anaweza kuwekwa kizuizini nyumbani kwake?

    Wakuu salama? Naimbeni mnijuze, kwa nchi ya Tanzania, mtu anaweza kuwekwa kizuizini nyumbani kwake? Kama ndio ni sheria ipi hiyo inaruhusu katika katiba yetu?
  12. K

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Mifugo na Uvuvi, unakubali vipi nchi kuingiza pesa kidogo hivi na kisha kujisifia?

    Katika taarifa ya jana ya saa mbili kupitia runinga nilimshuhudia Mhe. Waziri wa Mifugo na Uvuvi akihabarisha umma kuwa tumepata meli itakayopeperusha bendera ya Tanzania na akatamba kuwa kwa mwaka tutakuwa tukipata $400,000 na samaki tani 500 na mengineyo mengi. Binafsi ninamshangaa sana...
  13. MoseKing

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nini kimepelekea sarafu ya Tanzania kulingana thamani na sarafu ya Kenya hivi karibuni?

    👇👇👇👇
  14. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Tanzania yafatilia uwapo wa aina mpya ya kirusi cha UVIKO-19

    Waziri wa Afya nchini Tanzania , Ummy Mwalimu, amesema serikali ya nchi hiyo inafuatilia uwapo wa aina mpya ya kirusi cha UVIKO-19 kilichothibitishwa na Shirika la Afya Duniani (WHO). Alisema kirusi hicho, kinajumuisha kirusi cha Delta na Omicron, ambacho kimejiunda na kuwa kirusi kipya cha...
  15. Replica

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Majirani zetu wanazo The so called 'Tume Huru', hawana migogoro? Auliza nini kinafatwa kwenye tume huru

    Rais Samia akiwa anapokea ripoti ya kikosi kazi alichounda ameongelea Tume huru ya uchaguzi na kuhoji uwepo wa kuendelea migogoro kwenye nchi za jirani zinazotajwa kuwa na tume huru. Rais Samia ametaka kujua 'Definition' ya tume huru na ipi kiu itakayopatikana kwenye tume huru. ====== Samia...
  16. WilsonMwalukasa

    JamiiForums Tanzania Kama Kiswahili ndio lugha ya Taifa, Serikali ihakikishe kinatumika katika nyanja zote muhimu ikiwemo Elimu

    Kiswahili na Kiingereza, ni lugha mbili ambazo zipo kwenye mitaala ya elimu yetu nchini, lakini asilimia zaidi ya 80 ya watanzania hawajui lugha zote mbili Kwa ufasaha. Au hata lugha Moja tu kwa ufasaha na usahihi. Ni kwa sababu ya uwepo wa lugha mbili ambazo, hupokezana na huingiliana kwenye...
  17. L

    JamiiForums Tanzania “Marafiki wanaotegemewa na wenzi wa dhati” miaka hii ya uhusiano kati ya China na Tanzania

    Pili Mwinyi Tarehe 24 Machi mwaka 2013, rais Xi Jinping alikanyaga kwa mara ya kwanza ardhi ya Tanzania tangu awe rais wa Jamhuri ya Watu wa China. Katika kipindi chote hicho cha miaka tisa yameshuhudiwa mabadiliko makubwa ndani ya nchi pamoja na mchango mkubwa alioutoa katika nchi za nje hasa...
  18. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli ukikopa benki ukashindwa kurudisha pesa zao hakuna Benki Tanzania itakayokukopesha tena?

    Habari JF? Naomba tufahamishane kuhusu hili suala? Mfano nimekopa Sh laki 5 pale NMB branch Ya Igoma, baadae nikashindwa kurejesha mkopo wao wakaja wakabeba dhamana. Je, Taarifa zangu za kushindwa kurejesha mkopo zitapelekwa kwenye system za benki nyingine za Biashara Tanzania ili nikienda...
  19. GUSSIE

    JamiiForums Tanzania Tuache siasa, ajira zipo za kutosha Tanzania kwa wanaojua Kiingereza kwa ufasaha

    Members, Msipende kusikiliza maneno ya sisi wanasiasa kuwa lugha ya Kiswahili ni bora na elimu ya shule za kata ni bora sana. Hakuna mwana siasa wa zama hizi ambaye mtoto wake anasoma shule ya kata au anasoma masomo ya msingi kwa lugha ya Kiswahili. Usahili au Interview za sasa anayejua...
  20. kavulata

    JamiiForums Tanzania Timu inayofungwa 3-0 inakuzaje utalii nchini?

    TANAPA kuweni makini na vitendo vinavyokinzana na jitihada zetu za kuvutia utalii nchini. Timu inayoandika kwenye jezi yake "visit Tanzania, then inafungwa bao 3-0 kwenye mechi inayotazamwa dunia nzima kunapunguza utalii wetu. Timu ameandika Visit Tanzania, then unanunua waamuzi wachezeshe...
Back
Top Bottom