Waraka kwa Kanisa

CK Allan

JF-Expert Member
Aug 14, 2013
2,729
5,923
KWA KANISA LILIKO TANZANIA ANDIKA:

Nayajua matendo Yako ya kuwa umeacha kuhubiri kweli ya Kristo yenye uzima na badala yake unahubiri injili ya vitu viharibikavyo,

Je, Kristo amekufa msalabani ili uwe na nyumba nzuri?
Je, Kristo amekufa msalabani ili uwe na gari zuri?
Je, Kristo alisulubiwa msalabani ili uwe tajiri na maarufu?
Tena lipo baya zaidi ufanyalo yaani kutegemea chumvi na maji badala ya kumtegemea mokozi!
Je, Kristo amegeuka kuwa mganga wa kienyeji eeh Tanzania?

Na Tena naona habari zako za ibada za kujikomboa na kujiokoa je Kristo hakumaliza kazi ya ukombozi?

Kwanini kujikomboa na kujitaabisha namna hii?
Je, umekuwa mjinga kiasi hiki?

Tena umekuwa mtu wa kubandika picha na stika za hao uwaitao manabii wako ili Hali moyoni mwako umeacha kushika kweli ya Kristo
 
Shetani hajaja duniani kucheza. Anataka tuwe masikini tu. Endapo tutahitaji utajiri na ufahari Basi anataka tutumie nguvu za giza! Ndiyo maana nawaunga mkono hao wanaohubiri kuwafungua waliofungwa kwenye umasikini
 
Huu umasikini mnao nyie tu?
Mbona msiombewe Bure?
 
Ubarikiwe mtumishi. Shetani anataka tuone dunia ni nyumbani kwetu, ili tusahau nyumbani kwetu (mbinguni).

YESU NI BWANA NA MWOKOZI
 
Shetani hajaja duniani kucheza. Anataka tuwe masikini tu. Endapo tutahitaji utajiri na ufahari Basi anataka tutumie nguvu za giza! Ndiyo maana nawaunga mkono hao wanaohubiri kuwafungua waliofungwa kwenye umasikini
Wewe umefungwa kwenye umasikini?
 
KWA KANISA LILIKO TANZANIA ANDIKA:

Nayajua matendo Yako ya kuwa umeacha kuhubiri kweli ya Kristo yenye uzima na badala yake unahubiri injili ya vitu viharibikavyo,

Je, Kristo amekufa msalabani ili uwe na nyumba nzuri?
Je, Kristo amekufa msalabani ili uwe na gari zuri?
Je, Kristo alisulubiwa msalabani ili uwe tajiri na maarufu?
Tena lipo baya zaidi ufanyalo yaani kutegemea chumvi na maji badala ya kumtegemea mokozi!
Je, Kristo amegeuka kuwa mganga wa kienyeji eeh Tanzania?

Na Tena naona habari zako za ibada za kujikomboa na kujiokoa je Kristo hakumaliza kazi ya ukombozi?

Kwanini kujikomboa na kujitaabisha namna hii?
Je, umekuwa mjinga kiasi hiki?

Tena umekuwa mtu wa kubandika picha na stika za hao uwaitao manabii wako ili Hali moyoni mwako umeacha kushika kweli ya Kristo
Hongera kwa ufunuo wako! Stay blessed!
 
Back
Top Bottom