tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Abu Dhabi kuikopesha Tanzania Tsh. Bilioni 979 za miradi

    Mfuko wa Maendeleo wa Abu Dhabi wa Umoja wa Falme za Kiarabu, umeahidi kutoa mkopo nafuu utakayonufaisha mradi wa umeme wa Benaco-Kyaka mkoani Kagera na ujenzi wa makazi ya watumishi ya gharama nafuu Zanzibar, inayokadiriwa kugharimu dola za Marekani milioni 420 (Sh 979,374,404,740 za Tanzania)...
  2. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Ukiachana na Tanzania, kuna nchi nyingine duniani ina viongozi kama wakuu wa mikoa

    Wajuzi wa mambo naomba uzoefu. Hapa duniani kuna nchi ina nafasi za kuteuwa kama wakuu wa mikoa ya Tanzania. Na majukumu Yao ni kama haya ya hapa kwetu. Huwa wanatumikia wananchi au aliyewatua? kwetu?
  3. Equitable

    JamiiForums Tanzania Umri wa kugombea urais wa Tanzania urekebishwe

    Wana jamvi. Napendekekeza umri wa kugombea urais wa jamh. Tanzania uwe kati ya miaka 25 hadi 70. Hii ni baada ya kuona kuna vijana wanaweza kuwa marais kwa umri husika maana wazee wanazingua. Angalia Biden na Putin wanavyotishia uhai wa dunia. Hii ni sababu wao wamekula vyingi hivyo hawana vya...
  4. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia yaidhinisha Tsh. Bilioni 770 kwa ajili ya ufadhili wa miradi ya Umeme Tanzania

    Katika muongo mmoja uliopita, Tanzania imeorodheshwa kama mojawapo ya nchi za Kusini mwa Jangwa la Sahara zenye viwango vya kasi vya upanuzi wa umeme, kulingana na taasisi ya Breton Wood. Mkopo mpya wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kimataifa (IDA) kwa Mpango wa Upanuzi wa Umeme Vijijini Tanzania...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Kuunganisha DR Congo na Tanzania

    Naomba kujua hii serikali ya sasa inaendeleaje na mkakati wa kuunganisha DR Congo na Tanzania Ili mizigo ya DR Congo isipitie Zambia bali ipitie Tanzania na kufika DR Congo kupitia Sumbawanga
  6. Mystery

    JamiiForums Tanzania Kwanini waandishi wa habari Tanzania hawaripoti taarifa zenye maslahi mapana kwa Taifa letu?

    Nimekuwa nikifuatilia waandishi wa habari wa nchi hii, nikagundua kuwa zile habari muhimu sana, zenye maslahi mapana kwa Taifa hili hawaziandiki na badala yake, wao Kila siku ni kuandika "mapambio" ya kusifu na kuabudu viongozi walioko madarakani! Waandishi wa habari wa nchi yetu, wamejijengea...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Jeshi la Polisi na askari wote Tanzania, amani ndio imani ya nchi

    PONGEZI MAALUMU KWA POLISI. Jeshi letu la polisi wanapofanya operation zao kikweli hua zinasaidia sana na kwa aina ya IGP wa sasa uhalifu unakwenda kupungua sana maana hua yeye ni mtu wa field na majambazi na wezi hufinywa kimya kimya. Amina nawaeleza kama wewe sio muhalifu na ni raia mwema na...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Hongera na pongezi kwa vyombo vyetu vya ulinzi na usalama kuifanya Tanzania kuwa Salama muda wote

    Ndugu zangu Ni wachache wenye kuona na kutambua kazi kubwa inayofanywa na hivi vyombo vyetu katika kuilinda na kuipigania nchi yetu usiku na mchana na hatimaye kufanya watanzania tuishi kwa amani bila hofu Wala mashaka Msingi wa maendeleo katika nchi yoyote Ile Ni uwepo wa amani na utulivu...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Taifa stars yachapwa 2-1 na Libya jijini Benghazi

    27 September 2022 Benghazi, Libya Live Broadcast match Libya vs Tanzania FINAL SCORE LIBYA 2 - 1 TANZANIA Head Coach Honour Janza na kocha msaidizi Mecky Mexime Aishi Manula Abdallah Mfuko Dickson Job David Gilbert Ulomi Shomari Kibwana Himid Mao Reliants Lusajo Muzamiri Yassin Sospeter...
  10. Sijali

    JamiiForums Tanzania Haya yanatokea Tanzania pekee

    Kwamba Waziri anaitia serikali hasara kubwa, na nchi uzorotaji wa kimaendeleo ya teknolojia na ya watu... anaoteshwa, anabadilisha, na anaendelea na kazi! Kabla ya tozo, sekta ya 'fedha mtandaoni' (mobile money) ilikadiriwa kuwa dola bilioni 4 (Shilingi Trilioni 9.5), kiasi ambacho kwa mwaka...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi sales and marketing, customer service au data entry.

    Habari za mchana viongozi. Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 Nina ujuzi katika sales and marketing na customer care service na data entry na stock controller namba yangu ya simu 0654918030.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania ya sasa Watu wa hovyo kijamii na matukio ya hovyo ndiyo yanashabkiwa na 'Kutrendi' sana?

    Kwa mfano Mtu (Bondia) wa hovyo na very Unprofessional Karim Mandonga (ambaye hata Kupigana hajui) na ana Upuuzi mwingi anashabikiwa na kusifiwa kila Kona huku akitrendi ila aliyempiga na anayejua Ngumi Bondia Kaoneka haimbwi, asifiwi, hashabikiwi na hata 'hatrendi' pia hadi Kuonekana ni Mshamba...
  13. Rockefeller

    JamiiForums Tanzania Je sera ya afya ya Tanzania inasema nini kuhusu haya?

    Habari wakuu, Naomba kujuzwa hivi watoa huduma za afya nchini Tanzania (doctors and nurses) walioajiriwa na wasioajriwa lakini wamesajiriwa na wana leseni za mabaraza yao (MCT & TNMC) 1. Je wanaweza ku practice remotely yaani nje ya health facilities hata bila kuonana na mgonjwa kwa njia ya...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Wakati Tanzania fedha ikiwekwa benki inapigwa Tozo wenzetu Kenya watajaziwa zaidi. Hongera rais Ruto.

  15. Artifact Collector

    JamiiForums Tanzania Uchumi wa Tanzania uko inclusive ukilinganisha na majirani zetu

    Nyerere mim simkubali kwenye mambo kadhaa Ila kwenye swala la ardhi nampongeza sana alicheza kama pele Tanzania hata maskin wa kutupwa unauwezo wa kumiliki ardhi hiki kitu huwezi kukikuta kenya Jiji kama Nairobi upper middle class kumiliki ardhi ni ishu sana lakin Hali ni tofauti sana Kwa Dar...
  16. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Ijue Mahakama ya Afrika Mashariki, Kwanini Hukumu Zake Hazina Rufaa na Kwanini Zina Puuzwa na Baadhi ya Nchi Washirika Sisi Tanzania Tukiwemo?

    Wanabodi, Hii ni makala ya Jumapili ya leo, kazi inaendelea... Kwa Maslahi ya Taifa, inaendelea na makala elimishi za kuijua Jumuiya ya Afrika Mashariki, ambako mwanasheria wako, Wakili Pascal Mayalla, anakuzamisha kwenye Mkataba wa Jumuiya ya Afrika Mashariki sura kwa sura. Leo tunaenda SURA...
  17. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Hawajui kinachoendelea Tanzania!

    Hakuna CCM tena, Mbatia hajaondolewa na NCCR, kuna sababu kwa nini akina Mbowe &Co. wapo pro Utawala uliopo, they have no choice, na yoyote atalayejaribu ku challenge status quo ataenda na maji, wengi watafwatia, siku moja mtakuja kutambua who pulls the strings na wala siye mnayemdhania...
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Bakteria Sugu kwa Dawa watajwa kuwa chanzo kingine hatari cha vifo Afrika, Tanzania ikiwemo

    Uchunguzi uliofanywa na Jumuiya ya Kiafrika ya Madawa ya Maabara (ASLM) imeonesha nchi 14 za Kusini mwa Jangwa la Sahara, Tanzania ikiwemo zinakabiliwa na hatari ya kuongezeka wagonjwa wenye vimelea wasiotibika kutokana na usugu wa dawa. Ripoti hiyo imebaini kuwa ni vimelea vitano tu kati ya 15...
  19. Superbug

    JamiiForums Tanzania Nimeelewa maana ya karma kupitia siasa za Tanzania

    Siasa za Tanzania zinatoa somo zuri sana juu ya karma na namna ya kuwa mtu mwema na wa kufata sheria. James Mbatia Huyu alitumiwa na Magufuli kufanya siasa za hila Mbeya, leo hii yeye kafukuzwa NCCR Mageuzi!
  20. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Video: Wabunge Tanzania wajitutumua kwenye kingereza

    Hongereni...
Back
Top Bottom