tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. President of China

    Ruto Mnafiki: 2017 Kenyatta na Ruto walipata kura 98.26%, kwanini anaiongelea Tanzania Negative?

    Na Dr. Maureen Olesumba Laizer Mtafiti wa masuala ya Uchumi na Biashara 2021 Hawkins Circle LOS ANGELES, CA 90001-2257 USA Nimemsikia Rais wa Kenya bwana Ruto akiongelea uchaguzi wa Tanzania alipohojiwa na mwandishi wa habari kutoka aljazeera. Nimemshangaa sana akipnda uchaguzi wa Tanzania kwa...
  2. JF Summary

    Tanzania Charges Over 405 Citizens with Treason-Related Offenses, 172 Others Charged for Vandalism and Robbery Amid Election Tensions

    Tanzanian authorities have charged at least 405 people across several regions with treason-related offenses allegedly linked to efforts to disrupt the country’s 2025 General Election, while another 172 face charges of arson, vandalism, and armed robbery. Dar es Salaam: Prominent Businesswoman...
  3. Mikopo Consultant

    Tanzania dhaifu ni shangwe kwa dunia!

    Tanzania dhaifu ni furaha kwa dunia! Hii ni sababu kuu inayoniogopesha kwamba, itakuwa vigumu (but not impossible) kwa ICC (The Hague), kufungua mashitaka dhidi ya utawala wa Rais Samia Suluhu - na yeye akiwemo. Sababu ya kimaoni juu ya hili, inachagizwa na ustaarabu wa maamuzi ya kidunia...
  4. Tronics guru

    Hivi kwanini Cancel culture imefeli kabisa Tanzania ?

    Imagine taasisi au mtu wako upande wa mtesi wako baada ya kumu'cancel na kumignore huyo mtu unaenda kumjazia comments za matusi kwenye page yake. Hata humu ndani mtu threads zake huzielewi ignore him/her,kumjazia matusi na kashfa ni kumpa attention ya bure. Angalia right now attention...
  5. sizzya007

    “Mungu Ibariki Afrika” haifai tena kuwa Wimbo wa Taifa la Tanzania 🇹🇿 (na Afrika kwa ujumla)

    “Mungu Ibariki Afrika” ilitungwa kama wimbo wa matumaini. Wito wa umoja, amani, na hekima miongoni mwa Waafrika waliokuwa wakipigania ukombozi. Lakini leo, zaidi ya nusu karne baadaye, maneno hayo hayana uhalisia katika bara letu. Tunaimba “Hekima, Umoja na Amani” huku viongozi wetu wakiongoza...
  6. President of China

    Maendeleo haya wakiyaona Wakenya wanaumia sana wanataka tufanane nao - Na maadui wengine wanataka wafanye wao Tanzania oyee

    VIta vya kiuchumi ni halisi wengine wanadhani kwamba ni matani matani ya kwenye mitandao ya kijamii. Adui atatumia mbinu zote kuhakikisha kwamba tunakwama na yeye aendelee kuwa juu. Haya maendeleo yanamfanya adui wetu azidi kuumia. Anajiuliza why them not us? atika Afrika Mashariki, kuna...
  7. Pearce

    TANZANIA NA KENYA ni Sibling tunaojionesha hatupendani lakini nyakati za Matatizo tupo pamoja

    Tumepoteza wengi waliohusika na wasiohusika 29/10/25. Ni kisa kimoja kwa dogo mmoja tunayemfahamu baada ya vurugu kuanza yeye alikuwa anafanya kazi kariakoo. Wakaambiwa wafunge maduka, kweli akatekeleza hilo shida akaanza kuangaika kupata usafiri kurudi nyumbani Kwa bahati mbaya hakuweza...
  8. Yoda

    Kwanini uwezekano wa yanayoitwa maridhiano Tanzania ya sasa ni mdogo sana?

    Ukiafuatilia kinachoitwa maridhiano utagundua uwezekano wa jambo hilo kwa Tanzania ni mdogo sana kwa sababu hakuna aliye tayari kwa hayo maridhiano. Ili maridhiano yawezekane Tanzania CCM itabidi kwanza ikubali mambo kadhaa kama sita yaliyo muhimu ambayo kwa uhakika uwezekano wa CCM kukubali ni...
  9. G

    Kama wazanzibar wakilazimisha kuvunja Muungano wajiandae kuwa mkoa wa Tanzania au Jimbo la TANZANIA hutuwezi kuruhusu magaidi waingie hapo karibu nasi

    Huo ndo uhalisia Zanzibar isingekuwa ndani ya Muungano ungekuta tayari Kuna vikundi vya kigaidi vimechukua utawala Tutakua wajinga kuwaachia ndugu zetu wanzibar wabaki bila ulinzi wa TANZANIA Kama viongozi wao Kwa ulevi TU wa madaraka watavunja Muungano Kwa namna yoyote hatakubali ulafi wao wa...
  10. DuaZaMama

    Daniel Sillo, Kiongozi anayejitengeneza historia katika siasa za Tanzania

    Mbunge wa Babati Vijijini, Ndugu Daniel Baran Sillo, ameendelea kuandika historia katika medani ya siasa nchini, hususan mkoani Manyara. Safari yake ya kisiasa ilianza kwa uthubutu na ujasiri mwaka 2015, alipojitosa kwa mara ya kwanza kuwania ubunge, ingawa hakufanikiwa. Hata hivyo, hakurudi...
  11. President of China

    Kenyans who expected Tanzania to fall after the elections have become frustrated - Now they are spreading false propaganda

    Tanzanian security is very complex. Ignorant fools might think that what happened was a surprise. No, it was planned for many years with the aim of destroying Tanzania. National Security was closely monitoring every step that was being taken and all the plans. Security matters are not about...
  12. Mayor Quimby

    Nini kimeipata Tanzania na CCM

    Back in the days, wakati najiunga JF kwa kufuata mkumbo; nilikuwa namtukana raisi wa muda huo JK. Being me, sikosi haters; kulikuwa na mods wana re-type posts zangu nionekane siwezi hata kuandika. Lakini uwezi zuia uwezo, na vichwa vya CCM vilkuwa vinapita humu; vinaona uwezo. Na pengine...
  13. Just Pray

    GE2025 ACT Wazalendo: Serikali ya Rais Samia imekosa uhalali wa kisiasa kuendelea kuongoza Tanzania, uchaguzi wa Oktoba 29 ni pigo kwa Demokrasia na taifa

    MSIMAMO WA ACT WAZALENDO KUHUSU MWENENDO NA MATOKEO YA UCHAGUZI MKUU 2025 Chama cha ACT Wazalendo kupitia kikao cha Kamati ya Uongozi Taifa kilichoketi 7 Oktoba 2025 kimefanya tathmini ya kina kuhusu mwenendo na matokeo ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika tarehe 29 Oktoba 2025 ambao umekuwa pigo kubwa...
  14. uhuruborn

    Je, Tanzania Inaweza Kupata Amani Chini ya Samia? Uchambuzi Mpana Baada ya Oktoba 29

    Tarehe 29 Oktoba 2025 imebaki katika kumbukumbu za Watanzania kama siku iliyogeuza mwelekeo wa taifa na kufichua wazi ukubwa wa mgogoro wa kisiasa uliokuwa ukijengeka kimya kimya kwa miaka kadhaa. Siku hiyo, badala ya kufanyika kwa uchaguzi mkuu kama ilivyotangazwa, taifa lilishuhudia machafuko...
  15. Ojuolegbha

    Tazama muhtasari wa matukio muhimu aliyoyafanya Rais Samia Suluhu Hassan kuanzia 03 - 09 Novemba 2025

    #IkuluWIkiHii Tazama muhtasari wa matukio yote muhimu aliyoyafanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika wiki hii. 📆
  16. Mhaya

    Tiktok yafungiwa Tanzania, bila VPN uwezi kutumia

    Tiktok imeungana na X (Twitter) na JamiiForums, rasmi hii mitandao uwezi kutumia bila VPN
  17. The Magnifico

    Bodaboda wa Tanzania jifunzeni kutoka kwa wenzenu wa Rwanda.

  18. The Burning Spear

    See how suspects are arrested in Tanzania VS USA

  19. B

    To German Embassy in Tanzania: Protesters were burned alive at a German cement factory in Dar es Salaam. We need answers!

    To German Embassy in Tanzania Tanzanians seek cooperation in unearthing the details of what transpired at Twiga Cement Factory in Dar es Salaam during Samia Suluhu Hassan's heinously bloody crackdown of election day demonstrations on October 29, 2025. Per various media reports and firsthand...
  20. Dalton elijah

    Kipi Kifanyike Nchini Tanzania Baada ya Vurugu za Uchaguzi na Maandamano Yaliyosababisha Vifo?

    Kufuatia vurugu za uchaguzi na maandamano yaliyosababisha vifo nchini Tanzania, hatua madhubuti zinahitajika kuchukuliwa ili kurejesha amani, utulivu, na kuimarisha demokrasia. Hali kama hii mara nyingi huashiria mgogoro wa kisiasa na kijamii unaohitaji mbinu za kina na shirikishi kushughulikia...
Back
Top Bottom