Trafficking Allegations Zawaka Moto! Wakenya 9 Washikiliwa Tanzania Bila Charges “Sea Mfalme” Yazua Taharuki

Trafficking Allegations Zawaka Moto! Wakenya 9 Washikiliwa Tanzania Bila Charges “Sea Mfalme” Yazua Taharuki

OwadeKuya

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2026
Posts
330
Reaction score
226
Wadau, kuna hii story imeanza kuwasha moto Wakenya tisa ambao ni seafarers wamekwama kule Kilwa, Tanzania tangu March 30, 2026 baada ya meli yao FV Sea Mfalme kushikiliwa kwa allegations za human trafficking.

According to reports, hii vessel ilitoka Mombasa March 14 ikiwa na watu 61 onboard mixture ya men, women na hata mtoto mmoja. Lakini mambo yamekuwa tricky sana juu hadi sasa hakuna charges official zimepelekwa court! So hawa crew wako tu detention bila direction yoyote.

Cha kusikitisha zaidi , maisha yao kwa hiyo meli si rahisi. Food na maji reportedly zimekuwa scarce, na sasa wanategemea tu well-wishers na organisations kama Stella Maris Mombasa. Hii ni survival mode kabisa!
Seafarers Union of Kenya (SUK) wamejitokeza wakipiga kelele wakisema serikali iingilie kati haraka.

Wamemtaja hadi CS Hassan Joho to step in ASAP kuhakikisha hawa watu wanarudi nyumbani salama.

Meanwhile, families zao huku Kenya wako na pressure mob sana wengi wao ndio breadwinners wa familia. Imagine kukaa mwezi mzima bila kujua hatima ya mpendwa wako!

Swali kubwa wadau Kama hakuna charges, mbona bado wanashikiliwa? Serikali ya Kenya inafanya enough kweli kuwaleta nyumbani?

Hii issue inaonyesha vile kazi ya baharini inaweza kuwa risky kuliko tunavyofikiria.

Tuambiane maoni Serikali iingilie kati ama tusubiri uchunguzi ukamilike?

Source: NTV
 
Back
Top Bottom