tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. G

    JamiiForums Kwanini Dialysis Zanzibar ni bure na Tanzania bara 180,000 kwa siku

    Tanzania na Zanzibar ni nchi mbili tofauti? ======= Mdau anahoji kwanini wagonjwa wa figo wanafanyiwa kwa gharama ya Tshs 180,000 kwa siku Tanzania bara ilhali Zanzibar ni bure. Amesema wapo wanaotakiwa kufanyiwa dialysis mara mbili au tatu kwa siku. Mdao ameomba majibu kwa waziri wa afya.
  2. Kaka yake shetani

    JamiiForums Internet ya starlink inafanya kazi tanzania tatizo ISP Starlink ni vikwazo na sheria wala sio huduma

    Unapozungumzia setelite tofauti na huduma zengine ambazo ni rahisi kuwekewa vikwazo mfano mfumo wa redio za sauti,mawasiliano ya simu na njia za waya au wireless zenye uwezo masafa yasio kwenda juu usawa wa bahari. nimeleta mada kwenu sababu hiki kifaa nakitumia hapa tanzania na kwenye usajili...
  3. Chance ndoto

    JamiiForums PreGE2025 Natamani zitto kabwe awe raisi wa Tanzania uchaguzi ujao

    Nimeona mambo yanakua mengi sana viongozi wengi wa CCM wanapotezea kero za kila siku. Katika machaguo yangu naona zitto kabwe nchi inamfaa
  4. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Andiko la Mwisho la Ole Mushi;Ukoloni unarudi Tanzania

    Andiko la mwisho la Ole Mushi hebu lipitie👇🏿 UKOLONI UNARUDI TANZANIA? Na Thadei Ole Mushi. Miaka 60 ya Uhuru tumeshindwa kabisa kusimamia rasilimali zetu wenyewe. Migodi tumeitoa kwa Wazungu, Misitu tumeitoa kwa Mwarabu, Posta tumeitoa kwa Mwarabu, Misitu tumeitoa kwa mwarabu, Gesi...
  5. Wizara ya Afya Tanzania

    JamiiForums Kati ya Wanawake 100, Wanawake 25 wana ugonjwa wa saratani Tanzania

    Na. WAF - Dar Es Salaam Serikali imetoa rai kwa jamii kuchukua hatua za mapema kupima ugonjwa wa Saratani kwa kuwa takwimu zinaonesha kuwa kati ya wanawake 100, 25 wana Ugonjwa wa Saratani huku Asilimia 70 ya Wanawake inaonesha wana ugonjwa huo. Hayo yamesemwa leo Februari 4, 2024 na...
  6. Wizara ya Afya Tanzania

    JamiiForums Tanzania yajadili namna ya ununuzi wa dawa adimu kutoka Cuba

    Na. WAF - Dodoma Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu akiwa na Naibu Katibu Mkuu Dkt. Grace Magembe pamoja na Wakurugenzi wa Wizara ya Afya leo Februari 2, 2024 wmekutana na Balozi wa Tanzania nchini Cuba Bw. Humphrey Polepole, wadau wa Hospitali, MSD pamoja na Mamlaka ya Dawa na Vifaa tiba (TMDA)...
  7. D

    JamiiForums M23 wailaumu TPDF kutumia silaha nzito za kivita kulinda amani DRC

    TPDF inapeleka kisago(sio kipigo) cha mbwa koko huko DRC Vijana wa M23 eti wanaonya JW kuendelea kuwashambulia itajilaumu baadae wameitaka iache mara moja vinginevyo itapigwa.
  8. Nkaburu

    JamiiForums FIFA⚽ kutangaza Ratiba ya mechi za Kombe la Dunia la FIFA 2026: 🇹🇿Tanzania yahitaji kushinda mechi zote zilizobakia, kushiriki

    Watanzania wenzangu, ngoja nibaeleze. Kutoka kwenye Vyombo vya habari- FIFA itatangaza ratiba ya mechi za Kombe la Dunia la FIFA 2026™ leo Jumapili, tarehe 4, mwezi wa 2 2024 saa Tano usiku. Tangazo hili litaonyeshwa moja kwa moja mubashara kwenye tovuti ya FIFA.com na FIFA+1, na pia...
  9. Mhafidhina07

    JamiiForums Siasa ni chanzo kikubwa cha umasikini Tanzania

    Umasikini ni hali ya ukosefu au kushindwa kupata mahitaji muhimu katika wakati sahihi unapohitaji kununua nguo fulani ukaikosa ndiyo msamiati umasikini unapodhihirika this is just nadharia inatumika kuwadhoofisha watu na kuendelea kuwatawala. Demokrasia imetengeneza mfumo wa kisiasa ambao...
  10. R

    JamiiForums Kwa namna Makonda alivyotetea Diwani Kasulu awe raia wa Tanzania tukubali CDF ana kazi kubwa sana kupambana na wakimbizi ndani ya CCM

    Niwapongeze viongozi wa halmashauri Kasulu kwa msimamo wao. Nimpongeze kipekee yule Afisaa Uhamiaji kwa kusimama imara na kuhakikisha hatoi tamko mbele ya Makonda kuhusu Uhalali wa Uraia wa Tanzania Kwa mijibu wa sheria ya Uraia ya Tanzania ukisoma inaeleza kwamba mwenye mamlaka ya kiutawala...
  11. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania ya 5 kwa wingi wa watu Afrika

    Countries In Africa By Population: 1. Nigeria 🇳🇬 223,804,632 2. Ethiopia 🇪🇹 126,527,060 3. Egypt 🇪🇬 112,716,598 4. Democratic Republic of Congo 🇨🇩 102,262,808 5. Tanzania 🇹🇿 67,438,106 6. South Africa 🇿🇦 60,414,495 7. Kenya 🇰🇪 55,100,586 8. Sudan 🇸🇩 48,109,006 9. Uganda 🇺🇬...
  12. S

    JamiiForums Mishahara na kazi za PCCB Tanzania zipoje kwa elimu ya form VI

    ni kwann pccb wanalipwa hela nyingi sana
  13. Exile

    JamiiForums Huu umeme wamekata nchi nzima?

    Ulipo umeme upo? Maana naona mikoa kadhaa wanasema umeme hakuna. Njombe, Mara, Tanga, Arusha, Mwanza na Dar hakuna umeme. Tanzania ya viwanda hii
  14. Mjanja M1

    JamiiForums Master Jay: Wasanii wa Kenya wanajua kuimba kuliko wasanii wa Tanzania

    Producer mkali kuwahi kutokea na Jaji wa mashindano ya kuimba Tanzania Master Jay, amesema kuwa wasanii wa Tanzania ni waburudishaji na sio waimbaji wazuri kama wasanii wa nchini Kenya. Akiwa anafanya mahojiano na East Africa Radio Master Jay amesema, “Kitu ninachojivunia ni kwamba...
  15. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums PreGE2025 2025 kuna uwezekano Paul Makonda akachukua fomu ya Urais. Ndipo Rais Samia ataijua vizuri rangi ya Paul Makonda

    Nimekaa pale nawazoom Watanzania mimi mlinzi msomi na mwenye vinasaba vya kinabii. Hizi sifa anazozichukua huko mitaani kwenye ziara zake huyu Mheshimiwa zitamfanya 2030 aione iko mbali. Maana kwa sasa target yake kubwa ni Urais na si cheo chochote. Aliamini 2025 angeachiwa kijiti na Magufuli...
  16. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Shirika la Kiserikali la CTG - China Kushirikiana na Tanzania Kutangaza Utalii

    SHIRIKA LA KISERIKALI LA CTG - CHINA KUSHIRIKIANA NA TANZANIA KUTANGAZA UTALII Shirika la Kiserikali la China linalosimamia utangazaji wa utalii na uwekezaji (China Tourism Group - CTG) limeonesha nia ya kutaka kutangaza vivutio vya utalii vilivyoko nchini Tanzania pamoja na kuwekeza katika...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Rais Samia ashiriki Maadhimisho ya Siku ya Sheria Nchini, Viwanja vya Chinangali - Dodoma, leo Februari 1, 2024

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho ya Siku ya Sheria Nchini - Viwanja vya Chinangali - Dodoma leo tarehe 01 Februari, 2024 https://www.youtube.com/live/fB7fwptjOs4?si=vp7708g7DbUnq9CF Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan...
  18. Mjanja M1

    JamiiForums Lema asema haogopi kukopa. Ameshalipa aliyodaiwa na bunge

    Akifanya mahojiano na Edwin Odemba, Mjumbe wa Kamati kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Godbles Lema amejibu swali kuhusu kudaiwa Mkopo na Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Katika Mahojiano hayo Lema amesema haogopi kukopa, hata kama wabunge wa-CCM wangekuwa...
  19. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanganyika ni nchi inayotumikishwa kwa kivuli cha Tanzania?

    Hivi nani mmiliki wa Tanzania? Watanganyika hawaitaki, kadhalika na Wazanzibar. Ikiwa wote hao hawaridhishwi na wala kunufaishwa na uwepo wa Tanzania, ni nani hasa mnufaika wake? Ni kama vile Tanzania ni chombo kilichoundwa kwa lengo la kuinyonya Tanganyika na Watanganyika. Kwa nini nisiamini...
  20. Mjanja M1

    JamiiForums Mzungu ataka uraia wa Tanzania, agoma kurudi kwao

    Hakuna binadamu anaependa Vita wala kubebeshwa silaha, huyu kijana toka Uingereza ameamua kuukana Uraia wake na kumuomba Rais Samia ampatie Uraia wa Tanzania. ANGALIA VIDEO HAPA Nini maoni yako? Written by Mjanja M1 ✍️
Back
Top Bottom