Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Tanzania tuna LNG project yenye potential ya kubadilisha uchumi wa taifa kwa kiwango kikubwa sana, halafu watu wanataka tuwe desperate kwa sababu Dangote anaweza kwenda kujenga refinery Kenya? Tanzania tayari ina:
🇹🇿LNG project,
🇹🇿EACOP
🇹🇿Bandari za kimkakati
🇹🇿SGR
🇹🇿matenki ya mafuta...
Ikiwa mradi wa refinery ya mafuta ya Aliko Dangote (au mradi wowote wa ukubwa huo) ungejengwa Tanga, Tanzania ingenufaika kwa kiwango kikubwa sana kiuchumi, kijamii na kimkakati. Tanga ina sifa ya kipekee kutokana na kuwa mwisho wa bomba la mafuta kutoka Uganda (EACOP), hivyo kuwa kitovu cha...
Mimi nina tatizo kwenye Board ya Ununuzi wa umma Tanzania PSPTB kwenye Mfumo wa kujisajili na hii Board Ina category mbalimbali
Ukiwa unajisajili ukikosea kuchagua category Yako husika kwa mfano wewe ni Bachelor ukakosea ukajiunga na Technician then ukatumiwa control number ya kulipia Ada ya...
Africa's wealthiest industrialist now says he prefers Kenya's coast for his $17 billion oil refinery. President Samia Suluhu Hassan, by her own account, was not consulted before the project was first announced for Tanga.
Aliko Dangote — the Nigerian cement-and-sugar tycoon, now widely regarded...
Balozi mteule wa Marekani nchini Tanzania, William Trachman, amesema pamoja na changamoto zilizojitokeza baada ya uchaguzi wa Oktoba 2025, bado Tanzania inaendelea kuwa mshirika muhimu wa Marekani katika biashara, usalama na maendeleo ya kikanda.
Katika hotuba yake mbele ya Kamati ya Seneti ya...
Dunia yabaki midomo wazi! Hii si mito ni mfereji ya China! Maajabu yanayowashangaza wahandisi wengi Duniani.
Mifereji yao ni mikubwa kuliko mito mingi ya asili Afrika. Ukiona utadhani ni bahari zinazopita katikati ya nchi.
China mpaka sasa imetumia zaidi ya dola bilioni 10 kujenga mfereji...
Jana nimecheka sana, nikiwa katika kijiwe kimoja hivi katika mikoa ya kusini, wanazuoni (wao hujiita wanachuoni) wa dini ya kiislamu wakiongozwa na wahitimu wawili kutoka chuo cha MUM walikuwa wakijadili kwa kujigamba kuwa mkakati wao unaelekea kukamilika.
Mkakati wenyewe ni kuhakikisha 51% ya...
Hali inatisha jamani sijui kam taifa tunaelekea wapi kila kitu ni feki kila kitu
Ukienda kununua dawa kwenye haya mapharmacy dawa nyingi ni feki hasa tunaopenda dawa za bei rahisi ila ubaya unauziwa feki kwa bei ya og kama unajipenda nenda kwenye mahospitali ghali alteast kuna dawa kule...
Ted cruz akituchongea kua kuna machafuko yakidini Tanzania
Oyaaa Tanzania ipo hatarini. Wenye ulimwengu washaanzisha script kua Tanzania kuna machafuko ya kidini na Wakristo wanaonewa. Mzalendo hiki sio ukweli.
Ted Cruz wa Marekani ni muongo na mchonganishi. Tupambane tusichonganishwe zaidi...
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Zambia zimeazimia kuendelea kuchukua hatua katika kuondoa vikwazo vya biashara ili kurahisisha usafirishaji wa bidhaa, huduma na watu, hatua inayolenga kuimarisha zaidi ushirikiano wa kiuchumi, biashara na uwekezaji kati ya mataifa hayo mawili...
Habari Wakuu,
Nimejiuliza sana hili swali, Kwanini Tanzania hatuja adopt kupeana kazi kwa masaa? Yaani mtu anakupa ajira unafanya 3HRS per day labda mara 4 kwa week na anakulipa kwa week au kwa siku kama mtakavo kubaliana.
Ni kwann hii Tanzania haipo? Unapita pharmacy wana mfanyakazi wa...
Supermarket nyingi nchi za wenzetu hupunguza bei ya bia na bidhaa nyingine zikikaribia tarehe ya “best before” ili zisitupwe na kupunguza waste.
Mfano mimi nilienda supermarket nikakuta bia imewekewa sticker ya discount kubwa kabisa ili iuzwe haraka kabla muda haujaisha.imagine punguzo la 70%...
Mbunge wa Lahn-Dill nchini Ujerumani, Mheshimiwa Johannes Volkmann wa chama cha CDU ameihoji Serikali ya nchi hiyo kwamba, inachukua hatua gani kwa Tanzania kutokana na mauaji ya raia katika uchaguzi wa Oktoba 29, 2025 na kuhusu kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, aliyosema inakiuka...
Tanzania tunaelekea kufanya jambo kubwa kupitia mradi wa reli ya kisasa ya SGR. Lakini baada ya kukamilisha SGR, nina pendekezo Serikali iandae project nyingine kubwa ya kimkakati ya kujenga barabara kuu za njia nne (dual carriageways) kwenye route muhimu zote za nchi yetu zinazobeba uchumi wa...
Kwa mtaji huu, sidhani kama Samia ataenda Marekani kipindi hiki cha Trump.
Binafsi naombea aende ili watu tupate fursa ya kumrushia mayai viza na kumtukana kwa kutumia vipaza sauti na ikiwezekana hata na kumfanyia mengineyo zaidi ya hayo 😉.
Fedhuli Samia akae akijua kwamba damu za maelfu ya...
Kuna gepu la kutoelewana kati ya watanzania waliopata elimu ya juu na mahitaji yanaayohitajika kutatua changamoto za makampuni/Soko huria. Nimefatilia mahojihano mbali mbali ya watu wakilahumu vijana wamemaliza vyuo ila hakuna kazi. Nimefatilia mahojihano ya CEO wa NMB na chombo kimoja cha...
Maandalizi ya Mkutano wa Mawaziri wa Biashara (Joint Trade Committee – JTC) kati ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Zambia yamekamilika kufuatia kuhitimishwa kwa kikao cha Kamati ya Pamoja ngazi ya Makatibu Wakuu kilichofanyika leo, Mei 6, 2026, katika Kituo cha Huduma cha Pamoja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.