Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Meli yenye bendera ya Tanzania imelipuliwa na Jeshi la Russia huko kwenye Bahari Nyeusi.
Russia wanadai meli hiyoilikuwa inatumika kusaidia Ukraine.
Ni vizuri serikali yetu ikatoa majibu ya kina kuhusu ili tukio.
Hasa ukizingatia ya kuwa tuna mahusiano mazuri na Russia na juzi tuu viongozi...
Dk Paula Cristina Roque
Dk Paula Cristina Roque ni mkurugenzi mtendaji wa Intelwatch, shirika linalofuatilia matumizi ya kisiasa na yasiyo ya kidemokrasia ya huduma za ujasusi na ulinzi katika nchi za Kusini mwa Dunia (Global South).
****
Mwangwi wa hivi karibuni wa kufunika ukatili wa baada...
Tunawafikisha Walimu Bora Mahali Ulipo – Tanzania Nzima!
Je, unataka kuongeza ufaulu wa mtoto wako au kujifunza ujuzi mpya ukiwa nyumbani? Elite Home Tuition Services ndiyo suluhisho sahihi. Tunatoa huduma za walimu wa nyumbani na mtandaoni kwa viwango vyote vya elimu, tukikuhudumia popote...
Katika siku iliyojawa na hamasa, mamia ya vijana wa Kitanzania walimiminika katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam katika mji wa kibiashara wa Tanzania. Walikusanyika kwa ajili ya Maonesho ya tano ya Ajira kati ya China na Tanzania, yaliyofanyika kwa siku moja nzima na kuwakutanisha watafuta ajira...
Katika chumba cha mihadhara katika Taasisi ya Confucius ya Chuo Kikuu cha Dodoma nchini Tanzania, Tausi Iddi Nzimano, anayejulikana kwa jina lake la Kichina kama Lin Shi, hubadilisha kati ya lugha ya Kichina na Kiswahili bila shida anapowaongoza wanafunzi kwenye matamshi, sauti, na misemo ya...
The alleged head of a fake agency linked to Nigeria’s presidency has been arrested after weeks in hiding. He is accused of using forged documents to establish the agency, open bank accounts and seek official recognition. The agency even appeared in Nigeria’s 2026 budget with an allocation of...
Kuna mambo mengine sio kila kitu wafahamu maana vyengine watanzania wanaona ni kama wao bado wapo kwenye zama za nyani walivyo aminishwa na CCM kwa karne hii.
Server zangu nyumbani kwenye mfumo wa internet imeharibu biashara zangu kupitia API nilizounganisha kwa wanaofahamu alafu unaombwa...
Jioni hii naona makala za waturuki kukumbuka siku ya jaribio la mapinduzi ila kwetu kuna wa puuzi October 29 ni kama kulikuwa na kibao kata cha chawa.
uturuki wanatuzidi mambo mengi leo mnaona mpo kama hivi
Leo tunaamua kuvunja ukimya.
Sisi ni wakata tiketi (Cashiers) wa Mradi wa MwendoKasi (BRT Phase II – Mbagala) tunaofanya kazi kupitia Vodacom Tanzania katika mfumo wa ukusanyaji wa nauli. Kila siku tunahudumia maelfu ya abiria na kuhakikisha huduma ya tiketi inaendelea bila hitilafu.
Hata...
Anonymous
Thread
haki za wafanyakazi
mwendokasi
tanzania
ukiukwaji wa haki
unyonyaji
Ninaomba kuwasilisha malalamiko kuhusu changamoto kubwa ya huduma ya kupiga na kupokea simu (voice calls) kwenye mtandao wa Vodacom Tanzania katika eneo la Tarime, Mkoa wa Mara.
Kwa muda sasa, wateja wengi wamekuwa wakikumbana na matatizo kama simu kukatika katikati ya mazungumzo, kushindwa...
WAZIRI KOMBO AKUTANA NA BALOZI WA CHINA NCHINI TANZANIA.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Dkt. Mahmoud Thabit Kombo (Mb), 14 Julai, 2026 amekutana na Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China nchini Tanzania Mhe. Chen Mingjian kwa mazungumzo yaliyolenga kuimarisha...
Elimu ya tanzania imekuwa jalala la wanasiasa watawala yani elimu wanazojipa mpaka imefanya nchi za wenzetu kuanza kuongeza masharti.
Kwa nchi ya china sasa kama unataka kupata PHD inatakiwa kubuni kitu ambacho hakitakuwepo na kinaweza kusaidia nchi mpaka dunia ndio unapewa PHD.
Huyu masuya na...
Akifungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mawakili wa Serikali Tanzania (TPBA), Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alisema:
“Tutasaidiwa kuiharibu nchi yetu, lakini hatutasaidiwa kuijenga tena. Tanzania ni yetu sote na tunapaswa kuilinda.”
chama
chama cha mawakili
jamhuri
jamhuri ya muungano
mawakili
mawakili wa serikali
mkutano
mkutano mkuu
mkuu
muungano
mwaka
rais
rais wa jamhuri
samia
samia suluhu
samia suluhu hassan
serikali
suluhu
tanzania
Ni aibu sana kwa kila jambo wanafafanua kisocho eleweka.
Hapa nauliza maana naona kuna project saudia wanataka kufuta jangwa na china wamesha weza sasa maeneo mengi.
Hapa kwetu tanzania tuna vyanzo vya maji vinapeleka ziwani ila tumeshindwa kuchukua ziwani kupeleka sehemu maji ni shida...
Kuna neno pale kariakoo kuna simu janja ukisikia msemo wanasema mletee kubwa jinga ni kwamba yani ukubwa wa kifaa sio sahihi wa matumizi.
Kwa tanzania kwa mtindo wa CCm wanaotumia ni kama wanazidi kujiweka gizani.
Mfano watalii wanaokuja kutembea hapa ni wengi wanatumia kenya,rwanda na nchi...
Habari zenu! Mimi ni Mwalimu wa Kiingereza (English & Literature Teacher) kutoka Kenya, mwenye usajili wa TSC na Shahada ya Ualimu (Bachelor of Education).
Natafuta fursa ya kufundisha nchini Tanzania na niko tayari kuhamia (relocate) mara moja nafasi itakapopatikana.
Sifa zangu kwa ufupi:
•📑...
Shida ni elimu zetu ndio maana napata tabu sana elimu kuandika ila kwenye sayansi na teknolojia na siasa hapa unidanganyi.
Kuna marehemu dada mmoja kipindi cha magufuri aliwahi kufanya research na kugundua ni kama gonjwa ila serikali ili mfanyia figusi na kufuzwa ila alichukuliwa na wenzetu...
Harakati zangu za kilimo juzi kati zilinifikisha Kijiji cha Berega wilaya ya kilosa mkoani morogoro..
Oya wajuba !, huko Kuna kabila la wakaguru Hawa watu ni wanafiki wa kiwango cha lami afu ignorance level Yao ni kiwango cha mchanga.
Niliwahi kifikiri wasukuma ni wabaguzi mpaka nilipokutana na...
NB: Nina Akili Ndogo Sana.
Just imagine timu 4 bora kila mmoja anacheza na mwenzie katika mfumo wa league?? Just imagine how enjoyable that thing might be.
Huu mtindo wa mechi moja Nusu Fainali, na mechi moja Fainali naona kama vile upo outdated na tunapaswa kujaribu kitu kingine kipya...
Julai 10 Kikundi cha Mawaziri wa Jumuiya ya Madola (Commonwealth Ministerial Action Group - CMAG) kilitoa mrejesho wa ziara ya mwakilishi wake, Dk Lazarus Chakwera aliyekuja nchini Machi 2026 kuchunguza vurugu zilizotokea katika uchaguzi wa Oktoba 29, 2026.
Katika taarifa yake, CMAG imetoa muda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.