tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. K

    JamiiForums Tanzania IMF-Uchumi wa Tanzania utakua kwa 5% na mfumuko wa bei uko thabiti

    Kwa maoni ya wataalamu wa IMF waliokuja hapa Tanzania, tuko vizuri sana
  2. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Tanzania bado tunalala Kwenye Diplomasia na Kujitangaza

    Juzi tumemuona Emmanuel Macron akiwa Kenya kwenye summit ya kimataifa. Ukiangalia namna Wakenya walivyotumia hiyo nafasi utaona kabisa wanaelewa mchezo wa diplomasia, branding ya nchi, tourism, culture, na biashara za kimataifa.Kila event kubwa kwao huwa sio tu mkutano wa viongozi ni nafasi ya...
  3. U

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Tanzania ili kufikia Uchumi wa USD Trillion Moja lazima tufikie uwekeezaji wa USD Trillion 3.7 hili haliwezekani kwa Kodi na Mikopo

    === Mkurugenzi Mkuu wa Kituo cha Ubia nchini (PPPC), Bwana David Kafulila, amesema kuwa wakati wa kupitisha sheria za ubia, Tanzania iliruhusu kutatua migogoro kwa mamlaka za ndani. Hata hivyo, pale ambapo suluhu haikupatikana, ama kwa upande wa mwekezaji au taasisi ya umma, kulihitajika haki ya...
  4. sammosses

    JamiiForums Tanzania Je, Demokrasia ya Tanzania inaruhusu Misingi ya Uporaji Haki za Raia na Mali zao

    Tanzania, nchi yenye mamlaka kamili iliyosaini mikataba mbalimbali ya Kimataifa hususani mikataba ya kulinda haki za binadamu na ulinzi wa rasilimali za umma imeacha misingi hiyo,na sasa inajinadi kuwa na Demokrasia yake na tamaduni zake. Kwa kuwa lengo ni kukuza aina mpya ya Demokrasia ya...
  5. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Amani ya Tanzania: Zaidi ya Watu

    Tunaposema Tanzania Hatumaanishi Watu Tu Bali Tunaenda Mbali Na Kuangalia vilivyomo pia. Kulinda Tanzania Sio Tu Namna Tujuavyo Tutambue pia mchango Wa Wengine Ambao wao Hawajiwezi Katika Misukosuko,karaha,kimbiakimbia na Mateso Mengine. Kwa Nini Tanzania Tunaitwa Nchi Ya Amani? 1. Tunao...
  6. Daniel Aloyce Daniel

    JamiiForums Tanzania Matatizo yanayowakumba wafanyaboashara Tanzania

    Wana JF, najua tuna wafanyabiashara wengi sana humu JF, leo natamani tujadili kwa kina matatizo yanayowakumba wafanyabiashara na wajasiriamali wengi sana nchini. Kwa upande wangu suala zima la kujua masoko na kutafuta wateja limekuwa msumari wa moto kwa wafanyabiashara wengi na wajasiriamali...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Atunukiwa Tuzo na Kanisa la Moravian Tanzania

    Ndugu zangu Watanzania, Itoshe kusema ya kuwa usishindane na alipewa Kibali na Mungu , usishindane na Aliyeinuliwa kwa Mkono wa Mungu , usishindane na aliyebarikiwa na Mungu. Rais Samia ni Mbarikiwa,Rais Samia ni Mpango wa Mungu,Rais Samia ni chaguo la Mungu,Rais Samia kainuliwa kwa Mkono wa...
  8. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania False Alarm: EU Parliament Resolution Against Tanzania is Hoax

    Please disregard this misinformation. The European Parliament is not conducting the debate being falsely portrayed by some online activists. This video dates back to November 26, 2025, and no such resolutions have been issued against Tanzania. The Government continues to urge Tanzanians to...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Serikali iunde sheria kwa makampuni ya ulinzi Tanzania

    Wamiliki wa makampuni ya ulinzi binafsi wanapaswa kuwasilisha kilio chao kwa njia ya kitaalamu, kisheria na yenye hoja nzito kuhusu umuhimu wa kutungwa kwa sheria maalum ya kusimamia sekta hiyo pamoja na madhara ya kucheleweshwa kwa muswada husika. Wanapaswa kueleza kuwa kucheleweshwa kwa...
  10. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania The future is here: Tanzania to supply minerals for superalloys for jet engines and aerospace components

    By Africa J&L Correspondence, Washington, DC There are defining moments when a nation stops merely supplying raw materials to the world and begins shaping the industries that power it. Tanzania is living such a moment. With the landmark agreement signed on 24 March 2026 to advance the Panda...
  11. Emily magnus

    JamiiForums Tanzania Wasanii wa hip hop ninao wakubali, nje ya mipaka ya Tanzania

    1. Sarkodie from Ghana. 2. Nyashisnki from kenya. 3. Khaligraph jones from Kenya. Hapo ni wa kwanza mpaka wa mwisho. Nimesikiliza marapper wengi, ila ni hao tu ninao wakubali. Hakuna mwingine
  12. K

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Tanzania kamwe hatafikiria kama Samia na Machawa wake

    https://youtu.be/sZv8yMHKNII?si=MjFJqevJHzHcN9bi warioba kasema yote
  13. K

    JamiiForums Tanzania Madili na rushwa zamchosha Dangote Tanzania!

    Kwanza alikataa kukutana na Samia alipokuwa kenya ndiyo maana Rutto akatumia akili hajamwambia Mama lakini Mama ni mzito wa kusoma nyakati hajamuelewa genius Rutto! Sasa Dangote kasema mwenyewe ni bora kujenga kiwanda Mombasa kuliko Tanzania. Vilevile anajua watawala wakina kikwete na Samia ni...
  14. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Uzuri ni kwamba namba wote tunaisoma. Wakosoaji wa serikali waimba mapambio na kusifu na kuabudu serikali wote tuko kapu moja.

    Uzuri ni kwamba sukari ikipanda bei haichagui wewe ni mwimbaji mzuri wa mapambio au ni mkosoaji wa serikali namba inasomeka maumivu yako palepale. Ukienda kituo cha mafuta kuweka mafuta kwenye gari. wote tunaugulia maumivu kwenye bei ya mafuta haichagui wewe unasifia serikali au ni mkosoaji wa...
  15. ngozimbili

    JamiiForums Tanzania TANZANIA KATIKATI YA DHORUBA YA KIJIOPOLITIKI: KAULI YA BALOZI MTEULE WA MAREKANI NI ONYO AU DIPLOMASIA YA MASLAHI?

    TANZANIA KATIKATI YA DHORUBA YA KIJIOPOLITIKI: KAULI YA BALOZI MTEULE WA MAREKANI NI ONYO AU DIPLOMASIA YA MASLAHI? “Karne hii mpya haitapiganiwa kwa mafuta pekee — itapiganiwa kwa madini, taarifa, na ushawishi wa kimkakati.” Kuna nyakati katika historia ambapo kauli moja ya kidiplomasia...
  16. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Tanzania Yafuzu Kombe La Dunia la Wanawake U-20 Baada ya Kuwatandika Cameroon 2-0

    Congrats nyingi sana Kwa Timu ya Tanzania. Hongera Rais Samia na Mwinyi Kwa kuwanunulia mashabiki tiketi za Bure waje kushangilia timu yetu na hawajatuangisha. https://www.instagram.com/p/DYKofFiDbNy/?igsh=MTU3dHI1NGR2em04Ng== https://www.instagram.com/p/DYKismUjUz1/?igsh=MTcybGsycHV4NGxlcw==
  17. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Historia ya Tanzania na Maadili: Shule za Sekondari Kitabu cha Mwanafunzi Kidato Cha Tano

    Kuna ajuaye yaliyomo kwenye kitabu hiki?
  18. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Kitabu Cha Historia ya Tanzania na Maadili: Kitabu Cha Mwanafunzi Kidato Cha Kwanza

    Yupo ajuaye kitabu hiki kinafundisha nini?
  19. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Kituo cha Nishati na Usafirishaji Afrika Mashariki

    Tanzania tuna LNG project yenye potential ya kubadilisha uchumi wa taifa kwa kiwango kikubwa sana, halafu watu wanataka tuwe desperate kwa sababu Dangote anaweza kwenda kujenga refinery Kenya? Tanzania tayari ina: 🇹🇿LNG project, 🇹🇿EACOP 🇹🇿Bandari za kimkakati 🇹🇿SGR 🇹🇿matenki ya mafuta...
  20. Tochuku

    JamiiForums Tanzania Faida ambazo ingepata nchi ya Tanzania na mkoa wa Tanga kama bilionea Dangote angejenga kiwanda Cha Mafuta

    Ikiwa mradi wa refinery ya mafuta ya Aliko Dangote (au mradi wowote wa ukubwa huo) ungejengwa Tanga, Tanzania ingenufaika kwa kiwango kikubwa sana kiuchumi, kijamii na kimkakati. Tanga ina sifa ya kipekee kutokana na kuwa mwisho wa bomba la mafuta kutoka Uganda (EACOP), hivyo kuwa kitovu cha...
Back
Top Bottom