njombefinest
Member
- Jul 6, 2026
- 14
- 19
Katika hili taifa letu kitu ambacho tunapaswa kupambana nacho Kwa nguvu basi ni umaskini wa kutosha ulipo Tanzania ukizunguka maeneo mbalimbali nchini utakuta watu wanaishi katika mazingira duni na yenye kuogofya sana Kuna baadhi ya maeneo watu hushindwa hata kununua nguo.
Tukiachana na takwimu za kwenye makaratasi Dar es salaam ndio Kuna umaskini mkubwa ambayo huwa hauzungumziwi ila unafichwa kwenye kigezo Cha kuwa tupo mjini tuna uhakika wa kupata pesa na blabla zingine huko dar unakuta mtu anafanya kazi mshahara wote unaishia kwenye nauli kula pamoja na Kodi ya nyumba ambayo huambatana na madeni lukuki.
Kuna baadhi utakuta familia ya watoto wakike na kiume baba na mama wote wanalala chumba kimoja na jiko humohumo ndani Sasa huyo na aliyepo kijijini nani anaishi vizuri?