Paypal na Mpesa tanzania

Paypal na Mpesa tanzania

mtoto wa kibopa

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
5,368
Reaction score
6,524
Wakuu katika pita zangu kwenye application ya Vodacom(Mpesa)nimeona kuna ku link account ya PayPal..Sasa naomba kujua kama inapokea..je mpesa wameingia partnership na PayPal???
 
Attachments

  • VID-20260508-WA0047.mp4
    9 MB
  • VID-20260508-WA0047.mp4
    9 MB
Vodacom Tanzania ilishirikiana na PayPal ili kuruhusu watumiaji kuunganisha moja kwa moja pochi zao za PayPal na M-Pesa. Kupitia ujumuishaji huu rasmi, unaweza kuweka pesa moja kwa moja kwenye PayPal, au kutoa mapato ya kimataifa kutoka kwa PayPal moja kwa moja hadi simu yako ya mkononi.

Kikundi cha Vodacom Jinsi Muunganisho Unavyofanya Kazi Uhamisho wa Njia Mbili: Tuma pesa kutoka M-Pesa hadi PayPal, au uondoe kutoka PayPal hadi M-Pasa.
 
Itakuwa jambo jema sana sana sana mazee
Imekaa poa sana..Mimi kwa mara ya kwanza pesa kuingia PayPal walizuia wanataka niwape info zangu.nilivyowapa wakanifungulia ...kuna kiasi kikiwa kikubwa wazuia account Yako mpaka uwepa taarifa zako ulizosajilia kitambulisho chako
 
Kwanza ninamshukuru sana Mola Muumba kwa hili. Kesho nitatoa sadaka mahali In'sha'Allah. Kisha nitaagiza ipikwe biriani home. Japo nina sukari Dessert ... Ice cream In'sha'Allah. Yaani nina furaha mno. Tumechoka kujiita majina ya kikikuyu na line za safaricom
 
Imekaa poa sana..Mimi kwa mara ya kwanza pesa kuingia PayPal walizuia wanataka niwape info zangu.nilivyowapa wakanifungulia ...kuna kiasi kikiwa kikubwa wazuia account Yako mpaka uwepa taarifa zako ulizosajilia kitambulisho chako
Ishanitokea mara mbili hii. Mara ya kwanza nilipata pesa yangu. Mara ya pili pesa yangu ilipotea maana nilijisahau line niliyokuwa ninatumia ya safaricom iliExpire.

Bingo Vodacom. Miaka mingi nilikuwa nawalilia serikali bila matunda yyt.
 
Wanataka info gani hapo. Hawachelewi ku suspend account yako hao.
Kitambulisho ulichosajilia na hiyo account ya mpesa zile no za Mastercard nilicharge wahakiki kama sio fraudi...unaweka pesa niliweka kama 5k wakaita then after 24hrs wakairudisha na account wakairuhusu.hapo walinilimit nisiwihdraw Wala kusend...ila kureceive tu ndio ilikuwa inafanya kazi.nilivyomalizana nao wakaiachia account yangu
 
Nilifanya ukanjanja account yangu ikaishia kupigwa pini hadi leo.
 
Attachments

  • Screenshot 2026-07-04 003338.png
    Screenshot 2026-07-04 003338.png
    79.4 KB · Views: 18

Similar Discussions

Back
Top Bottom